Serikali isiwazuie Lissu na Hamad kufanya Maandamano

Serikali isiwazuie Lissu na Hamad kufanya Maandamano

Frustration anayo Magufuli, aliyeiba kura kweupee!

Ndio maana anazuia maandamano!

Lissu na Hamad wasingeandamana wangeshindwa kihalali, shinz!
Usijidanganye mzee, upinzani hawajawi kukubali kushindwa uchaguzi wowote. Mwaka 2010 Hamad alipoahidiwa cheo alinyamaza lakini chama chake bado kililalamika kuibiwa kura. Wao wanaamini kuwa uchaguzi halali ni ule unaowapa ushindi tu.
 
Ni kweli, maelekezo ya maandamano yako fuzzy kweli; inaonekama kama vile hayana lengo bali kuleta vurugu tu.
Na wewe umefikia stage hii? Hata kama ni mapenzi sasa huu ni ujinga. Magufuli anaipeleka nchi kubaya sana. Hujui kuwa matatizo yatatukumba wote. Uchaguzi gani rais ''anateulia'' wananchi wake wabunge? Bunge linateuliwa na mtu mmoja siku hizi? Athari za anayofanya Magufuli zitabakia kwa muda mrefu hata baada ya yeye kuondoka. Hapa watu wote wenye mapenzi mema na nchi lazima wasimame kutetea nchi yetu inayoharibiwa na kichaa mmoja.
 
Usijidanganye mzee, upinzani hawajawi kukubali kushindwa uchaguzi wowote. Mwaka 2010 Hamad alipoahidiwa cheo alinyamaza lakini chama chake bado kilillamika kuibiwa kura. Wao wanaamini kuwa uchaguzi halali ni ule unaowapa ushindi tu.
Uzuri ni kuwa unajua kabisa unachoandika ni uongo! Na unajua kabisa Magufuli kama asingeli-terrorize zoezi la uchaguzi angeshindwa vibaya sana. Na unajua kabisa kuwa angethubutu na kuruhusu maandamano, kusingekuwa na uharibifu wowote bali malaki ya watanzania wangejitokeza na kuwa aibu kubwa kwa Magufuli aliyejipachika ''ushindi'' wa kishindo.
 
Na wewe umefikia stage hii? Hata kama ni mapenzi sasa huu ni ujinga. Magufuli anaipeleka nchi kubaya sana. Huju kuwa matatizo yatatukumba wote. Uchaguzi gani rais ''anateulia'' wananchi wake wabunge? Bunge linateuliwa na mtu mmoja siku hizi? Athari za anayofanya Magufuli zitabakia kwa muda mrefu hata baada ya yeye kuondoka. Hapa watu wote wenye mapenzi mema na nchi lazima wasimame kutetea nchi yetu inayoharibiwa na kichaa mmoja.
Matusi hayasaidii. Kati ya Magufuli na Lissu kiuongozi, Magufuli ni 90% wakati Lissu ni 10%; hakuna ambaye yuko perfect, lakini Lissu ni mlopokaji ambaye wakati mwingine anasahu aliyosema na kuahidi, wakati Magufulia anafuatilia kila neno lake. Wewe shiba maneno ya Lissu, mimi ninataka matendo ya Magufuli. Ukiniona mjinga, hiyo ni haki yako kujitetea kwani mimi najua nina akili sana kuliko wewe kulingana na uliyoandika.
 
Uzuri ni kuwa unajua kabisa unachoandika ni uongo! Na unajua kabisa Magufuli kama asingeli-terrorize zoezi la uchaguzi angeshindwa vibaya sana. Na unajua kabisa kuwa angethubutu na kuruhusu maandamano, kusingekuwa na uharibifu wowote bali malaki ya watanzania wangejitokeza na kuwa aibu kubwa kwa Magufuli aliyejipachika ''ushindi'' wa kishindo.
Nimeshafuatilia vijiji vyote ambavyo nina uhusiano navyo kwenye mikoa ya Tabora, Mwanza na Kilimanjaro; hakuna watu wanaoamini kuwa CHADEMA na Lissu wanaweza kuongoza nchi hii. Kwenye vijiji hivyo vyote hakuna hata ofisi za CHADEMA wakati bendera za CCM zipo kila sehemu
 
Matusi hayasaidii. Kati ya Magufuli na Lissu kiuongozi, Magufuli ni 90% wakati Lissu ni 10%; hakuna ambaye yuko perfect, lakini Lissu ni mlopokaji ambaye wakati mwingine anasahu aliyosema na kuahidi, wakati Magufulia anafuatilia kila neno lake. Wewe shiba maneno ya Lissu, mimi ninataka matendo ya Magufuli. Ukiniona mjinga, hiyo ni haki yako kujitetea kwani mimi najua nina akili sana kuliko wewe kulingana na uliyoandika.
Kwanza nikuambie kuwa ujinga siyo matusi. Hili la kusema kuwa uko na Magufuli wala sishangai wala sikwaziki. Ni haki yako kama mimi navyoamini kuwa Lissu anaweza kuwa rais mzuri kuliko Magufuli. Cha kunishangaza mimi ni kuona rais alivyo-terrorize uchaguzi na kuufanya ugeuke kama zoezi la yeye kugawia anaowapenda ubunge. Hakika hakuna mtu mweledi anayeweza kutetea ujinga kama huu. Labda uwe mtu mjinga sana na usiyejua umuhimu wa wananchi kuchagua wawakilishi wao.
 
Nimeshafuatilia vijiji vyote ambavyo nina uhusiano navyo kwenye mikoa ya Tabora, Mwanza na Kilimanjaro; hakuna watu wanaoamini kuwa CHADEMA na Lissu wanaweza kuongoza nchi hii. Kwenye vijiji hivyo vyote hakuna hata ofisi za CHADEMA wakati bendera za CCM zipo kila sehemu
Kama hali iko hivyo ni kwanini basi huyo Magufuli asiache watu wapige kura na kuamua wenyewe kumkataa huyo Lissu? Anachoogopa ni nini? NB: Laiti ungejua mimi nilikuwa mtetezi mkubwa wa Magufuli kuliko unavyomtete wewe. Mimi mtu anapoharibu siwezi kutetea ujinga wake. BTW hali ya kisiasa vijijini huwezi kunidanganya mimi. Nikuhakikishie kuwa hakuna rais aliyechokwa huko vijijini kama Magufuli.
 
Uliomba pia theme tukakupa na ukaomba ratiba na uelekeo navyo naona umepewa.

Tukutane Tahrir square.
FFU walisubiri wachumba wao hamkutokea Hadi wakaanza kuimba kuwa walishachukua na vyumba. Waandamanaji kumbe wachumba tuu ingieni barabarani waje wajichagulie wachumba.
 
Mimi nadhani itakuwa ni busara kwa serikali kuwaachia Lissu na Hamad kufanya maandamano yao, tena iwape ulinzi mzuri na thabiti kusudi maandamano hayo yasiharibu mali za watu wengine.

Ikiwezekana maandamano yote yarekodiwe tangu mwanzo hadi mwisho; yakiisha bila kuingilia uhuru na haki za raia wengine basi vizuri, na yakitaka kuingilia uhuru na haki za raia wengine ndipo yadhibitiwe na kuwa na ushahidi wa video kuonyesha kuwa yalivunja Sheria.

Maandamano hayo yanaweza kusaidia kuwaondolea frustration za kushindwa uchaguzi na kuanza kujipanga upya kisiasa.
Hivi uchaguzi huu walishindwa? Uhalali wa kushinda game lolote lile ni pale kanuni za mchezo zinapofuatwa na kuzingatiwa.
Jee kanuni za uchaguzi huu zilifuatwa inavyotakiwa ili mshindi apatikane?
 
Hivi uchaguzi huu walishindwa? Uhalali wa kushinda game lolote lile ni pale kanuni za mchezo zinapofuatwa na kuzingatiwa.
Jee kanuni za uchaguzi huu zilifuatwa inavyotakiwa ili mshindi apatikane?
Hakuna ushahidi wa kuonyesha kuwa kanuni hazikufuatwa; ninachoona ni malalamiko ya upinzani ya miaka nenda rudi kila wanaposhindwa uchaguzi.
 
FFU walisubiri wachumba wao hamkutokea Hadi wakaanza kuimba kuwa walishachukua na vyumba. Waandamanaji kumbe wachumba tuu ingieni barabarani waje wajichagulie wachumba.

"Wana hawapigi mayowe mtaona wenyewe."

"Unataka upewe list ya kunakofuka moshi?"
 
Shida sio maandamano walengwa wange tumia akili kidogo basi...

Maandamano nchi nzima nauyasio na Kikomo..
Je kufanya hivyo Kuna faida gani kwa taifa??

Hao watu wata tumia Barabara, Kuna watu wata shindwa wahi kazini, hospital, nk

Yaani police wawe bize kuwa Linda kila siku mana wame Sema hakuna Kikomo na kisheria hakuna maandamano ya hivyo yani tuseme watu waandamane tangu tareh 2/11/2020 - - - - 10 /3/2021?

Unajua ni watu wangap wata shindwa kufanya udharishaj?
 
ndio ujinga wao watu waliotaka kutungoza. Hawajui kuwa hata nchi za maga=haribui zinazowasapoti zinaweza kuwa eka kwenye kundi la magaidi wakaosa kila kitu
 
Back
Top Bottom