Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

Kuvaa mabomu na kuwalipua wengine ndio haki hiyo unayoisemea wewe?
 
Bora niwe Mpagani kuliko kuwa wa hio Imani. Binafsi naichukulia ni Imani ya wajinga.
Kwahiyo, Imani sahihi ni kulipiga jiwe la Al Kaaba na kudhani kuwa unampiga shetani?
Toka lini, jiwe likawa SHETANI?, Hiyo ndio akili unayoisema?( Nakushauri: Kabla ya kuongea FIKIRI kwanza).
 
Tatizo ni mkataba na siyo TEC.
Ukiondolewa mkataba, tatizo limeisha.
TEC hawawezi kuacha kufanya kazi yao.
NB
TEC, hawajakurupuka wameusoma mkataba na kuuelewa.
Tujiulize swali, lengo la kukabidhi uwekezaji wote wa BANDARI kwa WAARABU WA DUBAI chini ya MASHARTI YA MILELE, ni nini?
 
Bora niwe Mpagani kuliko kuwa wa hio Imani. Binafsi naichukulia ni Imani ya wajinga.
Halafu mwisho wa siku unasherehekea siku ya kuzaliwa kwa kutumia kalenda iliyoasisiwa na mjinga Glegorian ambaye ni mkatoliki,,,,hahahahaaaa wakatoliki wakiwa wajinga basi Dunia nzima tu wajinga
 
Tafadhali sana usi waponze wenzio, serikali haina ubavu huo!
 
hao waarabu wanaanzaga kidogo kidogo (Mfano halisi Loliondo) wakiisha kamilishiwa kila kitu watataka na kusilimisha Taifa! Kwa kifupi hawafai!
 
Mkuu hauko sawa na haupo daraja moja na kipenzi cha Allah
 
Siungi mkono dini kuchanganywa na siasa.ila tuache UNAFIKI. KWANI HUYU ANATOLEA MATAMKO HAYA WAPI KAMA SIYO NYUMBA YA IBADA!!!😴
 

Endeleeni na ufugaji wa majini na pepo wachafu, ila wenye akili (TEC) wanajaribu kuuondoa utando wa tongotongo machoni. Acha kula nguruwe kizani we agiza tu isiyo na mafuta mengi kamua kwenye mwanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…