Mkuu kwani hiyo huduma ya chakula Ina tolewa bure?unatoka wilaya moja kwenda nyingine ndani ya mkoa mmoja hiyo njaa ya kula njiani unaipata wapi? Natoka mwanza hadi dar npiga maji na matunda tu nafika fresh
Ungemsikiliza Mshauri wa Rais mambo ya AFYA Prof. Janabi Hilo lisingekutokea.Serikali ijikite kuangalia na kuchukua hatua kwa kituo cha mkata kwenye suala la Afya .Juzi wakati nasafiri kutokea Tanga tulisimama hapo kupata Chakula nilichukua takeaway wakati nipo kwenye gari nimeanza kula nikahisi nimekula Chakula kilicholala na kimechacha ilibidi nikitupe kwenye dustbin.Kwa mustakabali wa afya za watu hotel hii Inapaswa kukaguliwa mara kwa mara maana inapokea abiria wengi kwa siku.
Kwa nini unadhani kila mtu anapoanza safari anatokea nyumbani kama wewe? Kuna watu wanaunganisha safari, wengine walikuwa na shughuli mpaka muda wa safari, wengine ni wagonjwa, wengine wana watoto, wengine wametokea msibani, wengine wameondoka kwa ghafla... yaani kuna sababu nyingi mno zinazofanya watu watake kula wakiwa safarini. Njia sahihi ni serikali kuwajibika na kurudisha ule utaratibu wa mabasi kusimama kwenye stendi zenye hotel nyingi ili kuwe na ushindani na siyo sehemu moja ambayo wanafanya watakavyo.unatoka wilaya moja kwenda nyingine ndani ya mkoa mmoja hiyo njaa ya kula njiani unaipata wapi? Natoka mwanza hadi dar npiga maji na matunda tu nafika fresh
Ndiyo watanzania tulivyo. Tumezoea ''kuzunguka'' matatizo badala ya kuyaondoa. Ndiyo maana nchi imefika hapa ilipo. Hawa wanadhani kila mtu anayesafiri anakuwa kwenye situation kama zao. Kuna wengine wamelala msibani na hawajala siku kadhaa, kuna wengine wameunganisha magari, yaani dhararu ziko nyingi sanaMkuu kwani hiyo huduma ya chakula Ina tolewa bure?
huyu ni mteja kaona atoe kero ili kulinda afya za wengine, wewe una Anza masuala ya kuji zuia kula, wapi na wapi🤣😂
Ilitosha useme kuwa chakula kilibaki kwa sababu katika mwezi huu mtukufu wateja ni wachache!.Mwezi wa funga..hiyo itakuwa daku ilibaki.. acheni kula kula ovyo.. hii ni Ramadan/quadragesmal
Ushuzi wake hapo mpk macho ukifumbua yanauma kwa ukali wa ushuzi.Ila watu wa Tanga kwa Kula njiani, Kila kituo lazima wanunue Yai, half cake, soda. Yaani ni karaha.
Ila hili la hygiene litupiwe macho
binafsi naamini kula ni maamuzi ya mtu, hivyo asi ingiliwe ikiwa haleti madhara kwa wengine.Ndiyo watanzania tulivyo. Tumezoea ''kuzunguka'' matatizo badala ya kuyaondoa. Ndiyo maana nchi imefika hapa ilipo. Hawa wanadhani kila mtu anayesafiri anakuwa kwenye situation kama zao. Kuna wengine wamelala msibani na hawajala siku kadhaa, kuna wengine wameunganisha magari, yaani dhararu ziko nyingi sana