Tatizo huna sifa za kwenda kujiendeleza, miaka nenda Rudi una reseat mtihani wa form six na unafail kwa sababu wewe Empty Headed Teacher with certificate. Achana na fikra za kimasikini za kuonea watu wenye mafanikio. Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Dr Samia aliingia katika utumishi wa umma akiwa na certificate lkn alijiendeleza na kufikia Level ya kuaminiwa kuwa Rais, Majaliwa alikuwa mwl wa certificate akajiendeleza kielimu mpaka kaaminiwa kuwa Waziri mkuu, Dr Biteko nae vilevile. Kumbuka tu yakwamba roho mbaya ni dalili za kuwa mchawi ndo maana kwenu mtu akijenga nyumba ya kisasa anarogwa kwa sababu ya wivu na roho mbaya za kimasikini. Umeleta hoja yako katika mlengo wa fikra za kimasikini,chuki, husuda, fitina,uchonganishi kati waajiri na wafanya kazi, pia dai lako halina misingi ya kisera, hata Sheria ya kazi naahusiano kazini, halina misingi ya kiueredi maana watu waliosoma Human resource Management kamwe hawawezi Kutoa uharo kama huu. Kwa kifupi naweza kusema kwamba wewe ni narrow minded person mwenye low thinking capacity AMBAYE hujui kufanya analysis kwenye critical issues.