Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
Nimekuelewa mtaalam.Asante.Uhakika wa soko hautokani na kuzaliana bali kipato cha wato, hata mkizaliana kama kumbikumbi kama ni mafukara hakuna chochote cha maana kitafanyika zaidi ya uharibifu wa nchi.