Serikali isitishe kulipa mishahara watumishi walioamua kurudi tena masomoni ni upotevu mkubwa wa pesa tena wengine wanahama fani kabisa.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa.

Sasa ubaya wa hili jambo ni pale serikali inapoendelea kumlipa mshahara huyu mtumishi hali ya kuwa kipindi hicho hakuna kitu anachokifanya kuliingizia taifa faida bali ni kwa manufaa yake binafsi.

Mbaya zaidi kipindi anakwenda masomoni nafasi yake bado inahesabika na hivyo kuwazibia nafasi waombaji wengine.

Sasa hili jambo kiukweli liondolewe , kama mtumishi atataka kwenda kusoma tena basi asilipwe chochote na ikiwezekana baada ya kuhitimu aombe upya kazi kulingana na elimu atakayokuwa nayo kipindi hicho.

Maana anaweza akaenda kweli kusoma na kumaliza lakini asiwe competent vilevile kulinganisha na wenzake aliomaliza nao ila kwa kuwa yeye tayari nafasi yake ipo basi kwake inakuwa mtelezo.

Tubadirike , serikali iache kuingia hasara kuwalipa hawa watu na kuwahalikishia ajira , kama wameamua kurudi tena kusoma basi iwe for their own risk ,wajilipie wenyewe na waombe upya kazi.

Mbaya zaidi huyu mtumishi mliyemsomesha huko mbeleni anaweza akaacha kazi kwenda sehemu nyingine au nchi nyingine atakayoona kwake ina manufaa ,hivyo hasara inabaki kwa serikali maana hizo pesa walizompa sio mkopo kusema watamdai.
 
Walaa hujui maana ya capacity building

Lazima kama muajiri acapacitate watu wake kuwajengea uwezo

Hiyo sera sio kwa serikali tuu hata sekta binafsi ipo

Rasilimali muhimu kuliko yote duniani ni mfanyakazi na lazime umjengee uwezoo.

Na ni sera, so acha wivu na mawazo ya kimaskini mkuuu.
Usione kama wanafaidii

Tena kuna watu hadi wanalipiwa kabisa masomo mbali na mshaharaa.

Wakati nasoma chuo kimoja huko kwenye jiji letu kuu

Hazina walileta watu wao waje wasome na walikuwa wanalipiwa kila.kituuu na mishahara yao bado wanapokeaa
 
Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa.

Sasa ubaya wa hili jambo ni pale serikali inapoendelea kumlipa mshahara huyu mtumishi hali ya kuwa kipindi hicho hakuna kitu anachokifanya kuliingizia taifa faida bali ni kwa manufaa yake binafsi.

Mbaya zaidi kipindi anakwenda masomoni nafasi yake bado inahesabika na hivyo kuwazibia nafasi waombaji wengine.

Sasa hili jambo kiukweli liondolewe , kama mtumishi atataka kwenda kusoma tena basi asilipwe chochote na ikiwezekana baada ya kuhitimu aombe upya kazi kulingana na elimu atakayokuwa nayo kipindi hicho.

Maana anaweza akaenda kweli kusoma na kumaliza lakini asiwe competent vilevile kulinganisha na wenzake aliomaliza nao ila kwa kuwa yeye tayari nafasi yake ipo basi kwake inakuwa mtelezo.

Tubadirike , serikali iache kuingia hasara kuwalipa hawa watu na kuwahalikishia ajira , kama wameamua kurudi tena kusoma basi iwe for their own risk ,wajilipie wenyewe na waombe upya kazi.
Bado kidogo niseme Jiwe kafufuka?
 
Ficha ujuha wako.

Daktari alienda kusoma akiludi aombe upya we pambana na hali yako
 
Walaa hujui maana ya capacity building

Lazima kama muajiri acapacitate watu wake kuwajengea uwezo

Hiyo sera sio kwa serikali tuu hata sekta binafsi ipo

Rasilimali muhimu kuliko yote duniani ni mfanyakazi na lazime umjengee uwezoo.

Na ni sera, so acha wivu na mawazo ya kimaskini mkuuu.
Usione kama wanafaidii

Tena kuna watu hadi wanalipiwa kabisa masomo mbali na mshaharaa.

Wakati nasoma chuo kimoja huko kwenye jiji letu kuu

Hazina walileta watu wao waje wasome na walikuwa wanalipiwa kila.kituuu na mishahara yao bado wanapokeaa
Naomba akusome kwa makini na aelewe ulichomwambia vile vile AACHE WIVU.
 
Back
Top Bottom