Serikali isiwalipe posho waliokuwa wakimsafirisha kwa gari mtoto mahututi toka Kigoma kwenda Dar es Salaam

JF inawajuaji sana aisee.

Ni suala la mitizamo tu kulingana na uelewa, mtu anaona tatizo kulingana na exposure yake.

Lakini haya mambo ni mazito kuliko. Ni kwa kuwa wengine hawaruhusiwi kupanda jukwaani au kukata rufaa openly.
 
Uongozi wa mkoa na hospitali ya Maweni ulishindwa kutumia akili kabla ya kuamua mtoto aliye mahututi asafirishwe kwa gari toka Kigoma mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya tiba iliyowashinda, walishindwa kupata ndege ya Flying Doctor au kumpeleka Mwanza!

Walizipita hospitali za Kitete Tabora, Mkapa Morogoro na wakawa na nia ya kuipita ya Morogoro na mtoto akawafia njiani mkoani Morogoro! Hiki kitendo ni cha kijinga sana.
Angekuwa mtu mwingine maarufu au mwanasiasa, Chopa ingetafutwa mapema tu. Kwa kuwa mtoto ni kapuku na tena muda huo wazazi washatangulia, hawakujali kabisa kuokoa maisha ya mtoto.
 
Pascal Mayala analijua hilo ndio sababu hatembelei pande hii isiyokuwa na maslahi yaliyonona.
 
Uongozi wa mkoa na hospitali ya Maweni ulishindwa kutumia akili kabla ya kuamua mtoto aliye mahututi asafirishwe kwa gari toka Kigoma mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya tiba iliyowashinda, walishindwa kupata ndege ya Flying Doctor au kumpeleka Mwanza!

Walizipita hospitali za Kitete Tabora, Mkapa Morogoro na wakawa na nia ya kuipita ya Morogoro na mtoto akawafia njiani mkoani Morogoro! Hiki kitendo ni cha kijinga sana.
Mkuu mwenyewe ulivyoona hiyo habari kua walikua wanampeleka muhimbili kwa gari nilishangaa sana, kama kulikua na ulazima wa muhimbili basi wangetumia ndege au wampeleke hosptal ya rufaa ya kanda budango maana wapo vizuri pia na sio mbali kutoka kigoma compare na muhimbili, uwezi mbeba mtu mahutinmhuti kwenye ambulance kwa huo umbali huku akihitaji support nyingi na pia mitikisiko ya gari na afike salama.
 
Uongozi wa mkoa na hospitali ya Maweni ulishindwa kutumia akili kabla ya kuamua mtoto aliye mahututi asafirishwe kwa gari toka Kigoma mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya tiba iliyowashinda, walishindwa kupata ndege ya Flying Doctor au kumpeleka Mwanza!

Walizipita hospitali za Kitete Tabora, Mkapa Morogoro na wakawa na nia ya kuipita ya Morogoro na mtoto akawafia njiani mkoani Morogoro! Hiki kitendo ni cha kijinga sana.
Aisee mkuj ni kweli kabisaa ...ivi najiuliza hao walikuwa ndan ya gari walikuwa wana safiri bila kula bila kuchimba dawa ? Ina maana walikuwa hawasimami njiani ... Au landa mhonjwa hakuwa mahututi ?
 
Picha niliyoiona wakiwa wameteremka kwenye Landkruza Morogoro baada ya mtoto kufariki haioneshi kuwa walikuwa wakimsafirisha mgonjwa, sikuona nesi wala dakitari wakiwa kwenywe mavazi yao ya kazi, inawezekana pia mgonjwa alilazwa kwenye machela.
 
Bila kutaja sababu iliyowafanya hao watumishi kufanya hivyo, wote nasema mnaropoka tu.
Sisi si watumishi wa hosipitali ya Maweni Kigoma na wala si viongozi wa mkoa ila ni wapitanjia tulioliona tukio la kijinga ambalo wewe unaliona la kishujaa.
 
Usafir
Mtoto alikuwa kwenye hali tete kiasi hicho angewezaje kumudu mikikimikii ua rough road hatimaye safari ndefu ya Kigoma to Dar?
Mimi sio daktari lakini hawa walilenga kulipana posho za safari vinginevyo wangetumia ndege kuokoa uhai.
Usafir wa ndege upo kila siku ndugu.
 
uliwapa ndege wakakataa kumpakia ?
Hazizungumziwi ndege za ATCL au za abiria wa kawaida, hapa ndege husika ni za Flying Doctors ambazo haitwa na hospitali husika, hizi ni ambulansi za angani.
 
Angekuwa wa familia fulani,mtoto wa mtu maarufu...angepelekwa kwa ndege na kupata michango ya kutaka sifa watu
Ila kwa sababu mtoto hyo katokea familia ya kawaida/chini watu hawana habari

Ova

Siku zote ukiwa huna kitu watu hawajali
 
Kwanin mpaka muhimbili?kil hospital ijitegemee tu serikali ya ccm hovyooo
 
..
Sawa, lakini SI inapandwa na Watu kama huyo Mtoto mahututi?
Tusitetee Ujinga...!
Wapi uliona tanzania hii mtoto wa masikini akapanda ndege kuwahiswha huduma,usituletee mambo ya kwenye filamu,bado hatujafika anga hizo
 
Huenda Liberatus Sabas amepanda ndege kwenda kupeleleza lkn mgonjwa amebwa na ambulance
 
Hata mimi nimejuliza, ilishindikana kupatikana ndege ili kuwahi Muhimbili na badala ikaonekana ambulance ndiyo jawabu?? nadhani haukuwa uamuzi sahhihi! Pumzika kwa amani mtoto umeachana na dunia ya shida na dhiki nyingi!😕
 
inaumiza na kusikitisha sana.
sasa sijui ni uzembe au ni uvivu wa kufikiria!!
kwakweli imeniumiza sana kumpoteza huyo mtoto, wizara ya afya inapaswa iwajibike kwa hili.
 
Back
Top Bottom