t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Mwalimu
Asante sana kwa majibu mazuri, if one is going through this thread atakuja kuona madhara makubwa ya elimu yetu ya kukariri. Yoote uliyoelezea mimi nilifupisha kwa sentensi kadhaa , na bado hatukuelewana !
CBE is about specialization, tena early specialization, ndo huo mfano unaotoa hapo kwamba ngedere anatakiwa afundishwe umahiri wa kupanda miti badala ya kumlazimisha ajue kuogelea .
Asante sana kwa majibu mazuri, if one is going through this thread atakuja kuona madhara makubwa ya elimu yetu ya kukariri. Yoote uliyoelezea mimi nilifupisha kwa sentensi kadhaa , na bado hatukuelewana !
CBE is about specialization, tena early specialization, ndo huo mfano unaotoa hapo kwamba ngedere anatakiwa afundishwe umahiri wa kupanda miti badala ya kumlazimisha ajue kuogelea .
Habari Mkuu t blj,
Naomba nikupitishe kwenye ufafanuzi alioutoa Mkuu Animo (#20)
EBE ni aina ya elimu inayotolewa ambayo ina vipengele 5 kama alivyosema Mkuu Animo,Nchi inapoamua kuchukuwa na ku adopt mfumo huu wa elimu inabidi inchi husika i customize content na implementation ili iendane na malengo ya elimu ,jamii na mazingira ya nchi husika.
Kwa mujibu wa ufafanuzi huu waalimu wetu wanatekeleza Carricumumn ambayo imeandaliwa kwa kuzingatia CBE. Carriculumn hii inaitwa CBC au mtaala ulioboreshwa.
Nitaanza na kufafanua vipengele vya #20
1. It is based on COMPETENCY- Umahiri ndio lengo kuu la elimu. CBE inalenga kuhakikisha ngedere anakuwa na uwezo na umahiri wa kupanda mti...na samaki pia awe na uwezo wa kutosha kuendesha maisha yake majini.
Mitihani kwa mfumo huu inazingatia assesment na sio evaluation- kwahiyo ngedere hataruhusiwa kuendelea na kujifunza ulaji wa matunda mtini mpaka atakapokuwa na umahiri wa kutosha kupanda mti,bila kujali itachukuwa muda gani kupata umahiri husika.
2. Kujengea walengwa(wanafunzi uwezo mkubwa wa kutambua,kuelewa ikiwa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kutafsiri malengo makuu ya elimu katika nchi husika.
3. Tahmini inalenga kuangalia uwezo na umahiri na sio kumbukumbu na kukariri.
4. Wanafunzi wote wanafundishika.Kila mwanafunzi anafaa kupata fursa ya kufundishwa kwa njia anayoielewa zaidi-(samaki na ngedere) usilazimishe gedere kuelewa kama samaki...ila wote lazima wajitafutie namna ya kuishi.
5. Inashugulika na kuongeza uwezo zaidi wa wanafunzi kupitia kujifunza kwa kuongeza maarifa na akili through activities.
Kwa kuanza na swali la huyu bwana mkubwa' Maala wetu umeboreshwa.umechukuwa mfumo wa CBE- tuna carriculum inayoitwa CBC ambao ni maboresho ya Carriculum iliyopita.
imechukuwa vipengele vyote isipokuwa katika maandalizi serikali imepanga muda kwa kuaninisha umahiri unaohitajika katika kila somo kuanzia darasa la 1-7 na secondari.
Disclaimer:Mimi ni mdau tu wa elimu ila sio msemaji. Naomba kurekebishwa ili nijifunze zaidi
#Quality Assurance and Standards.