JF inawajuaji sana aisee.
Angekuwa mtu mwingine maarufu au mwanasiasa, Chopa ingetafutwa mapema tu. Kwa kuwa mtoto ni kapuku na tena muda huo wazazi washatangulia, hawakujali kabisa kuokoa maisha ya mtoto.Uongozi wa mkoa na hospitali ya Maweni ulishindwa kutumia akili kabla ya kuamua mtoto aliye mahututi asafirishwe kwa gari toka Kigoma mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya tiba iliyowashinda, walishindwa kupata ndege ya Flying Doctor au kumpeleka Mwanza!
Walizipita hospitali za Kitete Tabora, Mkapa Morogoro na wakawa na nia ya kuipita ya Morogoro na mtoto akawafia njiani mkoani Morogoro! Hiki kitendo ni cha kijinga sana.
Pascal Mayala analijua hilo ndio sababu hatembelei pande hii isiyokuwa na maslahi yaliyonona.Angekuwa mtu mwingine maarufu au mwanasiasa, Chopa ingetafutwa mapema tu. Kwa kuwa mtoto ni kapuku na tena muda huo wazazi washatangulia, hawakujali kabisa kuokoa maisha ya mtoto.
Mkuu mwenyewe ulivyoona hiyo habari kua walikua wanampeleka muhimbili kwa gari nilishangaa sana, kama kulikua na ulazima wa muhimbili basi wangetumia ndege au wampeleke hosptal ya rufaa ya kanda budango maana wapo vizuri pia na sio mbali kutoka kigoma compare na muhimbili, uwezi mbeba mtu mahutinmhuti kwenye ambulance kwa huo umbali huku akihitaji support nyingi na pia mitikisiko ya gari na afike salama.Uongozi wa mkoa na hospitali ya Maweni ulishindwa kutumia akili kabla ya kuamua mtoto aliye mahututi asafirishwe kwa gari toka Kigoma mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya tiba iliyowashinda, walishindwa kupata ndege ya Flying Doctor au kumpeleka Mwanza!
Walizipita hospitali za Kitete Tabora, Mkapa Morogoro na wakawa na nia ya kuipita ya Morogoro na mtoto akawafia njiani mkoani Morogoro! Hiki kitendo ni cha kijinga sana.
Aisee mkuj ni kweli kabisaa ...ivi najiuliza hao walikuwa ndan ya gari walikuwa wana safiri bila kula bila kuchimba dawa ? Ina maana walikuwa hawasimami njiani ... Au landa mhonjwa hakuwa mahututi ?Uongozi wa mkoa na hospitali ya Maweni ulishindwa kutumia akili kabla ya kuamua mtoto aliye mahututi asafirishwe kwa gari toka Kigoma mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya tiba iliyowashinda, walishindwa kupata ndege ya Flying Doctor au kumpeleka Mwanza!
Walizipita hospitali za Kitete Tabora, Mkapa Morogoro na wakawa na nia ya kuipita ya Morogoro na mtoto akawafia njiani mkoani Morogoro! Hiki kitendo ni cha kijinga sana.
Picha niliyoiona wakiwa wameteremka kwenye Landkruza Morogoro baada ya mtoto kufariki haioneshi kuwa walikuwa wakimsafirisha mgonjwa, sikuona nesi wala dakitari wakiwa kwenywe mavazi yao ya kazi, inawezekana pia mgonjwa alilazwa kwenye machela.Aisee mkuj ni kweli kabisaa ...ivi najiuliza hao walikuwa ndan ya gari walikuwa wana safiri bila kula bila kuchimba dawa ? Ina maana walikuwa hawasimami njiani ... Au landa mhonjwa hakuwa mahututi ?
Sisi si watumishi wa hosipitali ya Maweni Kigoma na wala si viongozi wa mkoa ila ni wapitanjia tulioliona tukio la kijinga ambalo wewe unaliona la kishujaa.Bila kutaja sababu iliyowafanya hao watumishi kufanya hivyo, wote nasema mnaropoka tu.
..We ulishawahi panda hiyo ndege,ndege sio bajaj
Usafir wa ndege upo kila siku ndugu.Mtoto alikuwa kwenye hali tete kiasi hicho angewezaje kumudu mikikimikii ua rough road hatimaye safari ndefu ya Kigoma to Dar?
Mimi sio daktari lakini hawa walilenga kulipana posho za safari vinginevyo wangetumia ndege kuokoa uhai.
Hazizungumziwi ndege za ATCL au za abiria wa kawaida, hapa ndege husika ni za Flying Doctors ambazo haitwa na hospitali husika, hizi ni ambulansi za angani.uliwapa ndege wakakataa kumpakia ?
Hazizungumziwi ndege za ATCL au za abiria wa kawaida, hapa ndege husika ni za Flying Doctors ambazo haitwa na hospitali husika, hizi ni ambulansi za angani.uliwapa ndege wakakataa kumpakia ?
Angekuwa wa familia fulani,mtoto wa mtu maarufu...angepelekwa kwa ndege na kupata michango ya kutaka sifa watu
Ila kwa sababu mtoto hyo katokea familia ya kawaida/chini watu hawana habari
Ova
Wapi uliona tanzania hii mtoto wa masikini akapanda ndege kuwahiswha huduma,usituletee mambo ya kwenye filamu,bado hatujafika anga hizo..
Sawa, lakini SI inapandwa na Watu kama huyo Mtoto mahututi?
Tusitetee Ujinga...!
Huenda Liberatus Sabas amepanda ndege kwenda kupeleleza lkn mgonjwa amebwa na ambulanceWapi uliona tanzania hii mtoto wa masikini akapanda ndege kuwahiswha huduma,usituletee mambo ya kwenye filamu,bado hatujafika anga hizo
Hiyo ndio bongo mkuu usione ajabu tumeshawazoeaHuenda Liberatus Sabas amepanda ndege kwenda kupeleleza lkn mgonjwa amebwa na ambulance
Tusiwazoee tuwakemeeHiyo ndio bongo mkuu usione ajabu tumeshawazoea
Hayasikii hayoTusiwazoee tuwakemee