trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,944
- 2,283
uliwapa ndege wakakataa kumpakia ?Mtoto alikuwa kwenye hali tete kiasi hicho angewezaje kumudu mikikimikii ua rough road hatimaye safari ndefu ya Kigoma to Dar?
Mimi sio daktari lakini hawa walilenga kulipana posho za safari vinginevyo wangetumia ndege kuokoa uhai.