Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Mi sijui kama tumepigwa au tumepiga. Ninachokijua ni kuwa Nafasi ya Urais mtu halazimishwi, huomba mwenyewe. Na kazi yake kubwa ni kuwatatulia wananchi matatizo yao. Kama hili la bandari lililowashindwa wengi, Samia anafikiri jibu kalipata, aendelee tu. Asituulize wananchi.Baba tushapigwa tuendeleee
Sa100 lini aliomba ridhaa kuongoza Watanzania nafasi ya Urais?Nilichokigundua ni kwamba ni kosa kubwa sana kwa serikali kuwatupia hoja ya mikataba kama hili la Bandari kwa wananchi eti wajadili na kutoa ushauri. Hili ni kosa kubwa sana kwa vile mikataba kama hii na wananchi ni mbingu na Ardhi. Mwananchi atashauri vipi kitu asichokijua? Mpinzani hata huyo msomi wa sheria ataishauri vipi serikali wakati anataka kuchukua Dola. Sijawataja walaji wa bandari.
Rais uliomba ridhaa ya kuiongoza nchi ili uwatatulie matatizo wananchi leo kama unadhani mkataba utawasaidia watanzania, endelea. Ukiteleza ni lako na wananchi wako. Maana hii ndio kazi uliopewa.
Huyo ni muajiriwa wa hv karbuniSa100 lini aliomba ridhaa kuongoza Watanzania nafasi ya Urais?
Unadharau wananchi maoni Yao, unasahau viongozi ni wananchi na wanatoka katika JAMII hiyo hiyo.
Hivyo S100 yupo sahihi kuleta huu mkataba kwa wananchi waukosoe au hayupo sahihi?Sa100 lini aliomba ridhaa kuongoza Watanzania nafasi ya Urais?
Unadharau wananchi maoni Yao, unasahau viongozi ni wananchi na wanatoka katika JAMII hiyo hiyo.
nani kakudanganya uliletwa na serikali?, au site upo huo mkataba uliwekwa na serikali, au gazeti gani uliona umetangazwa, sema serikali ijitaidi kuficha mikataba, vizuri ili wazalendo wasiirushe kwa wananchi.Nilichokigundua ni kwamba ni kosa kubwa sana kwa serikali kuwatupia hoja ya mikataba kama hili la Bandari kwa wananchi eti wajadili na kutoa ushauri. Hili ni kosa kubwa sana kwa vile mikataba kama hii na wananchi ni mbingu na Ardhi. Mwananchi atashauri vipi kitu asichokijua?
Mpinzani hata huyo msomi wa sheria ataishauri vipi serikali wakati anataka kuchukua Dola. Sijawataja walaji wa bandari.
Rais uliomba ridhaa ya kuiongoza nchi ili uwatatulie matatizo wananchi leo kama unadhani mkataba utawasaidia watanzania, endelea.
Ukiteleza ni lako na wananchi wako. Maana hii ndio kazi uliopewa.
Jinga, aliomba lini alipigiwa kura na nani?Nilichokigundua ni kwamba ni kosa kubwa sana kwa serikali kuwatupia hoja ya mikataba kama hili la Bandari kwa wananchi eti wajadili na kutoa ushauri. Hili ni kosa kubwa sana kwa vile mikataba kama hii na wananchi ni mbingu na Ardhi. Mwananchi atashauri vipi kitu asichokijua?
Mpinzani hata huyo msomi wa sheria ataishauri vipi serikali wakati anataka kuchukua Dola. Sijawataja walaji wa bandari.
Rais uliomba ridhaa ya kuiongoza nchi ili uwatatulie matatizo wananchi leo kama unadhani mkataba utawasaidia watanzania, endelea.
Ukiteleza ni lako na wananchi wako. Maana hii ndio kazi uliopewa.
Wanataka kuficha maovu yaonani kakudanganya uliletwa na serikali?, au site upo huo mkataba uliwekwa na serikali, au gazeti gani uliona umetangazwa, sema serikali ijitaidi kuficha mikataba, vizuri ili wazalendo wasiirushe kwa wananchi.
Tutadukua tu na kuzivujisha , tuko kila mahali .Nilichokigundua ni kwamba ni kosa kubwa sana kwa serikali kuwatupia hoja ya mikataba kama hili la Bandari kwa wananchi eti wajadili na kutoa ushauri. Hili ni kosa kubwa sana kwa vile mikataba kama hii na wananchi ni mbingu na Ardhi. Mwananchi atashauri vipi kitu asichokijua?
Mpinzani hata huyo msomi wa sheria ataishauri vipi serikali wakati anataka kuchukua Dola. Sijawataja walaji wa bandari.
Rais uliomba ridhaa ya kuiongoza nchi ili uwatatulie matatizo wananchi leo kama unadhani mkataba utawasaidia watanzania, endelea.
Ukiteleza ni lako na wananchi wako. Maana hii ndio kazi uliopewa.
Kwa mawazo yako, kama mkataba umejadiliwa bungeni live katika bunge la wananchi unategemea nani alikuwa msikilizaji. Sisi kijijini kwetu, wote tuliusikiliza na mbunge wetu alituletea nakala. Sijui mbunge wenu alifanya nini?nani kakudanganya uliletwa na serikali?, au site upo huo mkataba uliwekwa na serikali, au gazeti gani uliona umetangazwa, sema serikali ijitaidi kuficha mikataba, vizuri ili wazalendo wasiirushe kwa wananchi.
mkataba uko site mda mrefu tu, sema wewe umesimuliwa na kusomewa jukwaani na ZunguKwa mawazo yako, kama mkataba umejadiliwa bungeni live katika bunge la wananchi unategemea nani alikuwa msikilizaji. Sisi kijijini kwetu, wote tuliusikiliza na mbunge wetu alituletea nakala. Sijui mbunge wenu alifanya nini?
Mkataba uliwekwa hadharani na serikali kwenye chombo gani Cha habari tuambie tukajisomee...Nilichokigundua ni kwamba ni kosa kubwa sana kwa serikali kuwatupia hoja ya mikataba kama hili la Bandari kwa wananchi eti wajadili na kutoa ushauri. Hili ni kosa kubwa sana kwa vile mikataba kama hii na wananchi ni mbingu na Ardhi. Mwananchi atashauri vipi kitu asichokijua?
Mpinzani hata huyo msomi wa sheria ataishauri vipi serikali wakati anataka kuchukua Dola. Sijawataja walaji wa bandari.
Rais uliomba ridhaa ya kuiongoza nchi ili uwatatulie matatizo wananchi leo kama unadhani mkataba utawasaidia watanzania, endelea.
Ukiteleza ni lako na wananchi wako. Maana hii ndio kazi uliopewa.
Nakala?Kwa mawazo yako, kama mkataba umejadiliwa bungeni live katika bunge la wananchi unategemea nani alikuwa msikilizaji. Sisi kijijini kwetu, wote tuliusikiliza na mbunge wetu alituletea nakala. Sijui mbunge wenu alifanya nini?
Nilichokigundua ni kwamba ni kosa kubwa sana kwa serikali kuwatupia hoja ya mikataba kama hili la Bandari kwa wananchi eti wajadili na kutoa ushauri. Hili ni kosa kubwa sana kwa vile mikataba kama hii na wananchi ni mbingu na Ardhi. Mwananchi atashauri vipi kitu asichokijua?
Mpinzani hata huyo msomi wa sheria ataishauri vipi serikali wakati anataka kuchukua Dola. Sijawataja walaji wa bandari.
Rais uliomba ridhaa ya kuiongoza nchi ili uwatatulie matatizo wananchi leo kama unadhani mkataba utawasaidia watanzania, endelea.
Ukiteleza ni lako na wananchi wako. Maana hii ndio kazi uliopewa.
Uko sahihi kabisaNilichokigundua ni kwamba ni kosa kubwa sana kwa serikali kuwatupia hoja ya mikataba kama hili la Bandari kwa wananchi eti wajadili na kutoa ushauri. Hili ni kosa kubwa sana kwa vile mikataba kama hii na wananchi ni mbingu na Ardhi. Mwananchi atashauri vipi kitu asichokijua?