Serikali isitishe kulipa mishahara watumishi walioamua kurudi tena masomoni ni upotevu mkubwa wa pesa tena wengine wanahama fani kabisa.

Huyu jamaa kichwa maji kweli,, basi kama hujui kuna baadhi ya taasisi ndo inakupeleka kujiendeleza wenyew ada wanalipa na mshahara uko pale pale,,,,,,, pia hata kuandika kwenda masomoni kwa fani nyingine sio dhambi kwenye utumishi na ndio maana kuna "recategolization" baada ya kurudi kutoka masomoni. Acha wivu wa kijinga
 
😆😆😆 yaan huyo anachomind n kwann usome huku unapata hela anaona inapata hela ya bure ambayo hujaifanyia kazi kwa akili yake inavomtuma
 
Mleta mada asamehewe. Anaonekana bado ni mtoto au hana uelewa wa mambo mengi ya kawaida.
 
Daaah Yani uchawi upo aisee mtu Hela sio yake ila anaonesha wazi roho ya kukunja
 
Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa.

Sasa ubaya wa hili jambo ni pale serikali inapoendelea kumlipa mshahara huyu mtumishi hali ya kuwa kipindi hicho hakuna kitu anachokifanya kuliingizia taifa faida bali ni kwa manufaa yake binafsi.

Mbaya zaidi kipindi anakwenda masomoni nafasi yake bado inahesabika na hivyo kuwazibia nafasi waombaji wengine.

Sasa hili jambo kiukweli liondolewe , kama mtumishi atataka kwenda kusoma tena basi asilipwe chochote na ikiwezekana baada ya kuhitimu aombe upya kazi kulingana na elimu atakayokuwa nayo kipindi hicho.

Maana anaweza akaenda kweli kusoma na kumaliza lakini asiwe competent vilevile kulinganisha na wenzake aliomaliza nao ila kwa kuwa yeye tayari nafasi yake ipo basi kwake inakuwa mtelezo.

Tubadirike , serikali iache kuingia hasara kuwalipa hawa watu na kuwahalikishia ajira , kama wameamua kurudi tena kusoma basi iwe for their own risk ,wajilipie wenyewe na waombe upya kazi.

Mbaya zaidi huyu mtumishi mliyemsomesha huko mbeleni anaweza akaacha kazi kwenda sehemu nyingine au nchi nyingine atakayoona kwake ina manufaa ,hivyo hasara inabaki kwa serikali maana hizo pesa walizompa sio mkopo kusema watamdai.
Sijui ni wivu, hasira au kukata tamaa???
 
Asilimia kubwa ya watumishi ni certificate na diploma watu wenye bachelor degree ni wachache sana sana serikalini ndio maana serikali waliweka huo mfumo huwezi ukawaumiza wengi kwa ajili ya wachache wanao kiuka taratibu mishahara ya watumishi wa umma Tanzania nzima haizidi hata billion moja kwa mwezi just imagine serikali inakusanya 3 trillion kwa mwezi mishahara 1 billion per month mwisho tutakosa mpaka wakuu wa taasisi maana wakuu wengi wa idara hawana sifa za kuongoza hizo ofisi.
 
Labda tukienda kwa ajira za mkataba wa miaka mitano mitano.
Mimi nashangaa sana hii mikataba ya mkoloni yaani mtu ukiajiriwa ni wa milele. Shida ipo kwenye permanent contract. Serikali wanaogopa sana kwenda kwenye sheria hii ya mkataba wa muda.
 
Kuajiri mtu mpya kwenye taasisi sio jambo dogo. Hata sisi wenye biashara binafsi inatakiwa kuendeleza watu tulio nao na sio kuhangaika kutafuta watu wapya. Kimsingi ulichoandika ni ushuzi mtupu.
Hiring is a costful process.
 
Wewe unaumia nini kwani hela ni yako. Aise ukijakuwa mzee wewe utakuwa mchawi.
 
Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa.

Sasa ubaya wa hili jambo ni pale serikali inapoendelea kumlipa mshahara huyu mtumishi hali ya kuwa kipindi hicho hakuna kitu anachokifanya kuliingizia taifa faida bali ni kwa manufaa yake binafsi.

Mbaya zaidi kipindi anakwenda masomoni nafasi yake bado inahesabika na hivyo kuwazibia nafasi waombaji wengine.

Sasa hili jambo kiukweli liondolewe , kama mtumishi atataka kwenda kusoma tena basi asilipwe chochote na ikiwezekana baada ya kuhitimu aombe upya kazi kulingana na elimu atakayokuwa nayo kipindi hicho.

Maana anaweza akaenda kweli kusoma na kumaliza lakini asiwe competent vilevile kulinganisha na wenzake aliomaliza nao ila kwa kuwa yeye tayari nafasi yake ipo basi kwake inakuwa mtelezo.

Tubadirike , serikali iache kuingia hasara kuwalipa hawa watu na kuwahalikishia ajira , kama wameamua kurudi tena kusoma basi iwe for their own risk ,wajilipie wenyewe na waombe upya kazi.

Mbaya zaidi huyu mtumishi mliyemsomesha huko mbeleni anaweza akaacha kazi kwenda sehemu nyingine au nchi nyingine atakayoona kwake ina manufaa ,hivyo hasara inabaki kwa serikali maana hizo pesa walizompa sio mkopo kusema watamdai.
Tatizo huna sifa za kwenda kujiendeleza, miaka nenda Rudi una reseat mtihani wa form six na unafail kwa sababu wewe Empty Headed Teacher with certificate. Achana na fikra za kimasikini za kuonea watu wenye mafanikio. Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Dr Samia aliingia katika utumishi wa umma akiwa na certificate lkn alijiendeleza na kufikia Level ya kuaminiwa kuwa Rais, Majaliwa alikuwa mwl wa certificate akajiendeleza kielimu mpaka kaaminiwa kuwa Waziri mkuu, Dr Biteko nae vilevile. Kumbuka tu yakwamba roho mbaya ni dalili za kuwa mchawi ndo maana kwenu mtu akijenga nyumba ya kisasa anarogwa kwa sababu ya wivu na roho mbaya za kimasikini. Umeleta hoja yako katika mlengo wa fikra za kimasikini,chuki, husuda, fitina,uchonganishi kati waajiri na wafanya kazi, pia dai lako halina misingi ya kisera, hata Sheria ya kazi naahusiano kazini, halina misingi ya kiueredi maana watu waliosoma Human resource Management kamwe hawawezi Kutoa uharo kama huu. Kwa kifupi naweza kusema kwamba wewe ni narrow minded person mwenye low thinking capacity AMBAYE hujui kufanya analysis kwenye critical issues.
 
Napiga Picha kwa mfano Mtumishi wa Afya lets Say Daktari anaenda kusomea udaktari Bingwa, kwahiyo huyu daktari asitishiwe mshahara na akimaliza shule aombe kazi upya?
Akiwa masomoni atakuwa akimtibu nani? Je, amekwenda kusoma kwa sababu katumwa na mwajiri wake ama kwa manufaa yake?
Pia, kama ameongeza ujuzi, kuna uzito gani kwake kuomba kazi upya huku akiwa na advantage ya uzoefu?
 
Watu wanaleta hisia badala ya kutazama uhalisia.

Malipo ni baada ya kazi, je,huyu anayelipwa akiwa masomoni, analipwa kwa kazi gani?

Je, kuna mkataba wowote unaomfunga huyu anayejiendeleza kuwa akimaliza masomo lazima afanye kazi serikalini?

Kwa kipindi ambacho yuko masomoni, ni nani anayetimiza majukumu yake?
 
Asilimia kubwa ya watumishi ni certificate na diploma watu wenye bachelor degree ni wachache sana sana serikalini ndio maana serikali waliweka huo mfumo huwezi ukawaumiza wengi kwa ajili ya wachache wanao kiuka taratibu mishahara ya watumishi wa umma Tanzania nzima haizidi hata billion moja kwa mwezi just imagine serikali inakusanya 3 trillion kwa mwezi mishahara 1 billion per month mwisho tutakosa mpaka wakuu wa taasisi maana wakuu wengi wa idara hawana sifa za kuongoza hizo ofisi.
Uongo, taasisi yetu mishahara kwa mwezi ni zaidi ya bilioni saba sasa jiulize kwa Tanzania nzima ni Tsh ngapi?
 
Tatizo huna sifa za kwenda kujiendeleza, miaka nenda Rudi una reseat mtihani wa form six na unafail kwa sababu wewe Empty Headed Teacher with certificate. Achana na fikra za kimasikini za kuonea watu wenye mafanikio. Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Dr Samia aliingia katika utumishi wa umma akiwa na certificate lkn alijiendeleza na kufikia Level ya kuaminiwa kuwa Rais, Majaliwa alikuwa mwl wa certificate akajiendeleza kielimu mpaka kaaminiwa kuwa Waziri mkuu, Dr Biteko nae vilevile. Kumbuka tu yakwamba roho mbaya ni dalili za kuwa mchawi ndo maana kwenu mtu akijenga nyumba ya kisasa anarogwa kwa sababu ya wivu na roho mbaya za kimasikini. Umeleta hoja yako katika mlengo wa fikra za kimasikini,chuki, husuda, fitina,uchonganishi kati waajiri na wafanya kazi, pia dai lako halina misingi ya kisera, hata Sheria ya kazi naahusiano kazini, halina misingi ya kiueredi maana watu waliosoma Human resource Management kamwe hawawezi Kutoa uharo kama huu. Kwa kifupi naweza kusema kwamba wewe ni narrow minded person mwenye low thinking capacity AMBAYE hujui kufanya analysis kwenye critical issues.
Pole sana
 
Watu wanaleta hisia badala ya kutazama uhalisia.

Malipo ni baada ya kazi, je,huyu anayelipwa akiwa masomoni, analipwa kwa kazi gani?

Je, kuna mkataba wowote unaomfunga huyu anayejiendeleza kuwa akimaliza masomo lazima afanye kazi serikalini?

Kwa kipindi ambacho yuko masomoni, ni nani anayetimiza majukumu yake?
Nashukuru mkuu kwa kunielewa, maana hapa watu wamenitolea sana povu.
 
Tukianza hivyo mwishowe tutasema mtu akienda likizo asitishiwe mshahara na akirudi aombe kazi upyaa!
 
Back
Top Bottom