Mimi nadhani itakuwa ni busara kwa serikali kuwaachia Lissu na Hamad kufanya maandamano yao, tena iwape ulinzi mzuri na thabiti kusudi maandamano hayo yasiharibu mali za watu wengine...
Wala hatuiihitaji ruksa yake.Magufuli aruhusu maandamano? labda ya kumpongeza.
Tunaanzia wapi kuandamana na tunaishia wapi?!
Au tunazurura tu hovyo hovyo?!
Tupewe uelekeo na message ni ipi ili tuifikishe kwa muhusika.
Tunaenda ikulu ya magogoni au ofisi za tume Dodoma?!
Mkuu nipo nafanya mazoezi asubuhi hii, leo saa mbili nitakuwepo barabarani.
Unakwazika na maandamano mkuu?Maneno yanakua mengi sana, leo ni tarehe 2/11/2020 na saa hivi ni 12:27 asubuhi tunasubiri kuona maandamano sio mnakua wanaharakati nyuma ya kibodi tuu.
Watanzania wataogopa jeshi.Hakuna wa kuandamana Watanzania wanafahamu ao jamaa ni matapeli na wachumia tumbo. Wame tandikwa kwenye sanduku la kura sasa Wana tapatapa.
Unakwazika na maandamano mkuu?
Kura hajaibiwa Lisu mbowe seif kura wameibiwa wananchi ,hapa hapahusiki lisu na wakuu wengine wamekwenda hawakwenda ,hilo mlielewe vizuri.kila ambae ameona haki haikutendeka,hakukuwa na uchaguzi ni gelesha tu.
Hivyo kila alieliona hilo anapaswa kushiriki katika maandamano hayo,na mnatakiwa muelewe halazimishwi mtu,hata mtu mmoja anatosha.
Kura hajaibiwa Lisu mbowe seif kura wameibiwa wananchi ,hapa hapahusiki lisu na wakuu wengine wamekwenda hawakwenda ,hilo mlielewe vizuri.kila ambae ameona haki haikutendeka,hakukuwa na uchaguzi ni gelesha tu. Hivyo kila alieliona hilo anapaswa kushiriki katika maandamano hayo,na mnatakiwa muelewe halazimishwi mtu, hata mtu mmoja anatosha.