Serikali isiwalipe posho waliokuwa wakimsafirisha kwa gari mtoto mahututi toka Kigoma kwenda Dar es Salaam

Mtoto alikuwa kwenye hali tete kiasi hicho angewezaje kumudu mikikimikii ua rough road hatimaye safari ndefu ya Kigoma to Dar?
Mimi sio daktari lakini hawa walilenga kulipana posho za safari vinginevyo wangetumia ndege kuokoa uhai.
uliwapa ndege wakakataa kumpakia ?
 
Hadi sasa hivi hamna kiongozi yeyote ambaye kashajiuzulu??
 
Hili tukio ni mfano tosha kuwa awamu hii maskini hawana chao.
Naibu Waziri wa Afya ni Dokta wa Meno aliyenunuliwa na Mwendazake unategemea nini hapo.
Tulishawaambia acheni "Cheap Propaganda"
 
Lawama as usual siyo? Tayari umeshafika conclusion kuwa ma-Dr ndio wapumbavu.
What if walitoa hiyo suggestion na ikawekwa kando kama ilivyo mara nyingi.

wengi wetu tuna-comment bila kuwa na taarifa sahihi na hatujui indication ya huyo mgonjwa kuwa reffered.
 
Iwekwe kando na nani?
 
Kuna mambo ya ajabu huwezi amini yanatendeka karne hii.
Hiyo ni tisa, kumi ni wale watoto wa "Luck Vicent" kama nimekosea nisahihishwe, walipata ajali Mbaya, wakiwa na dislocation za viungo mbalimbali, lakini walirundikwa hospital ya Arusha kwa zaidi ya siku tano bila hata pain killer, hadi walipokuja kuchukuliwa na ndege ya wasamaria toka America.
 
Angekuwa wa familia fulani,mtoto wa mtu maarufu...angepelekwa kwa ndege na kupata michango ya kutaka sifa watu
Ila kwa sababu mtoto hyo katokea familia ya kawaida/chini watu hawana habari

Ova
Nimesikitika sana[emoji22]
 
Mwandishi unadhani hiyo Per Diem ni kiasi gani yenye thamani ya kuhatarisha maisha kwenye ambulance Kigoma to Dar?
Jamaa wanachukulia vitu kirahisi rahisi wanaona hiyo kazi ya kutembea na ambulance kigoma-Dar ni sawa na kupanda super Feo
 
Hongera sana.Kimsingi watu wanakurupuka kwa sababu ya ujinga,kama mtoa mada angelikuwa na uelewa kuhusu magonjwa/conditions na matibabu yake basi asingelithubutu kuongea upupu ule.
 
Posho, maslahi, upigaji, per diem
 
Angekuwa wa familia fulani,mtoto wa mtu maarufu...angepelekwa kwa ndege na kupata michango ya kutaka sifa watu
Ila kwa sababu mtoto hyo katokea familia ya kawaida/chini watu hawana habari

Ova
Kingwangwalwa
 
Tanzania hii maajabu hayatakaa yaishe, ni wajinga na wapuuzi sana, Mfyuuuuuuuu zao
 
Inategemea kama shida ya msingi ingeweza kupatiwa ufumbuzi pale Bugando. Wakati mwingine watu hupiga simu na kushauriana kuwa kwa hali ya mgonjwa ni vyema aende kituo X au Y.
Sio kituo cha muhimbili aisee, kigoma - dar? hata kama ni hiyo ambulance, hapana aisee....hizo hospital za rufaa za mikoa wanazosema wameboresha, wameboresha nini...kigoma hadi dar hapo katikati wamevuka hospital ngapi za rufaa
 
Sio kituo cha muhimbili aisee, kigoma - dar? hata kama ni hiyo ambulance, hapana aisee....hizo hospital za rufaa za mikoa wanazosema wameboresha, wameboresha nini...kigoma hadi dar hapo katikati wamevuka hospital ngapi za rufaa

Taja hospitali ambayo ni superior kwa speciality vs superspeciality Tanzania hii zaidi ya Muhimbili na ambayo inatoa huduma kwa mwananchi wa kawaida. Kumbuka mgonjwa kama huyo anaweza kwenda kwenye multiple complications kutokana na kupoteza damu nyingi:
Mfano:
Electrolytes issues
DIC
Renal failure
Pia Embolism etc.

Hivyo kuhitaji multiple team approach.
mfano:
1: Tuna vascular surgeon wangapi vs neurosurgeon wangapi vs thoracic surgeon wangapi? etc.

2: Vitendea kazi kwa hao watu kuweza kufanya kazi?
ICU-Special/Isolation
Dialysis
Technology na mazingira?

3: Umri wa mgonjwa kuwa challege pia.

Mpaka daktari akakaa chini na kuandika rufaa tambua kulikuwa na hitaji kwa njia moja au nyingine.

Kumbuka kuwa hawa watu pia huwa wanapigiana simu kabla na baada ya mgonjwa kufika sehemu husika.

Wakati mwingine unaweza kupewa maelekezo tu jinsi ya kufanya, lakini ukiona ambulance imetolewa toka Kigoma mpaka DSM kuna mikono mingapi kuipitisha/mpaka mkoani ujue hatutakuwa na ambulance hii kwa siku kadhaa au ipate hitirafu njiani.

Itoshe kusema hitaji lilikuwepo. Ila njia ndo ilihitaji mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…