DOKEZO Serikali itupie macho viwanda vya wahindi, kuna unyonyaji mkubwa dhidi ya wafanyakazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Kama unaona unateseka jwanini uendelee kubaki hapo?
 
Serikali ipi?
 
Kwani wakiwanyonyeni kuna shida gani?
 
Usipokuwa na moyo.wa subira wahindi na wachina unaweza.kuwazaba vibao na kazi.ukaacha.hovyo ksbisa hawa wadudu
 
Serikali pekee wawekezaji.walikuwa.na.adabu na.woga.ni.enzi. za magufuli basi.

Sasa hivi mpaka foreigners wanajazana kwenye kampuni hata.vibali vua.kazi haijulikani nani.anatoa
 
Bado hujaambiwa kuwa na wanalazimishwa kufanya kazi usiku tena kwa kufungiwa?.....na polisi wakiambiwa huwa wanafika mpaka viwandani usiku huo na kuondoka na bahasha huku wafanyakazi mkiwa mmefungiwa kufanya kazi?.....
aiseee! kama ww unawahurumia mbona wenyewe hawajihurumii wala hawajali maana hapo unasema wanafungiwa ndani wakifanya kazi usiku kucha lakini wakifunguliwa kurudi makwao kesho,wiki hadi mwezi wanarudi tena na utaratibu ni huo huo kufungiwa ndani wakifanya kazi kama mchwa na huwaambii kitu..yanini kuumia roho kwa ajili yao achana nao
 
Kwani hua mnalazimishwa pumbavu zenu acheni kulalamika pigeni kazi
 
Serikali pekee wawekezaji.walikuwa.na.adabu na.woga.ni.enzi. za magufuli basi.

Sasa hivi mpaka foreigners wanajazana kwenye kampuni hata.vibali vua.kazi haijulikani nani.anatoa
Kwahiyo wakati wa Magufuri walikuwa wana lipa zaidi ya 7000 ila baada ya kuondoka ndo wakaanza kulipwa 7000?
Saa nyingine mpunguzage upumbavu.
 
Kama unaona unateseka jwanini uendelee kubaki hapo?
Kabisa watu wanaacha mashamba, mifugo, ngalawa za uvuvi kijijini kwao wanakimbilia mjini waajiriwe.

Halafu wakikuta watanzania wenzao wa asili mbalimbali iwe mswahili mwenzao anaendesha biashara za familia anakaa kwao ktk nyumba za kurithi, mtanzania asili ya kimatumbi, kisomali, kishelisheli, myemeni, kihindi mwarabu, goa n.k wanaendesha biashara viwanda wanaanza kauli za kibaguzi kebehi yule anaishi kwao, ubaguzu huyu ni mgeni kwa muonekano tu hawajui kuwa hao ndio walimchangie faini Nyerere asifungwe jela kwa uchochezi alipopigwa faini ya shilingi 3,000 kesi mahakama ya Kisutu n.k
 
Bado hujafikia "point of no choice"..wale sio waajiriwa ni vibarua na wanaambiwa ili walipwe hiyo 7,000 wawe wanafanya kazi na usiku , inapotakiwa,..
 
Bado hujafikia "point of no choice"..wale sio waajiriwa ni vibarua na wanaambiwa ili walipwe hiyo 7,000 wawe wanafanya kazi na usiku , inapotakiwa,..
ni sawa lakini unapoona mambo magumu kwenye hio kazi ww ukishapokea 7000 kesho yake hurudi tena hapo ila hawa wenzetu licha ya mateso yote hayo wanamaliza miezi kibao wakifanya hizo kazi kwa malipo yasiyolingana na uzito wa kazi wenyewe wanaona poa tu..mie nashangaa nyie mnaoumia na kuteseka ikiwa wao wamekubaliana na hali..embu tuambie mfano ww ukiwa na ofisi ya kuhitaji vibarua wakufanyie kazi utawalipa posho kiasi gani kwa siku ? kuwa mkweli mkuu.
 
10,000 minimum
 
Inasikitisha sana, waafrika tunadharaulika sababu viongozi wetu hawawezi kabisa kusimamia ustawi wa watu wao. Jamani wahindi na wachina wanatunyoosha vibaya sana. Rushwa Rushwa, wakija wakaguzi wanapewa pesa wanaondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…