Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Kwa hiyo unaikosoa picha ambayo ndio pilot kwenye huu mjadala ?
Halafu ulisema umeielewa picha ? Realy?
Hiyo picha ina details zoote za Mfumo wa CBE , badala ya kuielewa unataka kubadili maana , a typical mindset ya mtu anayekariri kama kasuku
Nani amekuambia nimekosoa picha?
Nimekuambia hiyo mimea sio lazima iwe ya mazao tofauti. Ingeweza yote kuwa ya mpunga (different breeds) na ukweli ungebaki pale pale kwamba different breeds za mpunga zina different needs to grow. Unatafisri vitu literally kama mtoto wa chekechea.
Una shida kubwa ya kuelewa!