Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
-
- #41
Kwahiyo wewe na mkeo mlikuwa mnanyanduana hospitali! JF kuna membazi wa hovyo sana.Sawa hata majuzi tukiwa tunanyanduana na Wife kuna mama mjamzito alijifungulia katika geti la hospitali wauguzi wakiwa ndani na waligoma kufungua geti mpaka mtoto akafa... yaani waligoma kufungua hata alipokuja mwwnyekiti wa mtaa, ocd mpaka mkuu wa wilaya.. hilo unalizungumziaje mkuu?
Uongozi wa mkoa na hospitali ya Maweni ulishindwa kutumia akili kabla ya kuamua mtoto aliye mahututi asafirishwe kwa gari toka Kigoma mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya tiba iliyowashinda, walishindwa kupata ndege ya Flying Doctor au kumpeleka Mwanza!
Walizipita hospitali za Kitete Tabora, Mkapa Morogoro na wakawa na nia ya kuipita ya Morogoro na mtoto akawafia njiani mkoani Morogoro! Hiki kitendo ni cha kijinga sana.
Huwezi kukaa trauma section muda wote, rejea shida ya mgonjwa ni nini?Hivi kitengo cha Trauma cha Bugando kinaweza kukataa kweli?
hahahaaaaWe ulishawahi panda hiyo ndege,ndege sio bajaj
Kwan nini Kazi ya kodi zetu mbona wao yakiwapata ufuatwa na chopaNilikuwa nasoma comment nione kama kunaatakae jali hata mmoja. Mods naombeni radhi kwa comment hii
1. Kuhusu kwenda Mwanza Bugando au Mkapa Dodoma nadhani Dokta alipima kulingana na hali ya mtoto na alijua alicho kifanya, usimuone zuzu kabisa.
2. Wakati wewe unamnyandua mke wako huko madaktari na manesi wamepambana kufa kupona kumsafirisha mtoto huyu aliyekatwa na mapanga vibaya. I know haikuwa safari rahisi kama ulivyokaa kwenye keyboard unatype... safari ya uchungu mwendo wa kasi kufa na kupona kuokoa maisha ya mtoto akafariki saa 1 kabla ya kufika muhimbili.
3. Watumishi hawa chini wanafanya kazi kama punda... mateso makali... wewe sijui ndio nyie wa wizarani huko mnao toaga maagizo kama MCD...
4. Binafsi nimewaza ipo umuhimu kuimalisha hospitali za kanda na mikoa. Kuliko kushikilia huo mzero iq harafu unaandika comment za kuwatukana punda wenzetu hao.
5. Chukueni posho... posho ya damu na uchungu japo najua hata hamtaweza kununulia kilo ya nyama kwa kumbukumbu ngumu ya usiku wa Giza la mauti
Hawana huo utamaduni, wapo wanapanga waje wajinasue vipi na hili sakata.Siyo serikali, ilitakiwa waziri awajibike,
Msishangae huyo sio wa kwanza na kwa hali hilivyo hatokuwa wa mwisho, nchi ya ajabh sana hii.Ndio utajua tulivyo wabinafsi.
Hao waliomsafirisha yawezakawa walitoa ushauri mkubwa tu juu ya jambo husika ila bila kujali watu wakajipangia cha kufanya.
Wewe ingia kwa Cruiser..huyo atafika tu kwa mipango ya Mungu Muhimbili.
Siwezi kuwalaumu hao waliokuwa kwa Ambulance kumsafirisha.
Nani alihusika kutoa maamuzi ya kubahatisha kiasi hicho?
Kwa muda waliotumia hao ,je nini kilishindikana kwenda Bugando na kama lengo lilikuwa uhai.Hao Madaktari Bingwa walishindwa kusafirishwa kwa dhararua kuokoa uhai wa Mtoto?
Ubinafsi na mawazo mgando kwa baadhi ya watu wenye nyazifa huko kwenye maamuzi.
Waliohusika kufanya maamuzi wana la kujibu mioyoni mwao.
Tuambie basiShida hujui kilicho wapata mpaka kuchukua maamuzi hayo mkuu
Usiende mbali tuu mtoto wa cdf aliyemaliza muda wake. Alifatwa na chopa ya jeshi baada ya ajari ya mwanae kwenye ndege
Kifupi ni aibu tupu.Emergency kilometa zaidi ya elf 1 are we crazy.
Kwann tusiboreshe hospital za mikoa. RIP mtoto ukuzaliwa kwenye familia ya walamba asali usingefia njiani.
Madakatari wenu wa miaka hii ni wapumbavu,harafu wakiswekwa Ndani utasikia mpuuzi mmja anasema siasa inaingilia taaluma..Wakulaumu ni dakitari alio towa kibali cha rufaa, baada ya kujua hali ya mgonjwa kumrifa dar es salaam muhimbili hopeless