Waambiwe ukweli wazi kuwa wakifanya uharibufu wowote watakumbana na mkono wa dola. Halafu wapewe uhuru wa kuandamana huku wakithibitiwa kuzuia uharibifu.Kuna vijana wametangaza kubeba vidumu vya petrol kwenda navyo kwenye hayo maandamano.
Maandamano yanataka yasiwe na kikomo, yafanyike kila kata nchini...
Ni kweli, maelekezo ya maandamano yako fuzzy kweli; inaonekama kama vile hayana lengo bali kuleta vurugu tu.Tunaanzia wapi kuandamana na tunaishia wapi?!
Au tunazurura tu hovyo hovyo?!
Tupewe uelekeo na message ni ipi ili tuifikishe kwa muhusika.
Tunaenda ikulu ya magogoni au ofisi za tume Dodoma?!
Hawakuomba mkuu, hapo ndio kwenye tatizo, kwa sababu wao wanataka maandamano yasiyo na ukomo. Vile vile hawataki hayo maandamano wafanyie kwenye majimbo yao walioshindwa bali bandari salama....nachukulia kuwa wameomba kibali kwa mujibu wa sheria.
Nakubaliana na wewe. Katika kufanikisha hili, ilibidi wanaotaka kuandamana kuonyesha ishara ya amani. Changamoto ni lugha wanazotumia. Halafu wamekuwa wakitumia lugha hizohizo kabla hata uchaguzi haujafanyika. Kwahiyo inaonyesha ishara kuwa walijiandaa na shari.Waambiwe ukweli wazi kuwa wakifanya uharibufu wowote watakumbana na mkono wa dola. Halafu wapewe uhuru wa kuandamana huku wakithibitiwa kuzuia uharibifu. Ninajua hata hapa JF kuna watu huchukia sana miradi hiyo na wangetaka ibomolewe ndipo wafurahi! Lakini bado ningependa waruhusiwe maandamano haya kwa uasimamizi mzuri wa polisi, kama ambavyo polisi walikuwa wakimsimamia Lissu wakati wa kampeini zake.
Hahaha mnaogopa bure, Tanzania hii maandamano yanatofauti gani na siku zingine.Ni kweli, maelekezo ya maandamano yako fuzzy kweli; inaonekama kama vile hayana lengo bali kuleta vurugu tu.
Tunaanzia wapi kuandamana na tunaishia wapi?!
Au tunazurura tu hovyo hovyo?!
Tupewe uelekeo na message ni ipi ili tuifikishe kwa muhusika.
Tunaenda ikulu ya magogoni au ofisi za tume Dodoma?!
Mpore uchaguzi then mtake watu watii sheria. Mmezoe uharamia. Sasa basi.Kuna vijana wametangaza kubeba vidumu vya petrol kwenda navyo kwenye hayo maandamano.
Maandamano yanataka yasiwe na kikomo, yafanyike kila kata nchini.
Hakuna nchi duniani inayoweza kuruhusu maandamano ya hivyo. Hata kule Marekani walitumia Jeshi kudhibiti maandamano yasiyo na kikomo.
Vilevile, hawajafanya jitihada zozote za kuaddress matakwa yao. Kwa mfano, wagombea ubunge na udiwani wanaweza kufungua kesi. Wakapeleka ushahidi kama wanao. Mgombea Urais anaweza kutafuta dialogue na upande wa pili kupitia wasuluhishi mbalimbali.
Maandamano bila kikomo nchi nzima ni uhaini. Ni wajibu wa jeshi la wananchi pia kudhibiti uhaini.
Nenda wewe kafungue kesi ya kuzuia maandamano, Mahakama ziliwekwa MFUKONI na Magufuli muda mrefu hatuwezi kwenda KUJISUMBUA TU HUKO. Sisi tunaingia barabarani mapema sanaKuna vijana wametangaza kubeba vidumu vya petrol kwenda navyo kwenye hayo maandamano.
Maandamano yanataka yasiwe na kikomo, yafanyike kila kata nchini...
Magufuli aruhusu maandamano? labda ya kumpongeza.Mimi nadhani itakuwa ni busara kwa serikali kuwaachia Lissu na Hamad kufanya maandamano yao, tena iwape ulinzi mzuri na thabiti kusudi maandamano hayo yasiharibu mali za watu wengine...
Frustration anayo Magufuli, aliyeiba kura kweupee!Mimi nadhani itakuwa ni busara kwa serikali kuwaachia Lissu na Hamad kufanya maandamano yao, tena iwape ulinzi mzuri na thabiti kusudi maandamano hayo yasiharibu mali za watu wengine...