hacha watu wapige hela wewe hao serikali wamajazana huko nani wa kuwapiga marufuku kwa mfano aanzie wapi? serikali ikijaribu tu nyote hapa mtasema kwa sababu rais ni muisilamu kikombe cha babu loliyondo hili uwe mrokole shariti uwe mwehuSijui kwanini hawa akina mama wanakuwa easily carried over by these bogus prophets. Mungu awafanyie wepesi awafungue ufahamu washtukie huu upigaji wanaopigwa kila kukicha.
hao manabii wanatofaoti gani na waganga wa kienyeji? wote wanatumia mizimu(majini)Imeshindwa kwa waganga wa kienyeji ndo utaweza kwa manabii
huo uchawi wanaufanyia msikiti gani?Iwapige marufuku na mashekhe na maimamu wamezidi uchawi wanauza madawa ya kisuna na mapete ya kichawi. Mafuta ya ajabu ajabu kama kina shekhe sharif majini, wanawaingilia watu na kugawa majini,TUANZE NA HAO KWANZA
Hawawezi kuchukua hatua kwasababu watu wanapoelekeza akili zao huko, wao huku nyuma wanafanya yao, ndiyo hayo
- Madege yanatua KIA ...watu wako busy na Mwamposa
- Mawaziri wanatoa takwimu zinazopingana kwa Rais ...watu busy na manabii
- Miti inateketea ukame unatamalaki mamlaka hazichukui hatua ....watu busy na mitume
- Vituo vya mafuta vinajengwa kwenye hifadhi ya barabara nk
hacha watu wapige hela wewe hao serikali wamajazana huko nani wa kuwapiga marufuku kwa mfano aanzie wapi? serikali ikijaribu tu nyote hapa mtasema kwa sababu rais ni muisilamu kikombe cha babu loliyondo hili uwe mrokole shariti uwe mwehu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Inaonyesha watanzania wote wamejazana makanisani
Mjini π« shule shamba darasa .watakula wapi kama sio shambani mwaoπ€Sijawahi kuona wala kusikia USHAHIDI wa Ofisi yoyote ya Serikali juu ya shuhuda za wale wanaosemwa kufufuka haswa kwa KUHANI MUSA.
Kama ni Uongo basi Serikali inapaswa kuwafanyia kazi walioshuhudia na wanaoruhusu hizo shuhuda...
Kunywa,mtori nakuja kulipaNI BORA MTU UBAKI NA DHEHEBU LAKO TU KAMA CATHOLIC,KKKT AU SABATH LAKINI KWA MA NABII BIG NO
Yaani watu wanawapiga masikini hela halafu wanakuja hapa kuwatambishia kwa kujenga mahoteli makubwa ya kitalii huku waumini wao wakizidi kutopea kwenye umasikini. Hii haikubaliki hata kidogo.hacha watu wapige hela wewe hao serikali wamajazana huko nani wa kuwapiga marufuku kwa mfano aanzie wapi? serikali ikijaribu tu nyote hapa mtasema kwa sababu rais ni muisilamu kikombe cha babu loliyondo hili uwe mrokole shariti uwe mwehu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Halafu Mwamposa anasali sala ya Baba Yetu mara 7 badala ya mara 1 kama makanisa mengine yanavyofanya. Na anawataka waumini wake waandike maombi 12 kwenye karatasi ili awaombee. Lakini ukiingia kwenye biblia hakuna kitu kama hicho. Sijui yeye anapata wapi maagizo haya. Inaonekana huyu jamaa anatumia roho ya kifreemason kuwakaanga masikini fedha bila huruma.Tunaoanguka kwa mapepo makanisani ni siye choka mbaya ila wanaotembelewa na kufanyiwa maombi majumbani ni watu wenye hela...ππ
Kule KUANDIKA majina na kiasi cha Sadaka kwenye fomu,,, ukiwa mtoaji mzuri Mtume/Nabii atakufahamu na atakufafuta yeye mwenyewe akupe ofa ya UNABII na nyumbani atakutembelea πππ
Halafu creativity inatumika sana kukamata watu. Leo unaambiwa Ibada ya MIZIMU ya kwenu,,, kesho Ibada ya Kadi,,,, baadaye Ibada kuzuia Vifo kwenye familia ππ,,, ile hamjatulia mara Ibada ya Kipato chako.... mara Ibada ya Uzazi....mara Ibada ya Matatizo Sugu ππππ yaani huchomoki hapo Kila siku kuna kitu kipya tena kinachokugusa ππ
Serikali haiwezi poteza mda na masuala binafsi ya mtu kiimaniSijawahi kuona wala kusikia USHAHIDI wa Ofisi yoyote ya Serikali juu ya shuhuda za wale wanaosemwa kufufuka haswa kwa KUHANI MUSA.
Kama ni Uongo basi Serikali inapaswa kuwafanyia kazi walioshuhudia na wanaoruhusu hizo shuhuda...
Hakuna madhara yoyote kiroho hata asali baba yetu mara 100, biblia haikiweka idadiHalafu Mwamposa anasali sala ya Baba Yetu mara 7 badala ya mara 1 kama makanisa mengine yanavyofanya. Na anawataka waumini wake waandike maombi 12 kwenye karatasi ili awaombee. Lakini ukiingia kwenye biblia hakuna kitu kama hicho. Sijui yeye anapata wapi maagizo haya. Inaonekana huyu jamaa anatumia roho ya kifreemason kuwakaanga masikini fedha bila huruma.
Kwanini yeye asali mara 7 na sote tunafahamu kuwa namba 7 ni ya kishetani?
Shetani uiga vitu vya MUNGU.Kwanini yeye asali mara 7 na sote tunafahamu kuwa namba 7 ni ya kishetani?