City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Huwezi shindana na taifa la Mungu.Tulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia. Hiyo inatosha.
Serikali iingize buti Kanisani. That is my robotic advice.
Vinginevyo sasa,tutakuwa na serikali ngapi?
Pumbavu, hivi wafikili, katoliki ni kama makanisa yenu ya mchongo ,ya Mwamposa, au Gwajima , katolic hata mkisema leo hii iendeshe nchi inaweza ,Tulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia. Hiyo inatosha.
Serikali iingize buti Kanisani. That is my robotic advice.
Vinginevyo sasa,tutakuwa na serikali ngapi?
Nakupata vyema! Swali Je wana ufahamu ulio nao wewe? Jibu ni Nina mashaka unanipata? Na huo unakua mwanzo wa kuanguka kwao! Nisome vizuri Robert! Aina ya watu wenye madaraka tulio nao subiri aina ya matamko kesho.Buti haliwezi ingia Kanisani hasa Kanisa Katoliki. Hata aje kiongozi mjinga kiasi gani Hilo haliwezekaniki.
Kiongozi yeyote awe wa dini au wq kisiasa akifanya Wema huyo anampendeza Muumbaji.
Hapa tunazungumzia mifumo.
Serikali ni nchi tuu Wakati ukatoliki ni Dunia nzima.
Ni Sawa na mtu mmoja ajiingize mkenge kupambana na serikali (taifa) Hilo haliwezekaniki.
Huwezi shindana na Ukatoliki ukatoboa.
Ni Sawa na vyama vya upinzani haviwezi kushindana na CCM vikatoboa Kwa sababu mifumo iliyopo ni ya kiccm.
Bado hujanipata
Kuna baadhi ya mapadre wanatamani milele yote rais wa nchi hii awe mkatoliki mwenzetu, ni mtazamo mmoja mbaya sana na haufai kuachwa ukakua.Tulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia. Hiyo inatosha.
Serikali iingize buti Kanisani. That is my robotic advice.
Vinginevyo sasa,tutakuwa na serikali ngapi?
Thubutu!!!Tulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia. Hiyo inatosha.
Serikali iingize buti Kanisani. That is my robotic advice.
Vinginevyo sasa,tutakuwa na serikali ngapi?
Hawa wenye vijikanisa vya mtu wanaogopa sababu vitafutiwa usajili! Sasa waje kwenye Taifa kubwa kama watajaribu hata kupendekeza kulifuta kanisa Katoliki Tanzania tu!Anafikiria kila mtu anapigwa pigwa tu......watu wa mudi bana akili kisoda kweli
Nakupata vyema! Swali Je wana ufahamu ulio nao wewe? Jibu ni Nina mashaka unanipata? Na huo unakua mwanzo wa kuanguka kwao! Nisome vizuri Robert! Aina ya watu wenye madaraka tulio nao subiri aina ya matamko kesho.
Ulishakaa nao hata mara moja hao mapadre wakakueleza hiyo tamaa yao? Na wakakuambia ni Kwa Nini wanatamani hivyo? Unadhani kanisa inategemea fadhila ya Rais?Kuna baadhi ya mapadre wanatamani milele yote rais wa nchi hii awe mkatoliki mwenzetu, ni mtazamo mmoja mbaya sana na haufai kuachwa ukakua.
Ninaamini wanaufahamu na uzoefu wa Jambo Hilo. Ni tofauti na jpm yeye nafikiri hakuwa na ufahamu huo labda ni Kutokana na kusoma masomo ya sayansi. Lakini Kwa waliosoma history na Siasa hawawezi kufanya Makosa kama hayo.
Kuna mambo ya kucheza nayo lakini sio MTU acheze na serikali.
Au serikali icheze na Dini kubwa kama Ukatoliki. Lazima ianguke. Hiyo ni utake usitake.
Huhitaji kuelezwa na mmoja wao unaona tu hulka zao za wakati wa SSH na zile za wakati wa JPM. Father Kitima wa wakati wa JPM sio huyu wa sasa. Nimetumia neno baadhi kwani nasali kanisa katoliki hivyo nawafahamu.Ulishakaa nao hata mara moja hao mapadre wakakueleza hiyo tamaa yao? Na wakakuambia ni Kwa Nini wanatamani hivyo? Unadhani kanisa inategemea fadhila ya Rais?
Kama huna huo ushahidi ni vyema ukanyamaza kimya milele.
Unakumbuka wavaa kubazi walimlalamikia JK kwamba kwenye misiba au sherehe za waislamu haendi akawajibu Nini? Aliwajibu kwamba wenzetu shughuli zao Zina taarifa ya awali na Mimi ni Rais Nina Ratiba za kiserikali huwezi kunikurupusha!
Mwambie sio Leo, ulishasomwa tangu Jana jumuiyani. Na Kwa maana hiyo tuna mfumo rasmi wa kukutana na kupashana habari, kuanzia familia, jumuiya, Kanda, kigango, parokia, decania, Jimbo halafu Mama kanisa TanzaniaIt is too late mkuu. Umeshasomwa leo.
Siyo too late, boss.Unateseka ukiwa wapi? It is too late to fight the Church of God.
Tupe tafsiri sahihi ya Hulka na namna Gani inaakisi mtazamo wa baadhi ya watu!Huhitaji kuelezwa na mmoja wao unaona tu hulka zao za wakati wa SSH na zile za wakati wa JPM. Father Kitima wa wakati wa JPM sio huyu wa sasa. Nimetumia neno baadhi kwani nasali kanisa katoliki hivyo nawafahamu.
acha unafiki bichwa flat, nakuangalia sana ujifanya mkatoliki wakati wewe mvaa kobazi wa makunduchi........uho ukatoliki tuachie wenyewe ndo tunauwezaKuna baadhi ya mapadre wanatamani milele yote rais wa nchi hii awe mkatoliki mwenzetu, ni mtazamo mmoja mbaya sana na haufai kuachwa ukakua.
Hahaahahaa hii ni Bange tena imaechanganywa na nnya ya mbuzi. Unawasababishia matatizo wenzioSiyo too late, boss.
Serikali iwakamate hao mapdre wanaowashwawashwa iwasweke ndani, kwa kesi ya uhaini, halafu jioni wawasafirishe kwenda kutalii mbeya kwa siku tano. Baada ya siku tano, wawarudishe Dar. shitaka libadilishwe liwe uchochezi, wajidhamini, warudi nyumbani kwao. Mchezo umeisha
Ni haki ya waumini kujua Kanisa linafanya nini kunusuru Amani ya nchi!Tulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.