Kiafrika unadhani inaweza kupungua?2🤣Mkuu population kupungua ni very depressing, ni jambo la fadhaa na huzuni
Mimi naunga mkono kuwa na population ambayo ni constant au inayokuwa kwa kasi ndogo, sio inayopungua. Inayoungua ni mbaya kama inayokuwa kwa kasi kubwa
Tz tunashauriwa tupunguze speed. Kuoungua ni ndotoMkuu population kupungua ni very depressing, ni jambo la fadhaa na huzuni
Mimi naunga mkono kuwa na population ambayo ni constant au inayokuwa kwa kasi ndogo, sio inayopungua. Inayoungua ni mbaya kama inayokuwa kwa kasi kubwa
Akili za hovyo kabisa.
Inchi zote zenye nguvu duniani msingi ni rasilimali watu.
-- China 1.4 billion.
-- America 329.5 milions.
Tanzania tupo 60 milions tushaanza kuzungumzia tupo wengi.
Hii inchi ina watu wa hovyo kabisa.
Inayopungua ni mbaya, mbaya kwa sababu demand inakuwa inafeli, hata uchumi pia unafeli, Ulaya wana population inayopungua sema kwa kuwa tayari wana uchumi efficient inakua haina madhara sana, kama hamjajipanga kama Ulaya inaweza kuwa disasterPopulation constant au inayopungua ni jambo zuri kwa nchi maskini.
Nonsense, kama umeshindwa kufyatua kaa pembeni.Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
Inayopungua ni mbaya, mbaya kwa sababu demand inakuwa inafeli, hata uchumi pia unafeli, Ulaya wana population inayopungua sema kwa kuwa tayari wana uchumi efficient inakua haina madhara sana, kama hamjajipanga kama Ulaya inaweza kuwa disaster
Acha upotoshaji... Australia ina watu karibia 26M.Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
Hakika! Ulaya kuna baadhi ya nchi watu wanashawishiwa kwa ajira, nyumba ama fedha ili tu watu wahamie.Inayopungua ni mbaya, mbaya kwa sababu demand inakuwa inafeli, hata uchumi pia unafeli, Ulaya wana population inayopungua sema kwa kuwa tayari wana uchumi efficient inakua haina madhara sana, kama hamjajipanga kama Ulaya inaweza kuwa disaster
Acha upotoshaji... Australia ina watu karibia 26M.
Alafu nchi bado kubwa sana hii.
Kama ni uzazi wa mpango kila familia ipange kivyake vyake!
Mwingine mimi kuwa na watoto wengi ndo mpango wangu
Hakika! Ulaya kuna baadhi ya nchi watu wanashawishiwa kwa ajira, nyumba ama fedha ili tu watu wahamie.
Uzazi wa mpango ni selection mechanism ya kuua kizazi cha watu. Sijui wanaounga mkono wapo tayari kiasi gani wauliwe wao ili sisi tubaki
Kwa hiyo Denmark, Germany, Norway na Italy zenye tatizo kubwa la population zipo Buza?Hiyo itakuwa Ulaya ya Buza, Ulaya halisi inakabiliwa na tatizo kubwa sana la wahamiaji kuto Africa. Uingereza imeingia mkataba na serikali ya Rwanda kuwamwaga huko baadhi ya wahamiaji.
Acha tuzae hao ndo wataleta mageuzi nchi hii maana sisi tushafelNdugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
Nimesema population inayopungua ni mbaya lakini inayoongezeka kwa kasi ni mbaya zaidi.Hakika! Ulaya kuna baadhi ya nchi watu wanashawishiwa kwa ajira, nyumba ama fedha ili tu watu wahamie.
Uzazi wa mpango ni selection mechanism ya kuua kizazi cha watu. Sijui wanaounga mkono wapo tayari kiasi gani wauliwe wao ili sisi tubaki
Anza family planning kwako na familiaNdugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
Uzazi wa mpango kila mtu apange mwenyewe.Nimesema population inayopungua ni mbaya lakini inayoongezeka kwa kasi ni mbaya zaidi.
So uzazi wa mpango ni muhimu kuhakikisha nchi inakuwa na population inayokuwa kwa kasi yenye afya au ikiwa constant
Hautalazimishwa ila kuna incentives flani serikali inatakiwa ifanye ili watu hasa masikiniUzazi wa mpango kila mtu apange mwenyewe.
Tukilazishwa na wanasiasa tutaishia pabaya zaidi!
Nature inajua kwa nini kila kiumbe kipo!
Mkuu napingana na dhana ya uzazi wa mpango. Nyuma yake kuna roho ya ukatili na uaji.Hautalazimishwa ila kuna incentives flani serikali inatakiwa ifanye ili watu hasa masikini
wapunguze kuzaliana kama sungura
Mfano elimu bure inaweza kufanywa kwa watoto watatu tu, ukizaa hata kumi ruksa ila utasomesha mwenyewe
Hawa ndio wenye akili na nguvu sio? 👇Akili za hovyo kabisa.
Inchi zote zenye nguvu duniani msingi ni rasilimali watu.
-- China wapo 1.4 billion.
-- America wapo 329.5 milions.
Hyo ni takwimu ya 2020.