Nimekuelewa mtaalam.Asante.Uhakika wa soko hautokani na kuzaliana bali kipato cha wato, hata mkizaliana kama kumbikumbi kama ni mafukara hakuna chochote cha maana kitafanyika zaidi ya uharibifu wa nchi.
Wanafunzi kuwa wachache eneo hilo sio kwa sababu watoto ni wachache bali ni kukimbia shule au utoro. Sehemu kubwa ya Tanzania watoto wamelundikana madarasani,walimu wana mzigo wa wakufundisha madarasa yaliyojaa kupita kiasi.Yaani inaonesha bado haujatembea Tanzania nenda machame eneo LA tarafa ya Masama nilitembelea shule za msingi. Na kata idadi ya wanafunzi ni ndogo sana mfano shule ya sekondari sawe form one wako 16 tu shule ya msingi. Nkwakinini shule nzima wanafunzi hawafiki. Mia walimu wanadai watoto hakuna na Hao watu wamejenga shule karibu karibu mfano nilitembea toka shule. Iliyopo kwenye kituo cha afya cha kirani hadi kituo cha. Masama umbali km 2 mbili hapo kàtikati kuna shule za msingi 4 na vituo viwili Vya. Afya na wazazi wana mwamko. Wa nyota ya kijani cha msingi siyo kupunguza kuzaa shule zijengwe. Za. Kutosha aridhi yetu bado kubwa sana
Ndio, mimi kila siku naombwa na wengi sana.Kama hauna mbegu za kuzalisha wapishe wenye nazo tafadhali, kwani umeombwa msaada wa kuwasaidia hao wenye watoto wengi?
Sahihi kabisaWatu wanazaa kama kuku, na maisha yenyewe ndo haya. Serikali iamrishe mwisho watoto wawili kama china. Zaidi ya hapo faini. Maana hata watoto wa mitaani wataisha kabisa na kazi zitakua nyingi kulingana na idadi ya watu waliomo
Kama mmeshindwa ongoza Nchi na kuweka mipango bora kaeni kimiya , acha tuzae, Mambo gani tena Sasa .Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
Mnaweza kuwahudumia na kuwapa maisha bora yanayomstahili binadamu hao mnaowazaa kama kumbikumbi?Kama mmeshindwa ongoza Nchi na kuweka mipango bora kaeni kimiya , acha tuzae, Mambo gani tena Sasa .
Kwani kila siku , tunaomba chakula TOKA kwenu, acha mazalauMnaweza kuwahudumia na kuwapa maisha bora yanayomstahili binadamu hao mnaowazaa kama kumbikumbi?
Mimi ni mdau Wa elimu ndugu na. Tanzania nimeizunguka sana best ukerewe ni kisiwa platform ni ndogo huko niliko kutajia eneo LA machame Masama hakuna utoro ingekuwa kuwa kama eneo LA rungwa Singida mpaka ni na chunya au mwamagembe. Ningekukukubalia ila kutokana na aridhi UA. Tanzania bado population ni ndogo wewe shauri serikali waongeze shule kila sehemu yenyewe idadi kubwa ya watu kama eneo hilo nililotolea mfano urefu Wa kilometa mbili sehemu hiyo INA shule za msingi tano(5) na vituo viwilo Vya afya hivyo kila eneo serikali ingejenga hivyo wala kusingikuwa na high population and no congested hamasisha serikali kujenga shule za kutoshaWanafunzi kuwa wachache eneo hilo sio kwa sababu watoto ni wachache bali ni kukimbia shule au utoro. Sehemu kubwa ya Tanzania watoto wamelundikana madarasani,walimu wana mzigo wa wakufundisha madarasa yaliyojaa kupita kiasi.
Kwa ujumla Tanzania ina wanafunzi wengi kuliko vyumba vya madarasa, madawati, matundu ya choo, walimu na vitabu vinavyohitajika.Huko kwenu Masama hakuwakilishi Tanzania pana.Mimi ni mdau Wa elimu ndugu na. Tanzania nimeizunguka sana best ukerewe ni kisiwa platform ni ndogo huko niliko kutajia eneo LA machame Masama hakuna utoro ingekuwa kuwa kama eneo LA rungwa Singida mpaka ni na chunya au mwamagembe. Ningekukukubalia ila kutokana na aridhi UA. Tanzania bado population ni ndogo wewe shauri serikali waongeze shule kila sehemu yenyewe idadi kubwa ya watu kama eneo hilo nililotolea mfano urefu Wa kilometa mbili sehemu hiyo INA shule za msingi tano(5) na vituo viwilo Vya afya hivyo kila eneo serikali ingejenga hivyo wala kusingikuwa na high population and no congested hamasisha serikali kujenga shule za kutosha
Ndugu ,inaonekana umekalili theory za wazungu,zilizoshindwa.Biblia inasema zaeni mkaongezeke.Angalia Canada,Sweden na nchi nyingi za ulaya.Walikataa kuzaa na sasa hawana nguvu kazi.Wanaagiza watu kutoka Africa.CHINA walizaa sana.Na sasa watu wanafanya kazi na uchumi upo juu.Acha watu wazae ,ndio soko hilo.Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
Ila unapo kuwa na watu wengi ambao ni jobless si mtaji tena ni hasara kwa taifaWatu ni moja ya mitaji mikubwa sana katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Tanzania bado tunahitaji watu wengi zaidi ili kuweza kuzitumia rasilimali tulizonazo kwa ukamilifu. Tatizo tulilonalo ni ukosefu wa viongozi bora na siasa safi!
Tanzania kama Taifa tunapaswa kuwekeza zaidi katika rasilimali watu.
Unashangaza kufananisha uzaaji wa china na nchi kama tanzania na yawezekana huna taarifa sahihi za chinaNdugu ,inaonekana umekalili theory za wazungu,zilizoshindwa.Biblia inasema zaeni mkaongezeke.Angalia Canada,Sweden na nchi nyingi za ulaya.Walikataa kuzaa na sasa hawana nguvu kazi.Wanaagiza watu kutoka Africa.CHINA walizaa sana.Na sasa watu wanafanya kazi na uchumi upo juu.Acha watu wazae ,ndio soko hilo.
Ndugu ,unapofanya argument, uwe na twakwimu za kutosha.Usilete vitu vya kukalili vya wazungu.Unashangaza kufananisha uzaaji wa china na nchi kama tanzania na yawezekana huna taarifa sahihi za china
Umeangalia idadi ya vifo pia?Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
Kama tulishakuomba pesa ya kulisha familia zetu una haki ya kutupangia.Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
Pimbi, mi mpaka wafike 10Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
Kwani aliye ongea habari za china ni mimi au wewe ? Nani alikudanganya kwamba china hawana mpango wa uzazi? Nani aliye kalili hapa?Ndugu ,unapofanya argument, uwe na twakwimu za kutosha.Usilete vitu vya kukalili vya wazungu.
Kwa hiyo mnapo tozwa tozo msilalamike kwa sababu hao wama mnao watia mimba hovyo wanatibiwa vituo vya afya vya serikali na hawazalii sebleni kwakoKama tulishakuomba pesa ya kulisha familia zetu una haki ya kutupangia.