Mkurugenzi wa wilaya ameshindwa kuwalipa madiwani wa CCM mshahara 350,000@ Kwa mwezi,hataweza kukarabati shule zaidi ya 49 zilizopo kwenye Halmashauri yake?
Sasa tufanyaje?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo umeona waziri amekalia hela hana matumizi...?
Nyie si ndio mnashabikia tunavyonunua mandege cash
Kwani serikali imeshindwa kuzihudumia shale zake au haitaki?
Serikali kama imeondoa michango sisi ni nani tulazimishe ?
Jambo la msingi kwa wananchi waende wakalie na Mkurugenzi wao mpaka shule yao ijengwe.