Serikali ishushe hadhi Jiji la Tanga kwa vile haina mpango wa kufanya lolote kusapoti mji huo

bila mkoa kujiongoza kirasilimali lazima uzorote. tanga ilitakiwa na ushindani wa kibandari hapo na dar
 
bila mkoa kujiongoza kirasilimali lazima uzorote. tanga ilitakiwa na ushindani wa kibandari hapo na dar
Tanga Ina uchumi mkubwa yaani kwenye kuchangia pesa TRA ni namba 4 sijui hela wanatoa wapi wakati Bandari haitoki hata Bilioni 38 , nadhani ni mpaka wa horohoro.
 
Uko dunia gani eti bandari ya Tanga imekufa? bandari imekarabatiwa kwa bilioni nyingi na mapato yamepañda kwa zaidi ya asilimia 60,na halmashauri mapato yako around bil 16
 
Jengo jipya la foor mbili Tanga hakuna? Uko Tanga ipi
 

Yaani alipoingiza Udini ndipo alipoharibu umuhimu na mvuto wa hoja yake ambayo kimsingi inamantiki fulani.
 
Huyo ni muongo aliyekubuhu,Kuna apartment pale barabara ya Tatu ya ghorofa nane imejengwa lini?Raskazone pia Kuna ghorofa saba
Kibo hotel pale karibu na shule ya ekenforde imejengwa mwaka gani?

Sasa hizo za kufanya kuhesabu na zikaweza kuhesabika?!
 
Yawezekana ni kweli kabisa, kwasababu TANGA hamna kitu pale, hapabadiliki ila kuna mahala umeongea UONGO kishabiki...Rais ambaye alipaswa kuiendeleza sana Tanga ni Hayati Mh. Ali Hassan Mwinyi miaka ya 1985 - 1995

Lakini Pia alikuja JK kwa miaka unayoongelea na aliifanya Pwani karibu yote hasa Bagamoyo kuwa Industrial Areas lakini hauikumbuka Tanga iliyokuwa Baba wa Viwanda Tanzania tena kwa viwanda alivyovijali sana J.K. Nyerere

Cha kushangaza unamtaja Nyerere kwa hoja zako za kidini 🤣🤣🤣
 
Sisi wakazi kiukweli tunashangaa ilikuwaje tukawa jiji..
!
Ni kwa sababu za kihistoria.
Hadi kipindi ilikuwa Jumuia ya Africa Mashariki kuvunjika (late 70’s) mkoa wa Tanga ulikuwa unaongoza kwa kuwa na viwanda vingi in Tanzania and Over East African countries.

Sasa wakaona walau waukumbe kwa kuutunuku hadhi ya Jiji.
 
Sasa kwa taarifa yako enzi za uongozi wa Mwalimu Nyerere ndipo ambako Tanga ilikuwa kinara kwa kuwa na viwanda vingi kuliko mkoa mwingine wowote nchini.
Tubu kwa Mwenyezi Mungu wako kwa dhambi ya kumchukia mzee wa watu hakuwa na baya.
Acheni chuki za kidini mkokaa mnadanganyana tu.
Ukimchukia mtu sababu ya dini mazuri yake unakuwa huyaoni unayageuza kuwa mabaya.
 
Mbona nasikia ndio mkoa tegemea kwa kupigia kura za ndio chama?
Nasikia Tqnga na Dodoma if not mistaken.
 
Tatizo ubwa.

Mimi nashangaa unakuta mababu walifanyakazi wakajenga,
Miaka hii familia hazijengi zimebaki kubanana kwenye Nyumba za urithi za mababu na kuridhika kabisa.
Ukikuta chakula kinachoandaliwa cha kula familia nzima utashangaa Kwamba hiki watakula wanaume na wanawake.
Lakini sanaridhika na hali hiyo ya mko mmoja au miwili kwa siku.
Hataki kufanya kazi hata.
 
Hii mikoa ya watu wavivu ndio mizuri kwenda kutafuta maisha maana wajinga hawaoni Fursa,, Dar kila mtu macho kodo anatafuta vipenyo vya pesa. Mwakani nakuja Tanga.
 
Jiji la tanga lina inadi ndogo sana ya wakazi. Hata msongamano wa magari hakuna. Siku za jpili na jmosi magari machache, sasa mwendo kasi wa nini?
 
Huko Karia atosha....tutakuja mkwakwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…