Serikali ishushe hadhi Jiji la Tanga kwa vile haina mpango wa kufanya lolote kusapoti mji huo

Lipo pale Kange Bus terminal jengo zuri la uwekezaji
 
tanga n mji ambao ukifika saa 4 kasoro hakuna gar barabarani.........na ukitoka saa 11 kasoro asubuh hutaona gar barabarani (daladala) ......ila kwenye kupangika tuu umepangika
 
Mjinga wewe eti mji wa watu wa dini fulani unataka serikali ifanyeje? Mmekalia uvivu na uzembe tu mradi gani mkubwa umepelekwa Arusha?
Tanga haina mradi bomba la mafuta?
Bandari imeboreshwa, stand kubwa mpya.
Arusha haina stand ukumbuke, maendeleo yanafuata patterns. Kuna pulling factors ambazo Tanga mmekalia uvivu kukaa kwenye mikeka
 
Cool down.
 
Tulia mkuu, kila mkoa una sifa zake. Sijawahi kusikia Tanga ikidharauliwa kuhusu mapenzi, yatumieni mapenzi na ushirikina kujinufaisha kiuchumi. Kwenye economics tunasema comperative advanrage 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Habari wana jf ,

Nimemsilikiza Nape Nauye kweny hotuba yake , amesema kwamba serikali imepanga mijiji kuwa kitovu cha tehama ila ametaja majiji matano , pamekosekana Tanga tu .

Kama hapo awali , naye Bushungwa alisema watejnga miundombinu katika majiji ila alitaja matano isipokuwa Tanga ...Serikali bora iseme hadharani jiji la Tanga limefutwa ,majiji yaliyopandishwa hadhi baada ya yeye wanapewa kipaumbele kweny maendeleo ila Tanga wanaachwa .

USHAURI : Muungano ukivunjika Tanga iende zanzibar angalau kule kwa ndugu zao watapata maendeleo sio huku bara.
 
Tanga iende zanzibar angalau kule kwa ndugu zao watapata maendeleo sio huku bara.
Mkuu una uhakika watu wa Tanga wana udugu na wazanzibari?

Napinga jiji la Tanga au jiji lingine lelote kutengwa...

Ukichunguza vizuri utagundua majiji ya Tanga, Mbeya na Mwanza kuna namna serikali inasuasua kuyaendeleza kwenye miundo mbinu...

Sijui kama wana sababu za msingi...
 
Tatizo wakati wa ibada zetu pia hatumuombi mungu yale tunayoyataka ktk maeneo yetu.Kilindi inahitaji umeme wa uhakika na lami na hili huwa namuomba mungu awape wepesi viongozi Kilindi ikumbukwe.
 
Ndio kuliko bara
 
TATIZO LA TANGA ELIMU DUNI NA UDUMAVU WA FIKRA WA WENYEJI WAPALE SBB CCM IMEDUMAZA AKILI ZAO.MAJIJI YOTE YALIYOCHUKULIWA NA CHADEMA YALIBADILIKA KIUCHUMI NA ELIMU PIA.VIJANA WA TANGA BDO WANATEGEMEA MAWAZO YA WAZEE WAO KARNE HI
 
Mkuu caliph ulizaliwa miaka ya tisini primary ukasoma moshi na kurudi kwenu pwani. Mambo ya Tanga umesimuliwa tu na kama umeishi basi ulikuwa mdogo sana huna uelewa. Usidhani sikufahamu humu jamvin
 
Sasa ni Serikali au Tanga ndio mwenye shida?
 
Tanga ni moja ya Mikoa inayopewa kipaombele na Serikali Kisiasa na kiuchumi Sasa mtoa mada unamlaumu nini?
 
Mkuu caliph ulizaliwa miaka ya tisini primary ukasoma moshi na kurudi kwenu pwani. Mambo ya Tanga umesimuliwa tu na kama umeishi basi ulikuwa mdogo sana huna uelewa. Usidhani sikufahamu humu jamvin
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€KIjana wa papa tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…