Serikali isiwazuie Lissu na Hamad kufanya Maandamano

Serikali isiwazuie Lissu na Hamad kufanya Maandamano

Sikwaziki ila nataka kuona hizi kelele mnapiga hapa zifanyike kwa matendo tuyaone kweli hayo maandamano ya Amani isije kuwa kama ya Mangekimambi.
Wengine wahamasishaji tu hawawezi kuwepo kwenye maandamano. Mimi binafsi sitakuwepo lakini sioni tatizo wakiandamana ,ni haki yao kikatiba sema kuna watu hawaitii tena katiba yetu, wanaifananisha na vijarida vya ABC vya chekechea.

Mtu anaandamana badala ya kwenda kusikiliza shida zake (hii hufanywa na viongozi wastaarabu wanaojua thamani ya kuwa kiongozi) wewe unatuma jeshi likawatawanye ( hii hufanywa na viongozi waoga wanaodhani mauaji ni suluhisho)
 
Hatukutaki humu leo nenda kaandamane huja ambiwa uwe ripota [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] saa mbil kasoro hii
 
Keyboard warriors
46847396-F195-42EA-86F3-480310447BC5.jpeg
 
Nilidhani utasema watu waachwe waandamane kutumia haki yao kikatiba kumbe wewe unasema itasaidia kutoa frustration za kushindwa na ndio hivi ccm inafurah wananchi kuwa wajinga na kutotambua haki zao kikatiba kujengewa hofu kila kitu wananchi wakipewa au kuruhusiwa kufanya kionekane ni hisani..
 
Mimi nadhani itakuwa ni busara kwa serikali kuwaachia Lissu na Hamad kufanya maandamano yao, tena iwape ulinzi mzuri na thabiti kusudi maandamano hayo yasiharibu mali za watu wengine...
Shida wanatumia vijana ambao hawajitambui, wavuta bag, wanachoma matairi, wangekuwa wanatumia ustarabu ingefaa zaidi,, lakn kwa sas WAPIGWE TU
 
Usinichanganyie Battery Na Gunzi Hiyo Torch Sitaiwasha
😁😊😅😄
42003809_1957837717612216_323658202699943141_n.jpeg
 
Hoja yako ni ya msingi, Ila kama hao majizi wasingekuwa wamekwiba uchaguzi.

"The guilty are always afraid."
Hakuna ushahidi wowote kuonyesha kuwa kulikuwa na wizi wa kura. Kuna mazingaombwe yaliyofanywa na upinzani walipokuwa wanaona wanashindwa ili kutafuta sababu ya kutokea kwa kujifanya kuwa kukamata kura za bandia lakini wakawa wanazichoma badala ya kuzishika ili wazitoe ushahidi. Tena hiyo imeonekana katika majimbo mawili tu, ya Kawe na Kigoma mjini!
 
Usinichanganyie Battery Na Gunzi Hiyo Torch Sitaiwasha
😁😊😅😄
Hii picha ni zamanai kdiogo, ila huyo jamaa hapo kulia anaonekana an roho ya kinyama kweli
1604293821881.png
 
Unapotimiza haki yako ya kuandamana jua kuwa kuna mwingine anahitaji kutimiza haki yake ya kufanya kazi, kuwa na mali, kupata elimu, tiba n.k hivyo utaona umuhimu wa kuyazuia maandamano kwani haki nyingine zote hizo zinawekwa rehani.
 
Waambiwe ukweli wazi kuwa wakifanya uharibufu wowote watakumbana na mkono wa dola. Halafu wapewe uhuru wa kuandamana huku wakithibitiwa kuzuia uharibifu. Ninajua hata hapa JF kuna watu huchukia sana miradi hiyo na wangetaka ibomolewe ndipo wafurahi! Lakini bado ningependa waruhusiwe maandamano haya kwa uasimamizi mzuri wa polisi, kama ambavyo polisi walikuwa wakimsimamia Lissu wakati wa kampeini zake.
ili badae muanze kulilia haki za binadamu?
 
Mimi nadhani itakuwa ni busara kwa serikali kuwaachia Lissu na Hamad kufanya maandamano yao, tena iwape ulinzi mzuri na thabiti kusudi maandamano hayo yasiharibu mali za watu wengine.

Ikiwezekana maandamano yote yarekodiwe tangu mwanzo hadi mwisho; yakiisha bila kuingilia uhuru na haki za raia wengine basi vizuri, na yakitaka kuingilia uhuru na haki za raia wengine ndipo yadhibitiwe na kuwa na ushahidi wa video kuonyesha kuwa yalivunja sheria.

Maandamano hayo yanaweza kusaidia kuwaondolea frustration za kushindwa uchaguzi na kuanza kujipanga upya kisiasa.
Maandamano hayo pia yanaweza kuonyesha ukweli wa taarifa za waangalizi wa uchaguzi.
 
Mimi nadhani itakuwa ni busara kwa serikali kuwaachia Lissu na Hamad kufanya maandamano yao, tena iwape ulinzi mzuri na thabiti kusudi maandamano hayo yasiharibu mali za watu wengine.

Ikiwezekana maandamano yote yarekodiwe tangu mwanzo hadi mwisho; yakiisha bila kuingilia uhuru na haki za raia wengine basi vizuri, na yakitaka kuingilia uhuru na haki za raia wengine ndipo yadhibitiwe na kuwa na ushahidi wa video kuonyesha kuwa yalivunja sheria.

Maandamano hayo yanaweza kusaidia kuwaondolea frustration za kushindwa uchaguzi na kuanza kujipanga upya kisiasa.
Ungeitaka serikali iwazuie polisi ambao wako mitaani wanaandamana na kuwatia hofu wananchi.
 
Mimi nadhani itakuwa ni busara kwa serikali kuwaachia Lissu na Hamad kufanya maandamano yao, tena iwape ulinzi mzuri na thabiti kusudi maandamano hayo yasiharibu mali za watu wengine.

Ikiwezekana maandamano yote yarekodiwe tangu mwanzo hadi mwisho; yakiisha bila kuingilia uhuru na haki za raia wengine basi vizuri, na yakitaka kuingilia uhuru na haki za raia wengine ndipo yadhibitiwe na kuwa na ushahidi wa video kuonyesha kuwa yalivunja sheria.

Maandamano hayo yanaweza kusaidia kuwaondolea frustration za kushindwa uchaguzi na kuanza kujipanga upya kisiasa.
Wagawe uwatawale ... Tayari wamefanikiwa kutugawa wakoloni weusi.
IMG_20201102_074728.jpg
 
Magufuli aruhusu maandamano????......labda ya kumpongeza.
Sawa wa kumpongeza nao wapange maandamano yao bila kuingilia ya wapinzani yanayokubalika kikatiba. Maandamano ya amani hugeuka kuwa vurugu Polisi wanapoingilia kati kujaribu kuyavunja kwa maagizo ya woga toka juu. Kama Rais ameshinda kihalali woga wa maandamano ya amani ya wananchi unatokana na nini? Mgombea wa Urais anaogopa hata kushiriki midahalo/mijadala ambayo wagombea wenzake walishiriki vizuri sana na yeye ndiyo akachaguliwa, ataongozaje nchi kama anaogopa kila linalokuja? Ingekuwa ni Mimi kwenye nafasi yake ningeomba kuyapokea maandamano hayo ya wapiga kura wangu nijibu hoja zao zote kuhusu ushindi wangu wa kishindo kufikia kikomo cha maandamano mpaka Uchaguzi mwingine. Tanzania inahitaji Rais jasiri wa kukutana na yote yanavyokuja!
 
Sawa wa kumpongeza nao wapange maandamano yao bila kuingilia ya wapinzani yanayokubalika kikatiba. Maandamano ya amani hugeuka kuwa vurugu Polisi wanapoingilia kati kuyavunja kwa maagizo toka juu. Kama Rais ameshinda kihalali woga wa maandamano ya amani wa nini? Mgombea wa Urais anaogopa kushiriki midahalo/mijadala ambayo wagombea wenzake walishiriki vizuri sana na yeye ndiyo akachaguliwa, ataongozaje nchi kama anaogopa kila kitu? Tanzania inahitaji Rais jasiri!
Kama ameogopa uchaguzi huru na wa haki kwanini asiogope maandamano???
 
Back
Top Bottom