Hii mikoa ya watu wavivu ndio mizuri kwenda kutafuta maisha maana wajinga hawaoni Fursa,, Dar kila mtu macho kodo anatafuta vipenyo vya pesa. Mwakani nakuja Tanga.
To add; shops open at 8:00-9:00am and the staff have unlimited kahawa breaks.
By 12:30pm many close and start at 2:00pm. By 6:30pm all goes so quite that one wonders if this is indeed a City!
Siyo maduka yote bhana achaa uwongo, kuna maduka mengine yapo wazi 24/7 pale Tanga mjini,na mengine watu wakitoka kwenye ibada ya alfajiri yanakua wazi! Wwe tatizo lako unataka maduka aina ya supermarket,hayo ndiyo huwa yanachelewa kufungua kutokana na utaratibu wao wa ndani!!