Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Bunge ni jengo la wananchi kupeleka wawakilishi wao, lakini wabunge walioko humo ndani hawakupelekwa kwa kura za wananchi, bali kwa maagizo ya Magufuli. Hivyo hao wabunge hawako kutetea wananchi, bali kuhakikisha kila kichatakiwa na serekali kinapitishwa.Kwa mawazo yako, kama mkataba umejadiliwa bungeni live katika bunge la wananchi unategemea nani alikuwa msikilizaji. Sisi kijijini kwetu, wote tuliusikiliza na mbunge wetu alituletea nakala. Sijui mbunge wenu alifanya nini?