Kiafrika unadhani inaweza kupungua?2🤣Mkuu population kupungua ni very depressing, ni jambo la fadhaa na huzuni
Mimi naunga mkono kuwa na population ambayo ni constant au inayokuwa kwa kasi ndogo, sio inayopungua. Inayoungua ni mbaya kama inayokuwa kwa kasi kubwa