Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They have lamed and crippled thousands of elephants population in the area for the past 15 years halafu wachekewe hio haipogo, hatua kali nadhani inajulikana namna ya kumfanya mtu asiwe na uthubutu wa kuwaza ujangili.Jangili sio mtu wa kumchekea.
Tena yawekwe Mabango makubwa kabisa kuzunguka Hifadhi yanayosema ukiingia hifadhini kwa lengo la kuwinda au kukata Miti utapigwa shaba.They have lamed and crippled thousands of elephants population in the area for the past 15 years halafu wachekewe hio haipogo, hatua kali nadhani inajulikana namna ya kumfanya mtu asiwe na uthubutu wa kuwaza ujangili.
Hakuna kuwachekea haya mazombi.Tena yawekwe Mabango makubwa kabisa kuzunguka Hifadhi yanayosema ukiingia hifadhini kwa lengo la kuwinda au kukata Miti utapigwa shaba.
Nimejionea mwenyewe jinsi uharibifu wa misitu asili unavyofanyikakote Nchini na haswa katika Mkoa wa Tabora na SingidaHakuna kuwachekea haya mazombi.
Vipi hao wanaotafuta vitoweo wasio na silaha yoyote ya kutishia maisha ya hao askari?Wanasema nafuu jambazi kuliko jangili. ukikutana na jangili msituni sijui anaokota kuni, sijui anachuma matunda sijui anapembe za ndovu, yaani akiwa na silaha akikuona askari anaanza na wewe. Askari game anaua mtu kwa kujihami hasa pale anapotumia silaha ya moto