Tetesi: Serikali itoe ufafanizi kuhusu tetesi za mfumo wa uhamiaji KuCollapse maana kuna baadhi ya viashiria vipo

Tetesi: Serikali itoe ufafanizi kuhusu tetesi za mfumo wa uhamiaji KuCollapse maana kuna baadhi ya viashiria vipo

Moja kwa moja.

Juzi niliona Uzi wa member wa Jf ambaye amelelemika kuwa wiki nzima anarudishwa uhamiaji wakati wa kufuatilia passport anaambiwa kuwa Kuna Virus kwenye mfumo na data hazipo , kaambiwa atulie .

Na Mimi mwenyewe ndugu zangu zaidi ya wawili wanasubiri Visa ya kwenda nchi Fulani mpaka sasa bado wanasubiri na imekuwa kipindi kirefu sio kawaida .

Leo Kuna posti hii ya kutoka kwa Maria Sarungi kuhusu mfumo wa uhamiaji inayozua taharuki .
===============
MFUMO WA UHAMIAJI UME COLLAPSE !!

Jamani hali bado haijatengamaa ila tatizo ni KUBWA Kwa mujibu wa mtoa taarida mfumo unaonekana kuharibiwa kwa makusudi kwani umefuta kumbukumbu zote za paspoti, visa, na hata mipakani kuingia. Ni kwamba taarifa zote kuanzia mwaka 2025 zimefutika!
Mnaelewa uzito wake!!??

Hii ina maana kama kuna wauwaji au magaidi au wahalifu wowote waliingia kipindi hicho basi taarifa zao hazipo kabisa kwenye mipaka na airport zetu. Hata watanzania waliopata pasipoti kipindi hicho taarifa zao zimefutika, so kama zilitolewa pasipoti kwa watu ambao sio watanzania maana yake hatuwezi kujua tena.
Kibaya zaidi mifumo ime-collapse hadi kwenye balozi zetu zote za nje ya nchi. Maana yake ni kuwa hata nje ya nchi walifunga mfumo wa e-Passport na e-ETD kwa hiyo watanzania wakipata changamoto huko hawawezi kurudi nyumbani.

Sasa tutafakari: kwa mwezi uhamiaji inakusanya Bilioni 25, na kwa madudu haya serikali imekubali kupoteza mapato hayo kwa faida wanayoijua wao. Kamishna wa uhamiaji Makakala yupo tu, hajaguswa!
Akili kichwani! Nchi inaendeshwa KIHUNI kabisa na genge la wahalifu!
Tukisema nchi imewashinda mnatuona wakorofi

Uhamiajina mifumo saba na yote ime
collepse
Dorder
-Pesaport
-Visa
e-Parma
e-Pussee
-ETD e-Ajka

Taarifa nite za kwenye mifumo hiye tang 2025 hadi bo zimafriks
Mikoo vote hakuna kazi inayofanyika, wenalazimisha tu kwa Kamini-Do ambayo nayo hait in kombukumbu Maafisa Uhamail wote hichi nzima wamsambiwa watabedilshiwa usemime na pessword matengenero vakkamilika.

View attachment 3572709
Wamewekwa watu wasiofahamu kazi za Immigration Department, ilimradi wametoka KIZIMKAZI, ndiyo maana wamebofoa kila kitu. Hizo ndizo habari nilizopata kutoka kwenye chanzo (Ndani ya Idara). Ni shida wandugu.
 
#UziTayari
Oyaa toto tundu umeandika nini sasa?

Taarifa nite za kwenye mifumo hiye tang 2025 hadi bo zimafriks
Mikoo vote hakuna kazi inayofanyika, wenalazimisha tu kwa Kamini-Do ambayo nayo hait in kombukumbu Maafisa Uhamail wote hichi nzima wamsambiwa watabedilshiwa usemime na pessword matengenero vakkamilika.
 
Utasikia mtu anasema wanaharakati wanatumika , imagine katika nchi ambayo media ziko mateka na kugeuzwa vuvuzela za CCM jambo kama hili zito wamelikalia kimya walioliibua ni wanaharakati na ushahidi upo watu wamekosa huduma ila hao immigration wako kimya.

Wanaharakati wana nafasi yao na wataendelea kuwepo na wataibuka wengi tu katika zama za giza kuziba ombwe la habari kuchujwa kupitiliza.
Kabisa,
Hata bunge kwa kuwa linamilikiwa na Wahuni, wabunge wa mchongo hawawezi kuhoji na kudai majibu kuhusu jambo nyeti kama hili!
 
Wamewekwa watu wasiofahamu kazi za Immigration Department, ilimradi wametoka KIZIMKAZI, ndiyo maana wamebofoa kila kitu. Hizo ndizo habari nilizopata kutoka kwenye chanzo (Ndani ya Idara). Ni shida wandugu.
Mkuu zimefutika zote au kwanzia mwaka gani.maana itakuwa ni fulaha kwangu.nilinyimwa passport kisa nimekosa pesa ya rushwa.kwahiyo ombi langu limetimia
 
K

MAGUFULI lazma akumbukwe, serikali hii imejaa wapuuzi na Wala rushwa wakubwa

Ingekuwa ni mwamba MAGUFULI mpaka Sasa Kuna vilaza wangekuwa tayari wako nyumbani wanachunga ng'ombe wengine wangekuwa wananyea debe jela, kuanzia mkuu wa uhamiaji na wenzake wote mpaka waziri muhusika na kingeeleweka tuu
Saguda47 mtu wangu akisoma hii comment lazima alike.
 
Inakuwaje taasisi kama Uhamiaji inayokusanya mabilioni ya fedha ikose mfumo madhubuti wa Disaster Recovery au Off-site Backup?

Kuna kitu hakipo sawa mahali.
Leo nimeamini kuwa kweli maana rafiki kapata ujumbe wa ubalozinwa nchi anayokwenda kwamba taarifa zake hazipo miezi aliyokuwa anasubiri Visa ni bure aanze upya baadhi ya michakato
 
K

MAGUFULI lazma akumbukwe, serikali hii imejaa wapuuzi na Wala rushwa wakubwa

Ingekuwa ni mwamba MAGUFULI mpaka Sasa Kuna vilaza wangekuwa tayari wako nyumbani wanachunga ng'ombe wengine wangekuwa wananyea debe jela, kuanzia mkuu wa uhamiaji na wenzake wote mpaka waziri muhusika na kingeeleweka tuu
Inasikitisha sana watu wanafanya ujinga kwenye issue sensitive kama hiyo halafu bado wapo kazini
 
Af

Afu wawalipe watu gharama walizotumia za kujaza mafomu na kugharamikia passport wasifanye nchii hii kama shamba la bibi Yao mamaye zao
Bongo uwajibikaji zero hii inchi inatia hasira watu wanarudishana nyumba kizembe
 
Inawezekana kweli, kuna watu nawafahamu wa idara ya IT walikuwa wana hahaha.. ila nahisi walikuwa na backup
Leo nimepata taarifa nyingine first hand information inayozidi kutilia nguvu kuwa Kuna shida uhamiaji , nimestaajabu sana
 
Tulieni mwendelee kuangalia channel ya vichekesho!
Tanzanite inazalishwa Tz pekee, ila Tz ni exporter namba tatu baada ya india na kenya🤣🤣🤣🤣🤣
#Jivunie kuwa mtanzania 😂😂
 
Wamewekwa watu wasiofahamu kazi za Immigration Department, ilimradi wametoka KIZIMKAZI, ndiyo maana wamebofoa kila kitu. Hizo ndizo habari nilizopata kutoka kwenye chanzo (Ndani ya Idara). Ni shida wandugu.
Za ndani kabisa 😂 😂 😆

Inasikitisha sana tunabaki kucheka hii bongo kila mtu atafikiwa tu. 😅
 
Mkuu zimefutika zote au kwanzia mwaka gani.maana itakuwa ni fulaha kwangu.nilinyimwa passport kisa nimekosa pesa ya rushwa.kwahiyo ombi langu limetimia
Kwa hiyo mkuu unafurahia na sisi wengine tukose passport kisa walikufanyia roho mbaya wewe ?
 
Back
Top Bottom