Umeshasomwa tayari, na sisi kwenye parokia yetu tumeungana na TEC na wale wote wenye mapenzi mema kuupinga mkatabaTulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia. Hiyo inatosha.
Serikali iingize buti Kanisani. That is my robotic advice.
Vinginevyo sasa,tutakuwa na serikali ngapi?
Sawa kabisa, ila Tu tunawaomba Baraza la maaskofu watafakari upya maamuzi Yao Kwa maslahi mapana ya Nchi. Kabisa katoliki limejijengea heshima kubwa Duniani, watajisikiaje kukitokea machafuko kabisa likaonekana ndio chanzo cha machafuko ? Kanisa lazima litambue kuwa Rais Samia anapendwa na watu wengi, na kamwe hawatakubali kuona Rais anadhalilishwa Kwa VITU VYA kutengenezwa. Kikundi cha baadhi ya waislamu walipoanza kuleta Dalili za uvunjifu WA Amani pale mwembechai, Serikali iliamua kuwanyorosha na wakanyoroka, ingawa mambo yaliyofanyika na nguvu zilizotumika zilivunja mpaka katiba ya Nchi, lakini Hali ya Amani ilirejea na mambo yakaendelea. Naishauri Serikali itumie busara na njia za kistaarabu kama kawaida yake, lakiki wakishindwa, waamue kuwanyorosha wale wote wanataka kusababishs uvunjifu WA Amani.Tulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia. Hiyo inatosha.
Serikali iingize buti Kanisani. That is my robotic advice.
Vinginevyo sasa,tutakuwa na serikali ngapi?
Serikali yetu ni makini sana na iko hata huko kanisani. Hao wapumbavu hawajaanza leo na hawajawahi kufanikiwa. Kila rais akiwa muislamu hizo ndio zao. Ni mashetani tu waliojivika ngozi za kondoo.Tulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia. Hiyo inatosha.
Serikali iingize buti Kanisani. That is my robotic advice.
Vinginevyo sasa,tutakuwa na serikali ngapi?
MUNGU siyo mzinzi km hao viongozi wa kqnisa lako. Kqnisa ndiolimeshachelewa mkataba umeshapitishwa na bunge kwa niaba ya wananchi. Bunge ndii sauti ya Mungu maana linawakilisha watanzania wote siyo hilo kundi la wachumi tumbo hata kwa kumwaga damu za binadamu wenzaoUnateseka ukiwa wapi? It is too late to fight the Church of God.
Wakivuka mpaka watafuatwa huko na majoho yai joho ni vazi linaweza kuvaliwa hata na jambazi.Tulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia. Hiyo inatosha.
Serikali iingize buti Kanisani. That is my robotic advice.
Vinginevyo sasa,tutakuwa na serikali ngapi?
Kanisa ni kundi tu la watu wenye lengno mahususi. Wale walioleta hayo makanisa wameshayafunga kule maana yale malengo yao hayafanyi tena kazi sahivi wanatumia mbinu nyingine. Waliobaki kwenye uzuzu ni ngozi nyeusi km weweNafikiri wengi hawajui maana ya Kanisa.
Hata wanasheria wa serikali walikutana na maaskofu baada ya kuwa wameshamalizana na wabunge kule Dodoma.Je kanisa linaweza kuishinda serikali?
Unafkiri wakatoliki kutoa waraka wameanza leo.
Tangu enzi za JK wamekuwa wskija na waraka mbalimbali za kupinga kukosoa na hata kuamrisha.
JK alipuuza na hakuna chochote kilichotokea
Na hata waraka huu utapuuzwa na serikali na bandari atapew DP world na hakuna mtakachofanya.
Unabisha?
Tulia wewe chawa 🤣 mwaka huu lazma mteme bungo. Hatuwezi kuendelea kuvumilia mambo ya hovyoHii ishu ya TEC sio sahihi... huu sasa ndo uhaini. Huu uchochezi unaofanywa na TEC lengo lake ni ovu. Nitaishangaa serikali kushindwa kuwadhibiti hawa wahuni. Hii itasababisha watu waliokuwa wakisema nchi yetu ina mfumo kristo kuthibitisha kauli yao. Kwa tulipofikia serikali inabidi iwadhibiti TEC ili kulinda heshima na hadhi yake.
Hahahahahah mpaka sasa ameshazibuka masikio. Dharau na kibri havijawahi kumuacha binadamu salama.🤣Shida nadhani ilianza walipotamani kusikia tamko lake yeye alijibu kua ameziba masikio. Nahisi hizi ni jitihada za kumzibua masikio
Roman Kathoric ni sehemu tu ya Ukristo na Wakristo.Hii ishu ya TEC sio sahihi... huu sasa ndo uhaini. Huu uchochezi unaofanywa na TEC lengo lake ni ovu. Nitaishangaa serikali kushindwa kuwadhibiti hawa wahuni. Hii itasababisha watu waliokuwa wakisema nchi yetu ina mfumo kristo kuthibitisha kauli yao. Kwa tulipofikia serikali inabidi iwadhibiti TEC ili kulinda heshima na hadhi yake.
Anapendwa na watu wengi? Hebu leta facts miongoni mwa 60M population hao wengi ni sawa na asilimia ngapi humo humo?Sawa kabisa, ila Tu tunawaomba Baraza la maaskofu watafakari upya maamuzi Yao Kwa maslahi mapana ya Nchi. Kabisa katoliki limejijengea heshima kubwa Duniani, watajisikiaje kukitokea machafuko kabisa likaonekana ndio chanzo cha machafuko ? Kanisa lazima litambue kuwa Rais Samia anapendwa na watu wengi, na kamwe hawatakubali kuona Rais anadhalilishwa Kwa VITU VYA kutengenezwa. Kikundi cha baadhi ya waislamu walipoanza kuleta Dalili za uvunjifu WA Amani pale mwembechai, Serikali iliamua kuwanyorosha na wakanyoroka, ingawa mambo yaliyofanyika na nguvu zilizotumika zilivunja mpaka katiba ya Nchi, lakini Hali ya Amani ilirejea na mambo yakaendelea. Naishauri Serikali itumie busara na njia za kistaarabu kama kawaida yake, lakiki wakishindwa, waamue kuwanyorosha wale wote wanataka kusababishs uvunjifu WA Amani.
Umeongea vizuri mkuuUoga wao Kwa mamlaka ni kufutiwa usajili wa hivyo vikanisa. Ndio mana wanaufyata mbele ya mamlaka za kidunia.
View: https://youtu.be/Ot1Vslt6bC4
The church of walevi, walawiti na wafiraji
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
Fisi majiTulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
Maaskofu hawawezi kuwa sehemu ya majizi na wahuni. Wenyewe kweli ni kweli, black or white take it or leave itTulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
Tayari ulishasomwa,,sasa hivi hatupati shida tena kuwaelimisha ndugu zetu waliopo vijijini ambao hawa access ya internetTulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?