Serikali isilete tena hoja za mikataba kwa wananchi

Wewe ni dikteta uchwara.
 
Du, Mwenzangu ndio umepotea zaidi. Hebu msikilize Johari akitoa maoni yake mbele ya viongozi wa dini juu ya mkataba wa DP World na TZ.
Alihoji kama wote wanao ule mkataba, kwa vile alikuja na nakala ili awpe kila mmoja. Nao wakajibu kuwa wanao mkononi. Sasa kama ni siri ilikuwaje atake kuwapa huo mkataba. Pole ndugu!
 
Kwani Serekali imeleta mkataba kwa wananchi? Mikataba nchi hii ni siri boss. Kilicholetwa kwa wananchi ni makubaliano na sio mkataba.
Haya makubwa tena! Na hapo ndio kwenye ukakasi. Maana asilimia zaidi ya 80 ya wanaojadili wanazungumzia mkataba. Pengine hapo ndio pakuanzia kuelimishana hasa kwa wadau ambao ni wananchi. Ukakasi!
 
Bora tuendelee kusainia pasipojulika tena kwa kificho haswa!!
 
Haya mambo unatakiwa uwe unajua toka Mwanzo ulivyo kuwa. Kuvuja kwa mkataba kuliichanganya serikali, kwanza hawakujua umuvuja kwa kiasi gani, pili Nani amevujisha...... ! Ule mkataba una articles unao ufunga usiingie kwa mtu yeyote ambaye hajaapa kutunza Siri juu ya mkataba ule. Sababu ni nyingi lakini kubwa ni kwasababu ni mkataba Wa kijinga zaidi kupata kutokea Duniani.
 
Mgombea mwenza wa Sa100 alikuwa nani kama aligombea Urais 2020?
 
Hivyo S100 yupo sahihi kuleta huu mkataba kwa wananchi waukosoe au hayupo sahihi?
Avunje makubaliano alosaini kabla ya kutuletea kiinimacho tujadili.

Huwezi Saini bila kusoma, halafu ukiambiwa Kuna tatizo unastuka.
 
Avunje makubaliano alosaini kabla ya kutuletea kiinimacho tujadili.

Huwezi Saini bila kusoma, halafu ukiambiwa Kuna tatizo unastuka.
Kwani ameshtuka?
 
Safi sana.
 

..mikataba inaweza kuvuja.

..na kama ni mibovu lawama zitakuwa kubwa zaidi.

..ushauri mzuri zaidi ni kusaini mikataba inayolinda maslahi ya nchi, na kusikiliza na kuheshimu maoni ya wananchi.
 
Huo ndio ukweli, Watanzania wanatakiwa wapewe tu habari za matukio ya Ubakaji na ajali inatosha
 
Ni takwa la kikatiba lazima iletwe kwa wananchi kama ilivyofanya huo wa Bandari ambapo mjadala umekwenda vizuri na serikali imepata kujua hofu ya wananchi? Lazima iendelee kuletwa ili iwe inajadiliwa.
 
Wapumbavu wengine bwana,ww kweli ni mfupi na unaongea kabisa kudhihirisha UFUPI wako,Hv mwananchi ni nani,ww kama uliishia darasa la kwanza ni vzr ukawa unakaa kimya maana huijui Tanzania kabisa na hujua unachoshauri.Ndio maana tunasema hakuna mtu atamtusi mtu isipokuwa mtu atajitusi mwenyewe kwa matendo yake.na ww hujielewi kabisa.
 
Hivi kule Rwanda walipeleka mkataba wa DP World ktk bunge lao? Umenena vyema, watanzania hawa bado sana kuelewa mambo hayo, badala yake wanabaki kufuata mkumbo km nyumbu, wanatumiwa na wapinga maendeleo wenye nia ya kumkwamisha Rais. Serikali ishughulike na mambo hayo wananchi waelezwe tu ufanisi wa bandari. Kiwango cha uelewa cha watu wetu bado kipo chini sana, watakuchelewesha sana mh. Rais wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…