Serikali isubiri utekelezaji wa Competency Based Education. Kenya wazazi, walimu na wanafunzi hawaitaki

Serikali isubiri utekelezaji wa Competency Based Education. Kenya wazazi, walimu na wanafunzi hawaitaki

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Serikali isubiri utekelezaji wa Competency Based Education kenya wazazi,walimu na wanafunzi hawautaki

Baadhi ya vyama vimeweka kama Agenda ya uchaguzi kuwa wakishika madaraka hup mfumo wa Competent based wataufuta sababu walimu hawautaki,wazazi hawautaki na wanafunzi hawautaki na wanashangiliwa sana

Serikali vizuri ikajifunza kupitia kenya kabla kukurupuka kuuanzisha.Wao walijiingiza kichwa kichwa
 
They though system transformation is a piece of cake,, eeeeeeeh[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni Mfumo mgumu kuufuata, ambao unataka mwanafunzi hata wa darasa la saba akimaliza shule awe na ujuzi ambao ataweza kuutumia na kujiajiri.

Masomo yote yawe na hizo skills za kufanya mara umalizapo shule.
 
Bongo
O _level =Pcm
Chuo =Uhasibu
Kazi = Dalali
Mtu anaangalia wapi pesa ipo hasomi kwa malengo kuwa anapania kuwa nani matokeo ndio hayo .Mtu Askofu unakuta anakimbilia ubunge au Profesa anakimbia chuo kwenda kugombea ubunge.

Hakuna concentration ya eneo moja ndio maana nchi haina wagunduzi mtu ana change change kwa kuangalia tu pesa nyingi iko wapi.Ndio maana tuna maprofesa wanaomiliki baa badala ya kuwa na shule na vyuo vyao binafsi unakuta anashinda baa kugombana na ma bar maid kisa bar inalipa kuliko uprofesa wake!!!
 
Mtu anaangalia wapi pesa ipo hasomi kwa malengo kuwa anapania kuwa nani matokeo ndio hayo .Mtu Askofu unakuta anakimbilia ubunge au Profesa anakimbia chuo kwenda kugombea ubunge.Hakuna concentration ya eneo moja ndio maana nchi haina wagunduzi mtu ana change change kwa kuangalia tu pesa nyingi iko wapi.Ndio maana tuna maprofesa wanaomiliki baa badala ya kuwa na shule na vyuo vyao binafsi unakuta anashinda baa kugombana na ma bar maid kisa bar inalipa kuliko uprofesa wake!!!
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kanywe soda mzee ntalipa

Wanafunzi wamekuw hovyo sana hasa vyuoni,,, yaaan dogo badala ya kuw competent kwenye field yake,,, anawaza pesa tu,,, watu hawana matokeo chanya kwenye field zao,, things are done the same way na kila mtu,, no one is innovative,, taifa kama taifa linakuw na wahitimu wengi walio shallow kwenye fields zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Mfumo mgumu kuufuata, ambao unataka mwanafunzi hata wa darasa la saba akimaliza shule awe na ujuzi ambao ataweza kuutumia na kujiajiri.
Masomo yote yawe na hizo skills za kufanya mara umalizapo shule.
Ukitaka ujuzi baada ya Kumaliza ngazi fulani ya elimu ya kawaida utajiunga na chuo kinachofundisha ujuzi huo. Nadharia ndio inayomjengea mtoto uwezo wa baadae kusomea fani.

Unataka serikali imfundishe mwanao kusonga ugali au kulima wakati wewe mzazi nyumbani hata chai mwanao humfundishi kupika.. kuna watoto tena wasichana wako vyuo lakini hata uji hajui unapikwaje halafu watu wanalaumu serikali. Anza kwanza kumfundisha kazi za nyumbani mwanao ili ukimaliza ajue walau kazi za .msingi.

Mbona wazungu wanasoma mfumo huo huo na bado wakimaliza wanaweza kufanya kazi tena hadi vitu wanagundua. Watu weusi tunawaza kuiba wakati wote.
 
Ni mfumo wa elimu , unaomuandaa mwanafunzi kutokana na uelekeo wa uelewa wake au kipaji chake ,au somo analoliweza
Mfumo tulionao umamlazimisha mwanafunzi kukariri vitu ambavyo hata sio fani yake , ilimradi tu afaulu.


Sent from my RMX3085 using JamiiForums mobile app

Ni dhahiri kwamba huuelewi huo mfumo sawa sawa. Jaribu kujielimisha ili uuelewe vizuri. CBE isn’t about talent nurturing, my friend!
 
Ni dhahiri kwamba huuelewi huo mfumo sawa sawa. Jaribu kujielimisha ili uue vizuri.ambao CBE isn’t about talent nurturing, my friend!
Kwa kuwa hii ni forum , ni vema ukatuelewesha wana jamii mfumo unavyofanya kazi .

Sisi tumelelewa na mfumo wa elimu ya kukariri, and im sure wewe na mimi ni pruduct ya elimu hiyo , thus why we're fighting.
Cbc is about tallent nurturing, na ndo system ya elimu yenye mafanikio na hutoa wataalam wazuri katuka umri mdogo, hawa wakina Zuckerberg , ambao wana billions in their bank accounts , ilhali hata hawajaota nywele za ukubwani , ni product za CBC.

Screenshot_2022-02-21-01-04-15-33.jpg
 
Mimi Mkenya hapa, nimeuchangamkia huu mfumo, na wengi wetu pia.
Hamna chochote kipya huwa rahisi, lazima mwanzo uwe mgumu maana huu ni mfumo unaobadilisha mwanafunzi aache kukariri na awe fundi na mwenye maujuzi, pia ni mfumo ambao utaacha kupambanisha ngendere na samaki kwenye zoezi la kuogelea au kukwea mti, kila mmoja anaelekezwa kwenye fani aipendayo na inayomhusu.
 
Kwa kuwa hii ni forum , ni vema ukatuelewesha wana jamii mfumo unavyofanya kazi .
Sisi tumelelewa na mfumo wa elimu ya kukariri, and im sure wewe na mimi ni pruduct ya elimu hiyo , thus why we're fighting.
Cbc is about tallent nurturing, na ndo system ya elimu yenye mafanikio na hutoa wataalam wazuri katuka umri mdogo, hawa wakina Zuckerberg , ambao wana billions in their bank accounts , ilhali hata hawajaota nywele za ukubwani , ni product za CBC.View attachment 2125492

Achana na articles za mtu mmoja mmoja hizi. Soma institutional publications ndipo utapata a more accurate understanding of a Competency-Based Education (CBE) model.

Kwa kifupi, CBE inaleta flexibility katika kujifunza. Student anajifunza kwa pace yake. CBE emphasizes mastery of skills rather than the time-based completion of required credits. Mtu sio lazima atumie miaka saba kumaliza elimu ya msingi au miaka minne kumaliza o’level, kwa mfano. Anaweza kutumia muda mfupi au mrefu, depending on individual learning pace or needs.

THE FIVE ELEMENTS OF CBE

[emoji3578]Students advance upon mastery.

[emoji3578]Competencies include explicit, measurable, transferable learning objectives that empower students.

[emoji3578]Assessment is meaningful and a positive learning experience for students.

[emoji3578]Students receive timely, differentiated support based on their individual learning needs.

[emoji3578]Learning outcomes emphasize competencies that include application and creation of knowledge, along with the development of important skills and dispositions.
 
Back
Top Bottom