Tumeuza zote na wewe wangekutaka tungekuuza tu ila wamesema hatutaki vichwa tupu ndio maana tumekuacha ila tukipata mteja tunakupiga bei tu, shida iko wapiZungumzia vipengele vya mkataba. Tafsiri ya jumla ya mkataba huu ni kwamba Tanzania imeiuzia Dubai bandari zake zote za bahari na maziwa yote, pamoja na miundombinu na fursa zozote zilizopo na zitakazojitokeza, na hatuwezi kumualika muwekezaji mwingine bila ruhusa ya Dubai. Shida sio uwekezaji, sio udini wala sio uzanzibari na utanganyika. Shida ni vipengele vya mkataba.