Serikali iwajibike kwa Ajali za barabarani zinazomaliza watanzania

Kijana tosheka na unaibu waziri.
 
Mara zote gari kufeli breki ni makosa ya dereva ambaye hayuko makini

Ni kweli lakini pia vile vichupa vidogo vidogo vya mvinyo badala ya viroba vimejaa njia nzima kwenye viosk na madukani ! Je hao NIT wanahusikaje hapo ??

Kama umewahi kuendesha gari uwez kusema kufeli break ni kosa la dereva Kwa kukosa umakaini

So anakosa umakini mpaka na yy anakufa
 
Mara zote gari kufeli breki ni makosa ya dereva ambaye hayuko makini

Ni kweli lakini pia vile vichupa vidogo vidogo vya mvinyo badala ya viroba vimejaa njia nzima kwenye viosk na madukani ! Je hao NIT wanahusikaje hapo ??
Nani amefanya tafiti na kuja na gunduzi hiyo ya kuwa vyanzo vingi vya ajali ni "vichupa vidogo vidogo vya mvinyo"!!??

Mimi nimeandika kuonyesha umuhimu wa mwenye andiko kuwa mjumbe wa tume ya kuchunguza vyanzo vya ajali iwapo itaundwa.
 
Sijui wale waliokuwa wanapiga kelele trafiki wapunguzwe barabarani wanasemaje kuhusu ajali kuongezeka?
 
Kwa maslai ya malori yake na ya wasomali wenzake.
Na IGP naye na askari wake kila check point ikusanye na iwasilishe 50K kwa arateeo kila jioni hazina risit
 
Kubwa kwa yote ni kutenganisha uongozi na biashara, kwa mfano kuna mabasi yanaitwa Ester umeshayaona yanaguswa yakioverspeed!
 
NIT wamesoma na bandiko wameliona , kazi kwao kuzingTi
 
Mifumo ikianza kuwa loose hizi ndo dalili ,we 6th tenure never shout , then life goes back to normal
 
Haiwezekani!
No. 1 ndiye mwenye mamlaka kama raia namba moja ktk nchi.

Ni muda muafaka sasa awajibike yeye. Too much.

Tumechokaa. Kama taifa limeingia maagano ya damu/ kishetani mtuambie.
 
Mkome!

Wakati wa jiwe ukisikia ajali ujue ni bahati mbaya sana tena inakuwa haina madhara makubwa!

Ila mlimwita katili, na nyie machawa ndio kabisa endeleeni kushangilia anaupiga mwingi!
 
Haiwezekani!
No. 1 ndiye mwenye mamlaka kama raia namba moja ktk nchi.

Ni muda muafaka sasa awajibike yeye. Too much.

Tumechokaa. Kama taifa limeingia maagano ya damu/ kishetani mtuambie.
Kuna Jamaa hapa namsikia anasema 'acha ziwaue tu kwasababu zilikuwepo toka zamani ila zilikuwa hazitangazwi'
 
Eti policeccm baada ya tamko Kinana wakatoa press release kweli

Haya Sasa hii dhambi anaibeba nani
 
Baada ya lile tamko la Kinana naona ajali ndio zimefululiza, namsubiri aje kutoa tamko lingine maana siku hizi ni kama amekuwa naibu makamu wa Rais.
 
Kila mmoja apambane na Hali yake , Sisi mtu wetu tulishamzika kule chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…