Serikali itunge sheria kuhusu uzazi wa mpango angalau watoto wawili kila familia maana kasi ya uzazi Tanzania inatisha

Mkuu population kupungua ni very depressing, ni jambo la fadhaa na huzuni

Mimi naunga mkono kuwa na population ambayo ni constant au inayokuwa kwa kasi ndogo, sio inayopungua. Inayoungua ni mbaya kama inayokuwa kwa kasi kubwa
Kiafrika unadhani inaweza kupungua?2🤣
 
Mkuu population kupungua ni very depressing, ni jambo la fadhaa na huzuni

Mimi naunga mkono kuwa na population ambayo ni constant au inayokuwa kwa kasi ndogo, sio inayopungua. Inayoungua ni mbaya kama inayokuwa kwa kasi kubwa
Tz tunashauriwa tupunguze speed. Kuoungua ni ndoto
 
Akili za hovyo kabisa.
Inchi zote zenye nguvu duniani msingi ni rasilimali watu.
-- China wapo 1.4 billion.
-- America wapo 329.5 milions.
Hyo ni takwimu ya 2020.

Tanzania tupo 60 milions tushaanza kuzungumzia tupo wengi.

Hii inchi ina watu wa hovyo kabisa.
 
Huu ujinga kawaambie vilaza.
Canada ina watu milioni 38 na ina ukubwa wa eneo mara 10 kumi ya Tanzania,
Australia ina watu milioni 25 na ni kubwa mara 7 zaidi ya Tanzania,
Finland ina watu milioni 5 na ina ukubwa theluthi ya Tanzania
Sweden ina watu milioni 10 na eneo nusu ya Tanzania.
America ni kubwa mara 9 ya Tanzania.
Akili za hovyo kabisa.
Inchi zote zenye nguvu duniani msingi ni rasilimali watu.
-- China 1.4 billion.
-- America 329.5 milions.

Tanzania tupo 60 milions tushaanza kuzungumzia tupo wengi.

Hii inchi ina watu wa hovyo kabisa.
 
Population constant au inayopungua ni jambo zuri kwa nchi maskini.
Inayopungua ni mbaya, mbaya kwa sababu demand inakuwa inafeli, hata uchumi pia unafeli, Ulaya wana population inayopungua sema kwa kuwa tayari wana uchumi efficient inakua haina madhara sana, kama hamjajipanga kama Ulaya inaweza kuwa disaster
 
Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi

Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.

Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.

Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.

Asanteni.
Nonsense, kama umeshindwa kufyatua kaa pembeni.
 
Demand ya vitu inatokana na uwezo wa kifedha wa watu, sio idadi ya watu.

Kinachotekea nchi inapokuwa na watu wengi maskini ni matumzi makubwa ya kawaida ya bajeti ya serikali huku bajeti ya maendeleo ikifinywa.

Bangladesh, Pakistan na Nigeria ni mojawapo ya nchi zenye watu wengi sana duniani ila bado ni maskini na hazina hali nzuri kiuchumi.
Inayopungua ni mbaya, mbaya kwa sababu demand inakuwa inafeli, hata uchumi pia unafeli, Ulaya wana population inayopungua sema kwa kuwa tayari wana uchumi efficient inakua haina madhara sana, kama hamjajipanga kama Ulaya inaweza kuwa disaster
 
Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi

Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.

Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.

Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.

Asanteni.
Acha upotoshaji... Australia ina watu karibia 26M.
Alafu nchi bado kubwa sana hii.
Kama ni uzazi wa mpango kila familia ipange kivyake vyake!
Mwingine mimi kuwa na watoto wengi ndo mpango wangu
 
Hakika! Ulaya kuna baadhi ya nchi watu wanashawishiwa kwa ajira, nyumba ama fedha ili tu watu wahamie.
Uzazi wa mpango ni selection mechanism ya kuua kizazi cha watu. Sijui wanaounga mkono wapo tayari kiasi gani wauliwe wao ili sisi tubaki
 
Australia ni kubwa mara 7 zaidi ya Tanzania.

Tamaa zako binafsi zinaweza kudhibitwa kwa ajili ya maslahi makubwa ya raia wote.
Acha upotoshaji... Australia ina watu karibia 26M.
Alafu nchi bado kubwa sana hii.
Kama ni uzazi wa mpango kila familia ipange kivyake vyake!
Mwingine mimi kuwa na watoto wengi ndo mpango wangu
 
Hiyo itakuwa Ulaya ya Buza, Ulaya halisi inakabiliwa na tatizo kubwa sana la wahamiaji kuto Africa. Uingereza imeingia mkataba na serikali ya Rwanda kuwamwaga huko baadhi ya wahamiaji.
Hakika! Ulaya kuna baadhi ya nchi watu wanashawishiwa kwa ajira, nyumba ama fedha ili tu watu wahamie.
Uzazi wa mpango ni selection mechanism ya kuua kizazi cha watu. Sijui wanaounga mkono wapo tayari kiasi gani wauliwe wao ili sisi tubaki
 
Hiyo itakuwa Ulaya ya Buza, Ulaya halisi inakabiliwa na tatizo kubwa sana la wahamiaji kuto Africa. Uingereza imeingia mkataba na serikali ya Rwanda kuwamwaga huko baadhi ya wahamiaji.
Kwa hiyo Denmark, Germany, Norway na Italy zenye tatizo kubwa la population zipo Buza?

NB: nahisi unachanganya idadi ya wahamiaji haramu (undocumented immigrants)
 
Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi

Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.

Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.

Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.

Asanteni.
Acha tuzae hao ndo wataleta mageuzi nchi hii maana sisi tushafel
 
Hakika! Ulaya kuna baadhi ya nchi watu wanashawishiwa kwa ajira, nyumba ama fedha ili tu watu wahamie.
Uzazi wa mpango ni selection mechanism ya kuua kizazi cha watu. Sijui wanaounga mkono wapo tayari kiasi gani wauliwe wao ili sisi tubaki
Nimesema population inayopungua ni mbaya lakini inayoongezeka kwa kasi ni mbaya zaidi.
So uzazi wa mpango ni muhimu kuhakikisha nchi inakuwa na population inayokuwa kwa kasi yenye afya au ikiwa constant
 
Yaani Tanzania yetu bado tunahitaji sana ongezeko la watu.Ukiwa unaitembea hii Tanzania,utaona ni jinsi gani mapori yamejaa bila ya matumizi kwa sababu ya uchache wa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi

Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.

Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.

Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.

Asanteni.
Anza family planning kwako na familia
 
Nimesema population inayopungua ni mbaya lakini inayoongezeka kwa kasi ni mbaya zaidi.
So uzazi wa mpango ni muhimu kuhakikisha nchi inakuwa na population inayokuwa kwa kasi yenye afya au ikiwa constant
Uzazi wa mpango kila mtu apange mwenyewe.
Tukilazishwa na wanasiasa tutaishia pabaya zaidi!
Nature inajua kwa nini kila kiumbe kipo!
 
Hautalazimishwa ila kuna incentives flani serikali inatakiwa ifanye ili watu hasa masikini
wapunguze kuzaliana kama sungura

Mfano elimu bure inaweza kufanywa kwa watoto watatu tu, ukizaa hata kumi ruksa ila utasomesha mwenyewe
 
Mkuu napingana na dhana ya uzazi wa mpango. Nyuma yake kuna roho ya ukatili na uaji.
Sungura wanazaliana... ushawahi kusikia kila wametapakaa mahali ukiweka mguu unawakanyaga?
Maskini anayetaka kupunguza idadi ya watoto wa kuzaa anajipunguzia powerful resources!
Nchi masikini inayotaka kupanga uzazi inajiangamiza yenyewe!
 
Akili za hovyo kabisa.
Inchi zote zenye nguvu duniani msingi ni rasilimali watu.
-- China wapo 1.4 billion.
-- America wapo 329.5 milions.
Hyo ni takwimu ya 2020.

Tanzania tupo 60 milions tushaanza kuzungumzia tupo wengi.

Hii inchi ina watu wa hovyo kabisa.
Hawa ndio wenye akili na nguvu sio? 👇

Screenshot_20220508-180310.png
 
Back
Top Bottom