Serikali ituambie sasa ni lini na wapi zabuni ya uwekezaji wa bandari ilifanyika?

Tumeuza zote na wewe wangekutaka tungekuuza tu ila wamesema hatutaki vichwa tupu ndio maana tumekuacha ila tukipata mteja tunakupiga bei tu, shida iko wapi
 
Kwenye utangulizi A na B zina majibu, haya maelezo mengine ni kujikoroga
 
Unajua wewe ni kama hujui ulichoandika mwanzo. Ulisema kuoikua hakuna wa kukosoa kuanzia wanaharakati, wanasiasa, viongozi wa dini. Nimekutolea mifano, unageuka na kusema walikosoa kwa heshima

Zitto si ndio alimwita Magufuli raisi mshamba kuliko wote?
 
Achana na mbarawa, anashindwa kujitoa kwenye dude la mkataba
 
Zitto ana akili kuliko Chadema yote, anajuwa limit yake, anajuwa kamba yake inaishia wapi ni smart pilitician.
 
DP world sio kampuni ya kitoto. Inamiliki meli zaidi ya 400 duniani pia inamiliki mzigo wa Congo na Rwanda huwezi kulinganisha na makampuni mengine yenye kufanya logistics.


Mambo ya zabuni na tenda inategemea na ukubwa pia wa kampuni unayochukua, kuna faida nyingi za kiuchukuzi ambazo wanazo hao jamaa usidhani ni kukurupuka tu.

Magnitude yao ni kubwa sana, uzoefu na mitambo yao ya kazi ni ya kisasa hivyo wanakwenda kuondoa foleni pale bandarini. Na ni hizi foleni za kupakua zinazoleta hasara kwa wamiliki wa meli na waagizaji wa bidhaa.

Mnatumia nguvu kubwa kupinga uwekezaji lakini siku zenu za kufanya hivi ndio zinafika mwishoni.
 
Huu uelewa wako mdogo wanasheria wameumiza sana vichwa vyao kuuelimisha ukutoke lakini sio tatizo utaelimishwa tu.

IGA ni summary ya nini kinakwenda kufanyika kwa mapana. Consession na Lease ni mikataba ya kikazi zaidi baada ya bunge kuwa limeweka ridhaa ya DP kufanya kazi nchini.

Huo ukomo ni huku chini kati ya mwekezaji na mzalendo, mambo ya finance yote yapo kwenye hii mikataba miwili tofauti na huo IGA ambao ni wa juu kabisa.
 
Magufuli alimuuzia nani SGR ama Bwawa la Nyerere ama ATCL?
Bila ya mzigo wa Congo na Rwanda hiyo SGR itapakia mzigo upi?. Mtanzania anapenda sana kupingapinga tu.

Tulianza kupinga mwendo kasi Dar leo tunaamka saa kumi na moja asubuhi kwa ajili ya kutumia usafiri huo.

Tukaja kupinga bwawa la Mwalimu Nyerere leo tunakwenda kulitumia kwa ajili ya umeme.

Na hata hawa DP hivi sasa tunapinga lakini kesho tunakwenda kufaidika kiuchumi na uwekezaji wao.
 
Ndugu Zanzibar-ASP hii tayari ilishaeleweka kuwa serikali chini ya huyu mama wote kuazia Executive (Rais mwenyewe) hadi Parliament (Bunge) ni waongo na hapa ndipo hoja ya "mali za Tanganyika zinauzwa na huyu mama" inapopata nguvu..

Na it's obvious kuwa jambo hili limetawaliwa na ile rushwa kubwa kubwa (grand corruption) za kimataifa.

Na inakuwaje inapotokea na kuthibitika pasipo shaka kuwa Rais wa nchi amehongwa na kiongozi wa nchi nyingine kuuza nchi yake na wananchi wake?.... Bila shaka ni kiongozi huyo kunyongwa hadi afe kabisa!!

Hii ndiyo adhabu ansyostahili huyu mama na CCM yake na wenzake wote walioshiriki uhuni huu..!!

Na kwa hili, Mifumo na vyombo vyote vya kuidhibiti serikali likiwemo Bunge imesha - compromise na uhaini huu wa viongozi wetu dhidi ya nchi na wananchi..!!
 
Hakuna anayepinga uwekezaji ama maendeleo kwa ujumla. Tunapinga mkataba wa kimangungo.
 
Hakuna anayepinga uwekezaji ama maendeleo kwa ujumla. Tunapinga mkataba wa kimangungo.
Mkataba umeelezwa kwa kirefu kila mahali, mnalo lenu lenye kuwasumbua, Lakini muda sio mrefu serikali inakwenda kusaini makubaliano ya utekelezaji wa biashara na DP.
 
Amna anaekataa uwekezaje shida ni jinsi serikali ilifikia huo uamuzi. Unaweza mwacha mke wako aende kuishi na mwanaume mwingine kisa anauwezo wa kumtunza?
 
Amna anaekataa uwekezaje shida ni jinsi serikali ilifikia huo uamuzi. Unaweza mwacha mke wako aende kuishi na mwanaume mwingine kisa anauwezo wa kumtunza?
Bandari ilikuwa imekodishwa na TICTS kwa miaka 22 na sasa biashara imekwisha, mbona kamuacha mke na sasa hivi anatafuta bwana mwingine?.
 
Uovu hauhalalishi uovu! Unataka kutuambia ikitokea leo wasiojulikana wakaanza kupoteza watu tusiongee kwakuwa hatukuongea wakati wa simba wa Yuda? Kwahiyo inakuuma jinsi watz wanavyojimwaya mwaya kwenye yao unataka wawe mateka kama wakati wa jpm? Kumbe yaonekana ulikuwa na furaha sana watz walivyoburutwa wakati wa jpm siyo? Sasa umeula wa chuya ni muda sasa watz kueleza hisia zao juu ya wasiwasi wa kuuzwa kwa malango ya nchi zao. Kama hujisikii vizuri hamia burundi.
 
Hacha ujinga wako magu aliuza Nini ndege zinaubia Gani bwawa Lina ubia Gani sisi sio maboya kenge wee
 
 
Mbarawa namuhurumia sana, hana confidence kwasababu anajua ansema uongo, anajua watanganyika wanajua anasema uongo, anashindwa tu kumwambia bosi wake mimi siwezi kuongea tena mbele ya wanahabari.
Daah!

Nimekuwa na siku kama mbili hivi sioni comments zako hapa mkuu, nikaingiwa na hofu! Kumbe upo?

Mungu awalinde sana nyinyi watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…