Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Nilichokigundua ni kwamba ni kosa kubwa sana kwa serikali kuwatupia hoja ya mikataba kama hili la Bandari kwa wananchi eti wajadili na kutoa ushauri. Hili ni kosa kubwa sana kwa vile mikataba kama hii na wananchi ni mbingu na Ardhi. Mwananchi atashauri vipi kitu asichokijua?
Mpinzani hata huyo msomi wa sheria ataishauri vipi serikali wakati anataka kuchukua Dola. Sijawataja walaji wa bandari.
Rais uliomba ridhaa ya kuiongoza nchi ili uwatatulie matatizo wananchi leo kama unadhani mkataba utawasaidia watanzania, endelea.
Ukiteleza ni lako na wananchi wako. Maana hii ndio kazi uliopewa.