Serikali isipowapiga marufuku 'Mitume na Manabii' wa mchongo, miaka michache ijayo tutakuwa na Taifa la ovyo sana

Sijui kwanini hawa akina mama wanakuwa easily carried over by these bogus prophets. Mungu awafanyie wepesi awafungue ufahamu washtukie huu upigaji wanaopigwa kila kukicha.
hacha watu wapige hela wewe hao serikali wamajazana huko nani wa kuwapiga marufuku kwa mfano aanzie wapi? serikali ikijaribu tu nyote hapa mtasema kwa sababu rais ni muisilamu kikombe cha babu loliyondo hili uwe mrokole shariti uwe mwehu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Iwapige marufuku na mashekhe na maimamu wamezidi uchawi wanauza madawa ya kisuna na mapete ya kichawi. Mafuta ya ajabu ajabu kama kina shekhe sharif majini, wanawaingilia watu na kugawa majini,TUANZE NA HAO KWANZA
huo uchawi wanaufanyia msikiti gani?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hawawezi kuchukua hatua kwasababu watu wanapoelekeza akili zao huko, wao huku nyuma wanafanya yao, ndiyo hayo
  1. Madege yanatua KIA ...watu wako busy na Mwamposa
  2. Mawaziri wanatoa takwimu zinazopingana kwa Rais ...watu busy na manabii
  3. Miti inateketea ukame unatamalaki mamlaka hazichukui hatua ....watu busy na mitume
  4. Vituo vya mafuta vinajengwa kwenye hifadhi ya barabara nk

Inaonyesha watanzania wote wamejazana makanisani
 
hacha watu wapige hela wewe hao serikali wamajazana huko nani wa kuwapiga marufuku kwa mfano aanzie wapi? serikali ikijaribu tu nyote hapa mtasema kwa sababu rais ni muisilamu kikombe cha babu loliyondo hili uwe mrokole shariti uwe mwehu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Hivi infinix na upuuzi unao uchangia vinatofauti gani?
 
Na wanawalenga akina mama ambao ni rahisi kudanganyika na kufanyiwa udhalilishaji bila wao kujiuliza !
Wanawake ni watu wa ajabu mno mno!
 
Sijawahi kuona wala kusikia USHAHIDI wa Ofisi yoyote ya Serikali juu ya shuhuda za wale wanaosemwa kufufuka haswa kwa KUHANI MUSA.

Kama ni Uongo basi Serikali inapaswa kuwafanyia kazi walioshuhudia na wanaoruhusu hizo shuhuda...
 
Mjini 🏫 shule shamba darasa .watakula wapi kama sio shambani mwao🤔
 
hacha watu wapige hela wewe hao serikali wamajazana huko nani wa kuwapiga marufuku kwa mfano aanzie wapi? serikali ikijaribu tu nyote hapa mtasema kwa sababu rais ni muisilamu kikombe cha babu loliyondo hili uwe mrokole shariti uwe mwehu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yaani watu wanawapiga masikini hela halafu wanakuja hapa kuwatambishia kwa kujenga mahoteli makubwa ya kitalii huku waumini wao wakizidi kutopea kwenye umasikini. Hii haikubaliki hata kidogo.
 
Tunaoanguka kwa mapepo makanisani ni siye choka mbaya ila wanaotembelewa na kufanyiwa maombi majumbani ni watu wenye hela...😂😂

Kule KUANDIKA majina na kiasi cha Sadaka kwenye fomu,,, ukiwa mtoaji mzuri Mtume/Nabii atakufahamu na atakufafuta yeye mwenyewe akupe ofa ya UNABII na nyumbani atakutembelea 😂😂😂

Halafu creativity inatumika sana kukamata watu. Leo unaambiwa Ibada ya MIZIMU ya kwenu,,, kesho Ibada ya Kadi,,,, baadaye Ibada kuzuia Vifo kwenye familia 😂😂,,, ile hamjatulia mara Ibada ya Kipato chako.... mara Ibada ya Uzazi....mara Ibada ya Matatizo Sugu 😂😂😂😂 yaani huchomoki hapo Kila siku kuna kitu kipya tena kinachokugusa 😂😂
 
Halafu Mwamposa anasali sala ya Baba Yetu mara 7 badala ya mara 1 kama makanisa mengine yanavyofanya. Na anawataka waumini wake waandike maombi 12 kwenye karatasi ili awaombee. Lakini ukiingia kwenye biblia hakuna kitu kama hicho. Sijui yeye anapata wapi maagizo haya. Inaonekana huyu jamaa anatumia roho ya kifreemason kuwakaanga masikini fedha bila huruma.
 
Sijawahi kuona wala kusikia USHAHIDI wa Ofisi yoyote ya Serikali juu ya shuhuda za wale wanaosemwa kufufuka haswa kwa KUHANI MUSA.

Kama ni Uongo basi Serikali inapaswa kuwafanyia kazi walioshuhudia na wanaoruhusu hizo shuhuda...
Serikali haiwezi poteza mda na masuala binafsi ya mtu kiimani
 
Halafu Mwamposa anasali sala ya Baba Yetu mara 7 badala ya mara 1 kama makanisa mengine yanavyofanya. Na anawataka waumini wake waandike maombi 12 kwenye karatasi ili awaombee. Lakini ukiingia kwenye biblia hakuna kitu kama hicho. Sijui yeye anapata wapi maagizo haya. Inaonekana huyu jamaa anatumia roho ya kifreemason kuwakaanga masikini fedha bila huruma.
Hakuna madhara yoyote kiroho hata asali baba yetu mara 100, biblia haikiweka idadi
 
Kwanini yeye asali mara 7 na sote tunafahamu kuwa namba 7 ni ya kishetani?
 
Ule ni utapeli. Sala inasomwa Mara moja, ukiisoma Mara Saba inakuwa kitu kingine au fasion ya kujitambulisha. Ni Kama uimbe wimbo wa taifa Mara Saba for what purpose.
 
Kwanini yeye asali mara 7 na sote tunafahamu kuwa namba 7 ni ya kishetani?
Shetani uiga vitu vya MUNGU.
Na saba ni namba timilifu.
Namba yeyeto haina tatizo bali ni kile unachoamini kupitia hio namba
 
Back
Top Bottom