Serikali isizuie watu kwenda kufanya kazi Falme za Kiarabu bali itengeneze mazingira maalumu ya watu kuwa salama wawapo huko

Serikali isizuie watu kwenda kufanya kazi Falme za Kiarabu bali itengeneze mazingira maalumu ya watu kuwa salama wawapo huko

Waarabu wana roho mbaya kuliko wazungu.
Ila wavaa pedo wanawapenda kisa Tende na Misikiti
Jiandae mkuu wahusika wapo njiani

images (26).jpeg
 
Waarabu wana roho mbaya kuliko wazungu.
Ila wavaa pedo wanawapenda kisa Tende na Misikiti
Bora hao wenye roho mbaya kuliko hao wenye roho nzuri wanaotaka wanaume wawe mashoga kama wewe shoga hautanielewa ila utaleta hoja za kishoga tu
 
Nieneze uongo ili nifaidike nini, na wakati ni kweli. Mkienda huko Urabuni kwenyewe huwa mnatumikishwa tu kama watumwa.

Naunga mkono muendelee kuwekewe sheria za kuwabana na hao uhamiaji, ili mfuate utaratibu rasmi wa kwenda! Badala ya kupelekwa huko kinyemela, na kugeuzwa kuwa watumwa.
unaeneza uongo kwa sababu huko uarabuni kuna wakenya wengi sana mpaka unazungumza tu kiswahili mpaka kwenye ma mall na unapata wakenya wanakujibu kwa kiswahili. Nilipoteza mzigo airport ya Qatar wafanyakazi wakenya ndiyo walinisaidia kuutafuta na kuniletea na kwa kweli nilifurahi sana na kuwashukuru.

Hayo majeneza ya kila siku ndiyo ninayopinga mimi.

Endeleeni nyinyi na hizo misconception zenu wakati wenzenu wanafanya kazi za kila aina na kutuma fedha kwao kwa ajili ya maendeleo yao.
 
Watetea mashoga hao
Kwahiyo ni salama sana kufanya kazi kwenye nchi za mashoga kuliko kufanya kazi kwenye nchi za kiislamu?
Kama wenye dini ya haki wanaua watu na wana roho mbaya, je wenye dini zingine inakuaje? Nini maana ya kuitwa nchi za kiislamu halafu wanaroho mbaya?
 
Hata hapa kwetu msichana wakazi wanaosoma namba sh 50000 kwa mwezi wa mwisho kulala wa kwanza kuamba si bora ya kubatisha saudia wapo walio pasua maisha mshahara kwa mwezi 800,000/ kula kulala kwa tajiri kutibiwa mkataba miaka 4 wanaoteswa hiyo ni hajari kazini
Watu hawajui tu
 
Nieneze uongo ili nifaidike nini, na wakati ni kweli. Mkienda huko Urabuni kwenyewe huwa mnatumikishwa tu kama watumwa.

Naunga mkono muendelee kuwekewe sheria za kuwabana na hao uhamiaji, ili mfuate utaratibu rasmi wa kwenda! Badala ya kupelekwa huko kinyemela, na kugeuzwa kuwa watumwa.
Hapa kwetu penyewe serikali inatutumikisha wananchi kama watumwa,ni bora kutumikishwa kitumwa huku pesa inaingia kwa uhakika kuliko hapa kwetu from the state house makelele tu no better life improvements
 
Unataka kwenda huko kufanyaje we mtoa mada ,huko si sehemu salama ki utafutaji ,mbona hapa ajira bado zipo nyingi tu,na maeneo ya kulima bado yapo ya kutosha
 
Unataka kwenda huko kufanyaje we mtoa mada ,huko si sehemu salama ki utafutaji ,mbona hapa ajira bado zipo nyingi tu,na maeneo ya kulima bado yapo ya kutosha
Wewe unajua anavyoishi apa yupo salama?km ww una mipango na maisha yko yanaenda vzr shukuru ila usione lahisi izo ajira zenu za kitumwa
 
Kumekuwa na zuio la watanzania wanaopata chance kwenda kufanya kazi ugaibuni kuzuiwa kusafiri hasa hasa siku ya safari,licha ya kwamba mtu anakuwa na vielelezo na viambata vyote muhimu kwa madai kwamba wanaenda kufanyiwa vitendo vibaya,Yamkini wapo mabosi wanafanya hivyo la kini si wote .

Suala la ajira nchini ni kitendawili ambacho chief ameshindwa kutegua,kwa watu ambao elimu hawana ndio kabisa,sasa wanapopata nafasi ya ajira mnawazuia ni deformity,mnaziba riziki za watu.

Serikali itengeneze utaratibu maalumu wakuwatambua watu wake badala ya kuwazuia,kuwa na mfumo maalumu wa komputa utakaotumiwa na balozi zetu katika nchi husika ambapo watu wote nwanaofanya kazi huko wataweza kutuma taarifa zao endapo kuna vikwazo wanakutana navyo ,na kuwe na option yakuwasiliana na waajiri.

Mtu ameshipatewa passport lakini bado mnamkqmia,waliotoa passport maana yake si wanajua kuwa amekizi vigezo?,suala la kufanyiwa vitendo vya ho yo mbona hata hapa wanafanyiwa tu,,hebu tumieni bongo zenu acheni kukumbatia madhaifu na hoja nyepesi.
Kwa maelezo yako haya, yaweza kuwa wewe ni wakala wa ukusanyaji wa hao watu wanaopelekwa utumwani kwa laghai za ajira.

Ingia You tube sikiliza kwa makini vilio chungu nzima vya raia wa Kenya jinsi wanavyo nyanyaswa wakifika huko!
Ukishafika jambo la kwanza unanyang'anywa Passport kabla hata haujaanza kutumikishwa.
Wanaelezwa wazi kuwa:"wewe ni mtumwa nilishakununua"..

Wananyanyaswa na kuuawa sana na hakuna hatua yoyote ya maana inayochukuliwa, sembuse kwetu!

Kwani hakuna plan B mnayoweza kushauri namna ya kusaidia vijana wetu mpaka iwe hiyo hiyo tu ya kuwapeleka huko utumwani?

Kongole kwa wahusika wanao warudisha ama kuwazuia kwenda huko kufanya kazi za kitumwa.
 
Hakuna wakala anayeshindwa kuwapitisha watu ,wanapitisha kila uchwao,jibu hoja ya msingi acha umbilikimo,wakala anazuiliwaje au unafikiria kuwa wakala ni jina,hebu pevuka,kwa takwimu kuna zaidi ya watanzania 6000 huko nani aliwapeleka? ,serikali haijui?,walipita wapi na zaidi ya 4k wamepita hapo airport Dar,urge the content and not the author.

Ielewe hoja yangu acha kupotosha hoja
 
Kuweza ama kushindwa mawakala kuwatorosha mimi sijui.

Nashindwa kuelewa point yako ya msingi unachokitetea hapa!

Kwamba Serikali isiwanyang'anye pass zao airport wakati wakipelekwa utumwani!
 
Unataka kwenda huko kufanyaje we mtoa mada ,huko si sehemu salama ki utafutaji ,mbona hapa ajira bado zipo nyingi tu,na maeneo ya kulima bado yapo ya kutosha
Unalima bila pesa taja hizo ajira tuzijue
 
Inavyoonekana mazingira ya kuwatetea huko uarabuni si mazuri ndio maana wanaweka katazo kabisa. Kimsingi serikali inalinda watu wake.
 
Na wadada wakirudi wapimwe marinda

Ova
 
Back
Top Bottom