M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
Wote tumemsikia rais wetu jana.
Ujumbe kwenye ile speech, literally, ni "Mtanzania, chagua ufe kwa Korona au ufe kwa njaa".
Amesema lockdown ni nonsense (iwe partial kama ya Kenya/Uganda au flully fledged). Amesisitiza uchumi wa watu na nchi utaporomoka tukifanya lockdown.
Lakini, mimi naona serekali haipo consistent kwani tayari ime impose full lockdown kwenye sekta ya elimu. Kuna kundi la watu huku litaathirika kiuchumi, in particular wamiliki wa shule binafsi na waajiriwa katika shule hizo (kuna jumla ya waalimu 89,475 katika shule hizi).
Serekali inasemaje kuhusu hawa waalimu? Maana kama private schools zingepewa option ya kutofunga shule zao am sure nyingi (kama siyo zote) zisingefungwa.
Kwa ku impose lockdown kwenye sekta ya elimu, serekali imewaathiri kiuchumi hawa maelfu ya waalimu na kwa hiyo inawajibika kuwalipa ili kuwa sustain kipindi cha lockdown.
Kwa kumalizia, ninamwomba rais atoke huko kwenye self isolation aliko aje aungane na sisi wapiga kura wake katika kuchapa kazi tujenge uchumi ambao amesema ni muhimu kuliko kujihami (kisera na kifedha) dhidi ya korona. Amesema no lockdown kwa sisi wananchi, basi ni vyema naye pia asiendelee kuji lockdown huko Chato.
Wenu M-mbabe
Ni mwalimu katika public higher learning institution.