Serikali isilete tena hoja za mikataba kwa wananchi

Umenikumkusha Joyce Banda yaliyo mkuta kule Malawi
 
Sa100 lini aliomba ridhaa kuongoza Watanzania nafasi ya Urais?

Unadharau wananchi maoni Yao, unasahau viongozi ni wananchi na wanatoka katika JAMII hiyo hiyo.
Elimu yako ni kiwango gani? Hivi mnaona sifa kuwa wajinga? Alivyokuwa anapigwa na vumbi 2020 we ulikuwa hujazaliwa bado? Au ulitaka aje nyumbani kwenu kuomba kura. Muwe mnaona hata haya kuwa wajinga hivyo
 
Mgombea mwenza wa Sa100 alipokuwa anagombea urais alikuwa nani vile?
 
Elimu yako ni kiwango gani? Hivi mnaona sifa kuwa wajinga? Alivyokuwa anapigwa na vumbi 2020 we ulikuwa hujazaliwa bado? Au ulitaka aje nyumbani kwenu kuomba kura. Muwe mnaona hata haya kuwa wajinga hivyo
Mkuu utaratibu wa kumpata Makamu wa Rais kupitia CCM ni jambo la kujadili pia, liko vibaya mno.

Ila yule wa awamu ya nne na bi mkubwa kuna makubwa kati yao.
 
Samia aliomba lini uraisi?
 
uwatatulie matatizo wananchi leo kama unadhani mkataba utawasaidia watanzania, endelea.
Sawa mlikataa ujamaa, lakini Sasa Hata kujitegemea hamtaki? Ndege pori wenyewe wanajitegemea. Inakuwaje sisi tushindwe kujitegemea Hata kwa mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wetu? Kwa nini?
 
unaelewa maana ya bunge? Ulitegemea watanzania milioni 61 serikali ingewakusanya wapi. Ni kwamba hamuelewi au mnafanya makusudi kujifanya hamnazo?
Bunge ulinda maslai ya watawala Kama sehemu ya wanufaika,ubunge ni biashara
 
Kusoma sana ni uoga wa maisha. Huoni wasomi wenye PhD wakipewa Ubunge au nafasi serikalini wanavyozungumza utumbo. Mfano Prof Kabudi, Mkandala n.k. Warioba anazungumza sasa hivi akiwa nje ya ulingo, alipokuwa ulingoni ni utumbo mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…