Serikali iunde tume kuchunguza tuhuma za mauaji yanayodaiwa kufanywa na askari wa hifadhi ya pori tengefu la Selous. Hali ni mbaya

Jangili sio mtu wa kumchekea.
They have lamed and crippled thousands of elephants population in the area for the past 15 years halafu wachekewe hio haipogo, hatua kali nadhani inajulikana namna ya kumfanya mtu asiwe na uthubutu wa kuwaza ujangili.
 
Tena yawekwe Mabango makubwa kabisa kuzunguka Hifadhi yanayosema ukiingia hifadhini kwa lengo la kuwinda au kukata Miti utapigwa shaba.
 
Vipi hao wanaotafuta vitoweo wasio na silaha yoyote ya kutishia maisha ya hao askari?

Hao majangili kweli wanakuwa wamejihami, lakini ingependeza watumie weledi kwenye kazi zao, waache kutumia nguvu kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…