Serikali itenge fedha za kukarabati shule za Msingi nchi nzima, hali ya shule hizo ni mbaya

Serikali itenge fedha za kukarabati shule za Msingi nchi nzima, hali ya shule hizo ni mbaya

Acha ujinga!Serikali iache kununua midege ifanye ujinga kama huo?
 
Mkurugenzi wa wilaya ameshindwa kuwalipa madiwani wa CCM mshahara 350,000@ Kwa mwezi,hataweza kukarabati shule zaidi ya 49 zilizopo kwenye Halmashauri yake?

Sasa tufanyaje?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo umeona waziri amekalia hela hana matumizi...?
Nyie si ndio mnashabikia tunavyonunua mandege cash
 
Kwani serikali imeshindwa kuzihudumia shale zake au haitaki?
Serikali kama imeondoa michango sisi ni nani tulazimishe ?
Jambo la msingi kwa wananchi waende wakalie na Mkurugenzi wao mpaka shule yao ijengwe.

Ngoja tununue Ndege na treni na Stieglers halafu tuone shule zinadai nini
 
Back
Top Bottom