Serikali isizuie watu kwenda kufanya kazi Falme za Kiarabu bali itengeneze mazingira maalumu ya watu kuwa salama wawapo huko

Mtoto wa kike anapaswa kulinda maana hana uwezo wa kujisimamia, kuiachia mtoto wa kike hovyohovyo kuzurura ni kuidhalilisha jamii atokayo.
 
Mkiumizwa na kulawitiwa huko muanze Tena ilaumu serikali
 
Ni uzembe wa serikali,balozi zao zinafanya nini? Nini maana ya diplomasia,kuna upimbi tu
Sasa unataka serikali ya Tanzania iwafanye nini waarabu ili wasiwaue nyie masikini zaidi ya kuwazui msiende au iwapeleke akina mwamposa wakawahubirie waache roho mbaya?
 
Sasa unataka serikali ya Tanzania iwafanye nini waarabu ili wasiwaue nyie masikini zaidi ya kuwazui msiende au iwapeleke akina mwamposa wakawahubirie waache roho mbaya?
Hivi umesoma ujumbe wote na umeelewa?
 
Serikali yeyote haitaruhusu watu hasa wadada wakanyanyaswe saudia
 
Mtoto wa kike anapaswa kulinda maana hana uwezo wa kujisimamia, kuiachia mtoto wa kike hovyohovyo kuzurura ni kuidhalilisha jamii atokayo.
Umesoma ujjmne wangu na kuelewa maudhui yangu? Maana naona unajibu njee ya hoja uyangu
 
Then why wawazuie? Na hili hali wamefuata taratibu zote halafu una mtisha kabisa mtu ati atamuweka polisi,Venezuelaaaah
ni wao wenyewe (hasa akina mama) ndiyo wanaojirekodi kwenye mitandao na kutoa matusi kila leo. Wanawatukana mabosi wao na hivi majuzi walimtukana mpaka Raisi, kwa hivyo wakapigwa marufuku wasiingie nchini hasa Omani.

Sasa wanalalamika nini? Wenzao wa Ethiopia, Uganda, Kenya, Malawi, wahindi tele wanafanya kazi wanachukua riali zao na kwenda kufanya maendeleo.
 
Hii yote ni sababu ya mifumo mibovu,serikali iweke utaratinj maalumu waku wa monitorwawapo huko.
 
Wakenya kila siku wanarudishwa kwenye majeneza, na bado tu hawakomi.
Wacha ujinga huo, na wakenya hao hao wamejaa kibao nchi za uarabuni wanafanya kazi Watanzania wana roho mbaya sana wakiwaona watu wanakwenda kupata riziki zao wanakuwa na choyo kisa yeye hawezi kusafiri na hataki mwenzake asafiri .Immigration sio unamuuliza mtu una kwenda wapi wakati ana viza na tiket yake ,ww kazi yako ni kuangalia passpoti tu kuwa ni halali mambo ya safari au anakwenda fanya nini hayawahusu.
 
Yaani umeandika kama vile mimi ndiyo ninaye wazuia kwenda huko Uarabuni!

Mimi naongelea kuhusu masahibu yanayowakuta raia wengi wa Kenya kurudishwa wakiwa kwenye majeneza! Na pia sina uhusiano na watu wa uhamiaji. Hivyo huo ujinga unao uongelea, utakuwa unakuhusu wewe mwenyewe bila shaka.
 
wacha kueneza uongo wewe
Nieneze uongo ili nifaidike nini, na wakati ni kweli. Mkienda huko Urabuni kwenyewe huwa mnatumikishwa tu kama watumwa.

Naunga mkono muendelee kuwekewe sheria za kuwabana na hao uhamiaji, ili mfuate utaratibu rasmi wa kwenda! Badala ya kupelekwa huko kinyemela, na kugeuzwa kuwa watumwa.
 
Waarabu wana roho mbaya kuliko wazungu.
Ila wavaa pedo wanawapenda kisa Tende na Misikiti
 
Mbona huko kuna dini ya haki na ya amani ya mnyazimungu.
 
Utaratibu maalum upo wa kwenda kufanya kazi huko mkuu, na wapo wanaenda kihorela kuhusu usalama kwa huko ni mdogo sana ukifahamika wewe sio wa huko
Mbona huko kuna dini ya haki kwanini kusiwe na usalama?
 
Saudi arabia wadada wa kazi wanaisoma namba sana
Hata hapa kwetu msichana wakazi wanaosoma namba sh 50000 kwa mwezi wa mwisho kulala wa kwanza kuamba si bora ya kubatisha saudia wapo walio pasua maisha mshahara kwa mwezi 800,000/ kula kulala kwa tajiri kutibiwa mkataba miaka 4 wanaoteswa hiyo ni hajari kazini
 
Waarabu wana roho mbaya kuliko wazungu.
Ila wavaa pedo wanawapenda kisa Tende na Misikiti
Hapa msikiti umeigiaje? tabia za mtu unazifananisha na dini ilijibiwa unachukia chunga domo lako hilo
 
Hizo nchi mbona wanasema ndiyo kuna waislamu safi? Inakuwaje hapo
Tabia ya mtu usichanganye na dini ya watu huna unalo tafuta tofaoti na kutukana tu mdomo unakuwasha kadili tabia ya mtu sio dini ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…