SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Okay, but kuiga siyo dhambi maana Serikali zipo zinazofanya hivyo haswa huko UTUME na UNABII ulipoanzia hapa Afrika..Serikali haiwezi poteza mda na masuala binafsi ya mtu kiimani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay, but kuiga siyo dhambi maana Serikali zipo zinazofanya hivyo haswa huko UTUME na UNABII ulipoanzia hapa Afrika..Serikali haiwezi poteza mda na masuala binafsi ya mtu kiimani
Matatizo makubwa yanayolinyemelea nchi ni betting na mitume na manabii wa uongo. Pia harusi na sherehe zimekuwa nyingi na zinatia watu unasikini mkubwa. Tuombe sana kwa Mola wetu atupatie maarifa kutoka juu.Hili tatizo mimi binafsi sioni utofauti wake na tatizo la Betting ndani ya nchi.
Ukishasikia kanisa la flani kimbia sana.NI BORA MTU UBAKI NA DHEHEBU LAKO TU KAMA CATHOLIC,KKKT AU SABATH LAKINI KWA MA NABII BIG NO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha wapigwe maana wajinga ndio waliwao ila ninachojiuliza waume zao wanakuwa wapi wakati wake zao wanateswa hivi?
Ni kweli. Mama awaache tu. Sema wangekuwa wanalipa kodi walau.Wewe hujui siasa za nchi hii, Samia akipiga marufuku watasema anataka kuifanya Tanzania iwe Islamic state, atajiongezea chuki na maadui wengi zaidi
Magufuli alipoona anazongwa sana na Katoliki na Lutheran kwa udikteta wake kipindi kile, aliwatumia hawa manabii uchwara na kuwaita ikulu au kila kilipokuwa na shughuli ya serikali
Akina Kakobe, Gamanywa, Gwajima, Mzee wa Upako walituniwa sana kisiasa
Ushuhuda mzuri mkuu. Ubarikiwe sana. Sisi wote tunaowajibu kusaidia jamii kujitambua na kuondokana na haya majanga. Watanzania tunakabiliwa na unasikini kwa kujitakia wenyewe. Kuibiwa kila kona, betting, waganga wa kienyeji, manabii wa uongo na sasa kuna janga kubwa linashamiri, harusi na sherehe. Hili nalo ni janga. Kwa hapa hata mimi ni mjinga na najaribu kujiokoa. Kwa mwezi utakuta unachangia zaidi ya laki tano na zaidi. Kwanza ni kujitoa kwenye kamati. Kupunguza madau. Kuna siku nilipiga michango niliyotoa ya arusi kwa mwaka ilikuwa zaidi ya milioni. Sasa kwa kipato gani? Huku unasomesha, misiba, kipa imara na mibarikio. Kenya wao wamejikomboa na haya majanga. Unatakiwa kuchangia kwa kiwango sawa na uwezo wako. Japo kwa kuweka mambo sawa ujiandae kuitwa bahili, roho mbaya, ngoja na yeye ataozesha nk. Hata Yesu wetu hakuleta amani bali upanga. Kutekeleza mambo hayo yote ya kijamii unajikuta kwenye mgogoro mkubwa wa madeni na kuchanganyikiwa. Wakenya wakichangiana ni misiba na harambee ya kupeleka vijana wao kusoma ng'ambo. Hata hivyo kwa shida ambazo tutapitia tutajifunza. Muda ni mwalimu mzuri sana.Kuna mambo mengi yanasababisha watu kuingia huko wakitegemea kupata wepesi wa maisha.
Ukiangalia wanawake wengi wanaoingia huko ni wale ambao wametelekezwa, wamenyanyasika katika ndoa, wamezalishwa na kuachwa na wametendwa na wanaume. Hivyo sisi wanaume tuna changia tatizo hili kwa kiasi kikubwa. Wanawake hawa huingia huko ili kupata faraja, kupata matumaini, kutetea ndoa zao n.k.
Pili ni ukosefu wa ajira. Kama watu wangekuwa busy na shughuli zao zinazo waingizia kipata cha kutosha wasingeoata muda wa kwenda huko. Lakini hujikuta wakiingia huko wakidhani kwamba labda mungu atawafungulia wapate kazi, biashara n.k.
Hat hivyo, Mimi nadhani ni upepo tu na unapita. Miongo miwili ijayo sidhani kama watapata mtu wa kumfanyia haya. Watu watajitambua na kuona kuwa wamepotezewa muda bila mafanikio waliyo tarajia.
Cha msingi kila mtu aelimisha watu wake wa karibu ambao wamejiingiza huko.
Mimi dada yangu alikuwa huko..nimeongea naye sana nikajaribu kumwelewesha..ingawa ilichuka muda hatimaye amatoka. Nilimwambia vitu vinne.
1. Ajenge tabia ya kusali na kumuomba mwenyezi mungu akiwa peke yake. Kila mtu anauwezo wa kuomba na kusikilizwa na mungu bila kuhitaji kuombewa. Mungu hana wakala na haitaji wakala. Hivyo kama ni swala la maombi afanye mwenyewe na mungu atamsikiliza.
2. Makanisa ni social gathering. Si jambo baya watu wenye imani inayofanana kuunda umoja kama ilivyo saccoss, vicoba etc. Lakini mwisho wa siku Mungu huangalia imani na matendo ya mmoja mmoja na anambariki kwao. Hivyo haubarikiwi.kwa sababu unasali au uko kwenye kanisa fulani.
3. Hawa wanaojiita mitume ni wapiga kama wapigaji wengine. Nikamwambia, je fedha zote ambazo wanakusanya kwa waumini huwa wanazipeleka wapi? Umewahi kusikia hata wameanzisha kituo cha watoto yatima? umewahi kusikia hata wana support watoto walio kwenye mazingira magumu kusoma? umewahi kusikia hata wameanzisha zahanati. Umewahi kusikia wamefanya jambo lolote kwenye jamii yenu?
4. Pia nikampa assignment afuatilie watu wanasimama pale mbele na kushuhudia. Mimi nilimwambia wale ni wa michongo akawa anabisha. Siku moja akafuatwa na washirika wa mchungaji waka mtengeneza jumapili ijayo atoe ushuhuda. Akaahidiwa kupewa 50,000. Nashukuru mungu siku hiyo ndo ikawa mwisho wa kuamini hao ndugu...na kidogo akapungiza kwenda na hatimaye akaacha.
Du mtumishi naona umeguswa. Unatetea sana hoja.Mbona wanaombewa bure..na hakuna mtu anayeshikiriwa bunduki atoe sadaka.
Huko mahospitalini kwa waganga mbona mnatoa hela na hamlalalamiki.
Sikuhizi jf ina watu ambao wanaupeo mdogo wa kufikiri nakuhoji.
#MaendeleoHayanaChama
Kwa imani hii ya kishetani atadanganya wengi[emoji134]Ushuhuda kutoka kwa waumini baada ya Bulldozer kufika Mkoa wa Kagera siku ya leo.
Yaani ni burudani hasaDu! Leo nimesikia ushuhuda wa jabu sana huko Kagera ambao sijawahi kuusikia tangu nizaliwe! Mwanamke mmoja amekuja kutoa ushuhuda kwa Mwamposa akasema anamshukuru alimuombea ameishapata mimba; sasa anaomba amuombee azae mapacha (wa kike na wa kiume). Mwaka huu tutasikia mengi. Ila kuna siku nitaenda huko Kawe nikashuhudie hivi vituko live aisee!😀😀😀😀😀😀😀😀
Kama wanafanya uhalifu hawawezi achwaOkay, but kuiga siyo dhambi maana Serikali zipo zinazofanya hivyo haswa huko UTUME na UNABII ulipoanzia hapa Afrika..
View attachment 2545822
Mkuu umeongea ukweli sana. Kenya hakunaga ujinga kama huu. Kipindi nasoma Homa Bay High School wananchi walikuwa tukichangiana karo za wanafunzi kupitia harambee. Tangu nihamie Tanzania sijawahi kuona watu wakichangiana kwenye masuala muhimu kama elimu na matukio mengine ya maana zaidi ya misiba na harusi.Ushuhuda mzuri mkuu. Ubarikiwe sana. Sisi wote tunaowajibu kusaidia jamii kujitambua na kuondokana na haya majanga. Watanzania tunakabiliwa na unasikini kwa kujitakia wenyewe. Kuibiwa kila kona, betting, waganga wa kienyeji, manabii wa uongo na sasa kuna janga kubwa linashamiri, harusi na sherehe. Hili nalo ni janga. Kwa hapa hata mimi ni mjinga na najaribu kujiokoa. Kwa mwezi utakuta unachangia zaidi ya laki tano na zaidi. Kwanza ni kujitoa kwenye kamati. Kupunguza madau. Kuna siku nilipiga michango niliyotoa ya arusi kwa mwaka ilikuwa zaidi ya milioni. Sasa kwa kipato gani? Huku unasomesha, misiba, kipa imara na mibarikio. Kenya wao wamejikomboa na haya majanga. Unatakiwa kuchangia kwa kiwango sawa na uwezo wako. Japo kwa kuweka mambo sawa ujiandae kuitwa bahili, roho mbaya, ngoja na yeye ataozesha nk. Hata Yesu wetu hakuleta amani bali upanga. Kutekeleza mambo hayo yote ya kijamii unajikuta kwenye mgogoro mkubwa wa madeni na kuchanganyikiwa. Wakenya wakichangiana ni misiba na harambee ya kupeleka vijana wao kusoma ng'ambo. Hata hivyo kwa shida ambazo tutapitia tutajifunza. Muda ni mwalimu mzuri sana.
Hata mimi huwa nawashangaa sana waumini wake kwa jinsi wanavyopelekwa kama makondoo bila kujitambua. Na wakimaliza kusoma mara saba wanaongezea na maneno mengine tena. Huyu jamaa mm namuona kama mpigaji tu hana jipya wala la zamani. Wakati wote utamsikia anawaombea watu wapate pesa, watoto, magari na mali nyingine za kidunia. Sijawahi kumsikia akihubiri kuhusu uzima wa milele.Ule ni utapeli. Sala inasomwa Mara moja, ukiisoma Mara Saba inakuwa kitu kingine au fasion ya kujitambulisha. Ni Kama uimbe wimbo wa taifa Mara Saba for what purpose.
Mkuu umeongea jambo zuri sana. Natamani wana JF wote wangepitia hili andiko lako hata ikibidi kuandika nyuzi watu wengi zaidi wasome CC Mshana JrUshuhuda mzuri mkuu. Ubarikiwe sana. Sisi wote tunaowajibu kusaidia jamii kujitambua na kuondokana na haya majanga. Watanzania tunakabiliwa na unasikini kwa kujitakia wenyewe. Kuibiwa kila kona, betting, waganga wa kienyeji, manabii wa uongo na sasa kuna janga kubwa linashamiri, harusi na sherehe. Hili nalo ni janga. Kwa hapa hata mimi ni mjinga na najaribu kujiokoa. Kwa mwezi utakuta unachangia zaidi ya laki tano na zaidi. Kwanza ni kujitoa kwenye kamati. Kupunguza madau. Kuna siku nilipiga michango niliyotoa ya arusi kwa mwaka ilikuwa zaidi ya milioni. Sasa kwa kipato gani? Huku unasomesha, misiba, kipa imara na mibarikio. Kenya wao wamejikomboa na haya majanga. Unatakiwa kuchangia kwa kiwango sawa na uwezo wako. Japo kwa kuweka mambo sawa ujiandae kuitwa bahili, roho mbaya, ngoja na yeye ataozesha nk. Hata Yesu wetu hakuleta amani bali upanga. Kutekeleza mambo hayo yote ya kijamii unajikuta kwenye mgogoro mkubwa wa madeni na kuchanganyikiwa. Wakenya wakichangiana ni misiba na harambee ya kupeleka vijana wao kusoma ng'ambo. Hata hivyo kwa shida ambazo tutapitia tutajifunza. Muda ni mwalimu mzuri sana.
Serikali zinazojitambua haziachi wananchi wake waangamizwe na manabii wa mchongo bali wanachukua hatua kuwalinda wananchi bila kusita. Hapa Tanzania wanaangalia kura zaidi. Hata wananchi wakiangamia hawajali.Okay, but kuiga siyo dhambi maana Serikali zipo zinazofanya hivyo haswa huko UTUME na UNABII ulipoanzia hapa Afrika..
View attachment 2545822