Tetesi: Serikali itoe ufafanizi kuhusu tetesi za mfumo wa uhamiaji KuCollapse maana kuna baadhi ya viashiria vipo

Tetesi: Serikali itoe ufafanizi kuhusu tetesi za mfumo wa uhamiaji KuCollapse maana kuna baadhi ya viashiria vipo

Chawa hawajapita hapa au wanasoma kimya kimya, wanaona doh hii mbombo ngafu hatuwez.
 
Wamewekwa watu wasiofahamu kazi za Immigration Department, ilimradi wametoka KIZIMKAZI, ndiyo maana wamebofoa kila kitu. Hizo ndizo habari nilizopata kutoka kwenye chanzo (Ndani ya Idara). Ni shida wandugu.
Ni aibu kubwa kwa taasisi kubwa kama Uhamiaji kuwa nje ya mtandao miezi sita sasa..
Ni mapato kiasi gani nchi ina poteza? Hili nalo Mama halioni? Bado kawa Chura? Waziri wa mambo ya ndani ana fanya nini ofisini?mkurugenzi mkuu wa uhamiaji. Ana fanya nini ofisini?
 
Kwa hiyo mkuu unafurahia na sisi wengine tukose passport kisa walikufanyia roho mbaya wewe ?
Sababu information zitaanza upya na kifupi kama nikweli basi Mungu kaamua aingilie kati ni wengi wamenyimwa haki zao kisa rushwa na ukigoma kutoa basi hiyo ni kesi unaambiwa wewe siyo Mtanzania
 
Swali ni, nini ambacho bado hakijacollapse bongo?
 
Ni aibu kubwa kwa taasisi kubwa kama Uhamiaji kuwa nje ya mtandao miezi sita sasa..
Ni mapato kiasi gani nchi ina poteza? Hili nalo Mama halioni? Bado kawa Chura? Waziri wa mambo ya ndani ana fanya nini ofisini?mkurugenzi mkuu wa uhamiaji. Ana fanya nini ofisini?
Watakumbia wanashughulikia Hilo Tatizo
 
Kule hapafai nyangwisi loose Nut atakuwa anatutemea mate kashamlisha kiapo cha utii kwa imam hussen ibn aly ndugu yetu hydroxo saiz lao moja
Oya Nyangwisi loose Nut usirudi Mamtoni Zamani nilikuwa nakuona Dujeumsaeng kubakia Mamtoni muda wote sasa hivi hata Mimi nafasi ya kusepa ikija kurudi bongo majaaliwa , Maarass hii inchi inatia hasira bro Nyangwisi wewe tafuta uraia huko huko na mchumba uoe utakuja kunikumbuka
 
Moja kwa moja.

Juzi niliona Uzi wa member wa Jf ambaye amelelemika kuwa wiki nzima anarudishwa uhamiaji wakati wa kufuatilia passport anaambiwa kuwa Kuna Virus kwenye mfumo na data hazipo , kaambiwa atulie .

Na Mimi mwenyewe ndugu zangu zaidi ya wawili wanasubiri Visa ya kwenda nchi Fulani mpaka sasa bado wanasubiri na imekuwa kipindi kirefu sio kawaida .

Leo Kuna posti hii ya kutoka kwa Maria Sarungi kuhusu mfumo wa uhamiaji inayozua taharuki .
===============
MFUMO WA UHAMIAJI UME COLLAPSE !!

Jamani hali bado haijatengamaa ila tatizo ni KUBWA Kwa mujibu wa mtoa taarida mfumo unaonekana kuharibiwa kwa makusudi kwani umefuta kumbukumbu zote za paspoti, visa, na hata mipakani kuingia. Ni kwamba taarifa zote kuanzia mwaka 2025 zimefutika!
Mnaelewa uzito wake!!??

Hii ina maana kama kuna wauwaji au magaidi au wahalifu wowote waliingia kipindi hicho basi taarifa zao hazipo kabisa kwenye mipaka na airport zetu. Hata watanzania waliopata pasipoti kipindi hicho taarifa zao zimefutika, so kama zilitolewa pasipoti kwa watu ambao sio watanzania maana yake hatuwezi kujua tena.
Kibaya zaidi mifumo ime-collapse hadi kwenye balozi zetu zote za nje ya nchi. Maana yake ni kuwa hata nje ya nchi walifunga mfumo wa e-Passport na e-ETD kwa hiyo watanzania wakipata changamoto huko hawawezi kurudi nyumbani.

Sasa tutafakari: kwa mwezi uhamiaji inakusanya Bilioni 25, na kwa madudu haya serikali imekubali kupoteza mapato hayo kwa faida wanayoijua wao. Kamishna wa uhamiaji Makakala yupo tu, hajaguswa!
Akili kichwani! Nchi inaendeshwa KIHUNI kabisa na genge la wahalifu!
Tukisema nchi imewashinda mnatuona wakorofi

Uhamiajina mifumo saba na yote ime
collepse
Dorder
-Pesaport
-Visa
e-Parma
e-Pussee
-ETD e-Ajka

Taarifa nite za kwenye mifumo hiye tang 2025 hadi bo zimafriks
Mikoo vote hakuna kazi inayofanyika, wenalazimisha tu kwa Kamini-Do ambayo nayo hait in kombukumbu Maafisa Uhamail wote hichi nzima wamsambiwa watabedilshiwa usemime na pessword matengenero vakkamilika.

View attachment 3572709
Binafsi nilivyosikia eti wawekezaji wakubwa nchini sasa ni UAE nilishitika maana navyofahamu nchi hiyo kwa sasa ni imeshikwa pua na israel. Kwa hivyo uwekezaji kutoka huko tujue kuna Israeli. Yaani UAE ni trojan horse ya israeli. Kwani israeli ni hatari. Nchi hiyo ni wamafia kwa asili. Wakiingia nchini kwako wanakukorombeza bila huruma. Dhahabu tanzanite kila cha thamani. Na watakuveuza kikaragosi wao.
 
Back
Top Bottom