Serikali isubiri utekelezaji wa Competency Based Education. Kenya wazazi, walimu na wanafunzi hawaitaki

Mwalimu
Asante sana kwa majibu mazuri, if one is going through this thread atakuja kuona madhara makubwa ya elimu yetu ya kukariri. Yoote uliyoelezea mimi nilifupisha kwa sentensi kadhaa , na bado hatukuelewana !

CBE is about specialization, tena early specialization, ndo huo mfano unaotoa hapo kwamba ngedere anatakiwa afundishwe umahiri wa kupanda miti badala ya kumlazimisha ajue kuogelea .

Habari Mkuu t blj,
Naomba nikupitishe kwenye ufafanuzi alioutoa Mkuu Animo (#20)

EBE ni aina ya elimu inayotolewa ambayo ina vipengele 5 kama alivyosema Mkuu Animo,Nchi inapoamua kuchukuwa na ku adopt mfumo huu wa elimu inabidi inchi husika i customize content na implementation ili iendane na malengo ya elimu ,jamii na mazingira ya nchi husika.
Kwa mujibu wa ufafanuzi huu waalimu wetu wanatekeleza Carricumumn ambayo imeandaliwa kwa kuzingatia CBE. Carriculumn hii inaitwa CBC au mtaala ulioboreshwa.

Nitaanza na kufafanua vipengele vya #20
1. It is based on COMPETENCY- Umahiri ndio lengo kuu la elimu. CBE inalenga kuhakikisha ngedere anakuwa na uwezo na umahiri wa kupanda mti...na samaki pia awe na uwezo wa kutosha kuendesha maisha yake majini.
Mitihani kwa mfumo huu inazingatia assesment na sio evaluation- kwahiyo ngedere hataruhusiwa kuendelea na kujifunza ulaji wa matunda mtini mpaka atakapokuwa na umahiri wa kutosha kupanda mti,bila kujali itachukuwa muda gani kupata umahiri husika.
2. Kujengea walengwa(wanafunzi uwezo mkubwa wa kutambua,kuelewa ikiwa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kutafsiri malengo makuu ya elimu katika nchi husika.
3. Tahmini inalenga kuangalia uwezo na umahiri na sio kumbukumbu na kukariri.
4. Wanafunzi wote wanafundishika.Kila mwanafunzi anafaa kupata fursa ya kufundishwa kwa njia anayoielewa zaidi-(samaki na ngedere) usilazimishe gedere kuelewa kama samaki...ila wote lazima wajitafutie namna ya kuishi.

5. Inashugulika na kuongeza uwezo zaidi wa wanafunzi kupitia kujifunza kwa kuongeza maarifa na akili through activities.

Kwa kuanza na swali la huyu bwana mkubwa' Maala wetu umeboreshwa.umechukuwa mfumo wa CBE- tuna carriculum inayoitwa CBC ambao ni maboresho ya Carriculum iliyopita.

imechukuwa vipengele vyote isipokuwa katika maandalizi serikali imepanga muda kwa kuaninisha umahiri unaohitajika katika kila somo kuanzia darasa la 1-7 na secondari.

Disclaimer:Mimi ni mdau tu wa elimu ila sio msemaji. Naomba kurekebishwa ili nijifunze zaidi

#Quality Assurance and Standards.
 
screenshot_20220220-150533-jpg.2125018
Asante sana mkuuu, kwa elimu picha !!, To the best of my knowledge thats what CBE is for.
Tupo busy kumwagilia maji miche ya zabibu , akati zabibu zenyewe kwenye makuzi yake zinastawi bila maji , badala ya kustawisha tunazorotesha na kupoteza muda plus resources.
 
Mwalimu
Asante sana kwa majibu mazuri, if one is going through this thread atakuja kuona madhara makubwa ya elimu yetu ya kukariri. Yoote uliyoelezea mimi nilifupisha kwa sentensi kadhaa , na bado hatukuelewana !

CBE is about specialization, tena early specialization, ndo huo mfano unaotoa hapo kwamba ngedere anatakiwa afundishwe umahiri wa kupanda miti badala ya kumlazimisha ajue kuogelea .

Kinachokusumbua wewe nadhani ni uvivu wa kusoma machapisho rasmi kuhusu CBE. Badala yake umeamua kuendekeza hisia zako binafsi.

CBE ipo mpaka kwenye college-level education, ambako wanafunzi tayari wako kwenye makundi maalumu. Remember, hata wanafunzi wenye specialty moja, say highway engineering, wana learning pace (or needs) tofauti. CBE inaweka mkazo kwenye mastery of the skills rather than the time-based completion of the required credits!
 
Habari Mkuu t blj,
Naomba nikupitishe kwenye ufafanuzi alioutoa Mkuu Animo (#20)

EBE ni aina ya elimu inayotolewa ambayo ina vipengele 5 kama alivyosema Mkuu Animo,Nchi inapoamua kuchukuwa na ku adopt mfumo huu wa elimu inabidi inchi husika i customize content na implementation ili iendane na malengo ya elimu ,jamii na mazingira ya nchi husika.
Kwa mujibu wa ufafanuzi huu waalimu wetu wanatekeleza Carricumumn ambayo imeandaliwa kwa kuzingatia CBE. Carriculumn hii inaitwa CBC au mtaala ulioboreshwa.

Nitaanza na kufafanua vipengele vya #20
1. It is based on COMPETENCY- Umahiri ndio lengo kuu la elimu. CBE inalenga kuhakikisha ngedere anakuwa na uwezo na umahiri wa kupanda mti...na samaki pia awe na uwezo wa kutosha kuendesha maisha yake majini.
Mitihani kwa mfumo huu inazingatia assesment na sio evaluation- kwahiyo ngedere hataruhusiwa kuendelea na kujifunza ulaji wa matunda mtini mpaka atakapokuwa na umahiri wa kutosha kupanda mti,bila kujali itachukuwa muda gani kupata umahiri husika.
2. Kujengea walengwa(wanafunzi uwezo mkubwa wa kutambua,kuelewa ikiwa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kutafsiri malengo makuu ya elimu katika nchi husika.
3. Tahmini inalenga kuangalia uwezo na umahiri na sio kumbukumbu na kukariri.
4. Wanafunzi wote wanafundishika.Kila mwanafunzi anafaa kupata fursa ya kufundishwa kwa njia anayoielewa zaidi-(samaki na ngedere) usilazimishe gedere kuelewa kama samaki...ila wote lazima wajitafutie namna ya kuishi.

5. Inashugulika na kuongeza uwezo zaidi wa wanafunzi kupitia kujifunza kwa kuongeza maarifa na akili through activities.

Kwa kuanza na swali la huyu bwana mkubwa' Maala wetu umeboreshwa.umechukuwa mfumo wa CBE- tuna carriculum inayoitwa CBC ambao ni maboresho ya Carriculum iliyopita.

imechukuwa vipengele vyote isipokuwa katika maandalizi serikali imepanga muda kwa kuaninisha umahiri unaohitajika katika kila somo kuanzia darasa la 1-7 na secondari.

Disclaimer:Mimi ni mdau tu wa elimu ila sio msemaji. Naomba kurekebishwa ili nijifunze zaidi

#Quality Assurance and Standards.
Mkuu uliwahi kuiona curriculum ya somo la chemistry kidato cha tano na sita?
 
Kinachokusumbua wewe nadhani ni uvivu wa kusoma machapisho rasmi kuhusu CBE. Badala yake umeamua kuendekeza hisia zako binafsi.

CBE ipo mpaka kwenye college-level education, ambako wanafunzi tayari wako kwenye makundi maalumu. Remember, hata wanafunzi wenye specialty moja, say highway engineering, wana learning pace (or needs) tofauti. CBE inaweka mkazo kwenye mastery of the skills rather than the time-based completion of the required credits!
Mastering of skills at college level ndo inatuletea madaktari wanaomfanyia operation ya kichwa mgonjwa anayeumwa mguu!

Unamsumbua mtoto miaka 16 17 kwa masomo yasiyo na tija halafu unataka aje ku master at collage level , inawezekanaje hilo ?ndo sababu Africans hatuna innovations
Wakati nasoma tulikuwa tunafundishwa na waalimu wa kijitolea wa peace corps walikuwa walimu bora sana wakiwa na umri mdogo sana na walikuwa specific kwa masomo fulani nothing more less.yani kama anajua physics ni hilo tu ata fundisha
 
[emoji1] Nyie, Tanzania ilianza ku imply Competency Based Curriculum tangu mwaka 2008, kupiti instillation process.

Huwa hautangazwi moja kwa moja, CBC hulenga maswali yenye nia ya kupima uelewa wa mtoto na si kumbukumbu. Mabadiliko hutokea katika somo husika, Kenya wameianzisha kama sera rasmi kitaifa, sisi huku inahitaji declaration tuu, wala si suala la kusema tuige wakenya, hapana.

Rejea mabadiliko ya mtaala mwaka 2018, angalia maswali ya kila somo kwa kidato cha nne, halafu soma na maswali ya kwenye review za mitihani, and then zingatia tofauti iliyopo you will find out.

Competency based haina maana ya mtu mmtu mmoja, kwa kuwa understanding is complex, can be multi defined, ni suala linalenga relevance ya kinachofundishwa.
 
sio lazima tuige kila kitu, tunaweza kutumia hii hii elimu ya mkoloni na kuchanganya na vyetu tukatoboa...

Elimu ya form five na six ifutwe, watu wakimaliza form four waende college wakasome ujuzi moja kwa moja...

Specialization ianzie form one, kama ni wa science asome science tu, hakuna kuchanganya, anayetaka PCM anasoma masoma yake matatu tu, anayesoma PCB anasoma matatu tu, wengine HGL matatu tu..
Elimu ya sekondary inakuwa 3yrs, then college 3yrs then University...

Elimu ya msingi iwe miaka sita au mitano, tuangalie masomo ya kusoma muhimu mengine piga chini, baadhi ya topic zisizo na maana zipigwe chini..

Kingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia msingi mpaka chuko kikuu, kiswahili kibaki Lugha ya nyumbani tu...
Mhhhh nchi gani imefuta advanced level??
 
Mastering of skills at college level ndo inatuletea madaktari wanaomfanyia operation ya kichwa mgonjwa anayeumwa mguu!

Unamsumbua mtoto miaka 16 17 kwa masomo yasiyo na tija halafu unataka aje ku master at collage level , inawezekanaje hilo ?ndo sababu Africans hatuna innovations
Wakati nasoma tulikuwa tunafundishwa na waalimu wa kijitolea wa peace corps walikuwa walimu bora sana wakiwa na umri mdogo sana na walikuwa specific kwa masomo fulani nothing more less.yani kama anajua physics ni hilo tu ata fundisha

Acha uvivu; soma machapisho utachosha watu!

Hao walimu wa physics unaowasema hawafundishwi kwa namna moja under CBE. Kila mmoja anajifunza kwa pace yake!
 
Unaweza kuwa bigwa wa kusoma machapisho na usielewe
Elimu ni maarifa yanayonaki kichwani baada ya kwenda shule .
Hao peace corps kama umewahi kutana nao huwa very competent teachers at very tender age , ni pure product ya specialization .maana huwa wanajua somo moja tu , ila kwa undani zaidi.

Sent from my RMX3085 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa na uwezo wa kuelewa ungekuwa umeshaelewa kitambo. You’re just recycling the same unhinged arguments!
 
Mk254 ameeleza hadi kwa picha hapo juu
Nani mgumu kuelewa kati ya mimi na wewe?

Sent from my RMX3085 using JamiiForums mobile app

Picha zenyewe hujazielewa! Ungekuwa umezielewa, usingekuwa unaendelea kufikiri walimu wa physics unaowasema wote wanajifunza kwa pace moja. Chini ya CBE, kila mmoja anajifunza kwa pace yake!
 
Kwani kuna rocket science kuzielewa zile picha ? Mbona una complicate mambo?

Every plant has its own requirements for growth , ndo title yake

Mimea ipo mitatu tofauti pale, kama ni wanafunzi hawa ni watu watatu wenye fani tofaututi tofauti kabisa lakini wote lengo lao ni kukua .

Mmea wa kwanza unahitaji humidity jua na alkamine soil ph, mmea wa pili unahitaji jua kidogo na mawingu ,humidity na neutral soil ph, mmea wa tatu unahitaji jua sawa na mawingu, humidity pamoja na alkamine soil ph

Mimea yote kama unaiona imestawi vizuri lakini haifanani kwa majani wala structure, mmoja. Umetambaa na majani mapana , mwingine una majani madogo ma mwingine ni ua tu la kawaida. Hii sasa kama ni watu hawa ni watu wa nfani tofauti tofauti , , ndo zile ulikuwa unasema nursing , criminology ,accounts and the like.

Hebu na wewe nieleze hiyo picha mimi sijaielewa wapi maana yake ni ipi, i stand to be corrected if im wrong
 
Unaweza kuwa bigwa wa kusoma machapisho na usielewe
Elimu ni maarifa yanayonaki kichwani baada ya kwenda shule .
Hao peace corps kama umewahi kutana nao huwa very competent teachers at very tender age , ni pure product ya specialization .maana huwa wanajua somo moja tu , ila kwa undani zaidi.

Sent from my RMX3085 using JamiiForums mobile app
mkuu,hii specialization ipo kwenye kila sector.Kinacholetwa mezani na CBC ni competence[umahiri] wa huyo professional ambae amespecialize.Ana skills kiasi kipi,ana uwezo kiasi gani kutatua changamoto katika field yake,ana knowledge na attitude gani towards career yake na shuguli zake za kila siku kwa mfano je ni mbunifu,mdadisi,mwenye kujituma etc.How is his/her soft skills anarelate vipi na co-workers, peers na jamii?
Kuna kusoma na kuelimika-CBE inalenga kukuza jamii inayojiamini na iliyoelimika-yenye uwezo,knowlege/informed na capacity kuttua suluhisho linaloendana na area ya specialization ya mhusika.

Otherwise kama swala ni soecialization tu,mbona tuna graduates wengi ambao hawana uwezo hata wa kujieleza kwa lugha ya Kiswahili?
By the way,Mkuu ulishawahi kushiriki interview yoyote ukaona hali ya wasomi wetu walio specialize kama unavyodai?

au specialization unayoisema ni kuwa na mtoto ambaye ni mzuri kwenye kazi za sanaa na hajui kusoma na kuandika? kisa tu CBE ilifocus kwenye kupanda mti badala ya kuogelea.
All systems have basik skills ambazo kwa mujibu wa sera na mipango ya elimu mhusika anafaa kumaliza na kufuzu ndio maana ya BASIC PRIMARY EDUCATION au ELIMU MSINGI- [from Nursery to Form 4]
Katika ngazi hiyo samaki na ngedere wote wanafaa kuwa compitent kwenye area wanazofundishwa.alafu mambo ya specialization itaendelea huko mbele.

#Quality Assurance Consultant.
Email: info@cbceducation.org
 
Kwani kuna rocket science kuzielewa zile picha ? Mbona una complicate mambo?

Every plant has its own requirements for growth , ndo title yake

Mimea ipo mitatu tofauti pale, kama ni wanafunzi hawa ni watu watatu wenye fani tofaututi tofauti kabisa lakini wote lengo lao ni kukua .

Mmea wa kwanza unahitaji humidity jua na alkamine soil ph, mmea wa pili unahitaji jua kidogo na mawingu ,humidity na neutral soil ph, mmea wa tatu unahitaji jua sawa na mawingu, humidity pamoja na alkamine soil ph

Mimea yote kama unaiona imestawi vizuri lakini haifanani kwa majani wala structure, mmoja. Umetambaa na majani mapana , mwingine una majani madogo ma mwingine ni ua tu la kawaida. Hii sasa kama ni watu hawa ni watu wa nfani tofauti tofauti , , ndo zile ulikuwa unasema nursing , criminology ,accounts and the like.

Hebu na wewe nieleze hiyo picha mimi sijaielewa wapi maana yake ni ipi, i stand to be corrected if im wrong

That’s your tightly held myopic vision!

Hiyo mimea haikuhitaji kuwa tofauti. Ingeweza yote kuwa ya mahindi, mpunga au zao jingine. Hata mahindi hayafanani. Kuna breed ya miezi miwili tu na ni drought- and disease-resistant. Breed nyingine inahitaji miezi minne hadi mitano na sio drought- and disease-resistant.

CBE inazingatia mahitaji ya kila mmoja!
 
Kwa hiyo unaikosoa picha ambayo ndio pilot kwenye huu mjadala ?
Halafu ulisema umeielewa picha ? Realy?
Hiyo picha ina details zoote za Mfumo wa CBE , badala ya kuielewa unataka kubadili maana , a typical mindset ya mtu anayekariri kama kasuku
 
Mastering of skills at college level ndo inatuletea madaktari wanaomfanyia operation ya kichwa mgonjwa anayeumwa mguu!

Unamsumbua mtoto miaka 16 17 kwa masomo yasiyo na tija halafu unataka aje ku master at collage level , inawezekanaje hilo ?ndo sababu Africans hatuna innovations
Wakati nasoma tulikuwa tunafundishwa na waalimu wa kijitolea wa peace corps walikuwa walimu bora sana wakiwa na umri mdogo sana na walikuwa specific kwa masomo fulani nothing more less.yani kama anajua physics ni hilo tu ata fundisha
Samahani mkuu, kwa mtizamo wako mtoto wa darasa la 1- 3 anafaa kumaster somo lipi ili awe surgeon?...na nitatumia assesment ipi kujua kuwa hatapenda sanaa na kucheza mpira ukubwani?
 
Haujaeleweka umeongea haraka sana na kwa kukurupuka!
 
Back
Top Bottom