Serikali iwalipe mishahara waalimu 89,475 wanaofundisha shule binafsi

Serikali iwalipe mishahara waalimu 89,475 wanaofundisha shule binafsi

Wote tumemsikia rais wetu jana.

Ujumbe kwenye ile speech, literally, ni "Mtanzania, chagua ufe kwa Korona au ufe kwa njaa".

Amesema lockdown ni nonsense (iwe partial kama ya Kenya/Uganda au flully fledged). Amesisitiza uchumi wa watu na nchi utaporomoka tukifanya lockdown.

Lakini, mimi naona serekali haipo consistent kwani tayari ime impose full lockdown kwenye sekta ya elimu. Kuna kundi la watu huku litaathirika kiuchumi, in particular wamiliki wa shule binafsi na waajiriwa katika shule hizo (kuna jumla ya waalimu 89,475 katika shule hizi).

Serekali inasemaje kuhusu hawa waalimu? Maana kama private schools zingepewa option ya kutofunga shule zao am sure nyingi (kama siyo zote) zisingefungwa.

Kwa ku impose lockdown kwenye sekta ya elimu, serekali imewaathiri kiuchumi hawa maelfu ya waalimu na kwa hiyo inawajibika kuwalipa ili kuwa sustain kipindi cha lockdown.

Kwa kumalizia, ninamwomba rais atoke huko kwenye self isolation aliko aje aungane na sisi wapiga kura wake katika kuchapa kazi tujenge uchumi ambao amesema ni muhimu kuliko kujihami (kisera na kifedha) dhidi ya korona. Amesema no lockdown kwa sisi wananchi, basi ni vyema naye pia asiendelee kuji lockdown huko Chato.
Kwan i wakiwa likizo mwajiri hawalipi,hii Ni global crisis kila mtu imemgusa,hivo wamiliki wasitazame kupata faida tu walipe mishahara ya walimu Kama serikali inavofanya,VP wakipata faida,maisha Yana changamoto
 
mimi mwalimu pia lakini nafundisha katika public higher learning institution.

hawa waalimu wa private schools ni victims of circumstances..... serekali inatakiwa kutenga fungu kwa ajili yao ama sivyo tunaenda kuua elimu nchini.
Ada haikusanywi on monthly basis. Inakusanywa kwa term. Shule km TUSIIME ina wanafunzi zaidi ya 3000Primary and Secondary. Hakuna namna ishindwe kulipa APRIL na MAY.......Vipo vishule vidogo na vya ada ndogo.

Tusiime au Feza haiwezekani washindwe kulipa.

Wanafunzi wa Tusiime Sec 100% boarding. Toka 17 March shule hazina gharama ya chakula, Umeme Maji nk

Zinastahili KULIPA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini kama ni mwalimu msiji organise ili kukataa asilimia fulani wa mishahara yenu kuwafidia walimu wenzenu wa private school?

Charity starts at home mkuu.
 
Ada haikusanywi on monthly basis. Inakusanywa kwa term. Shule km TUSIIME ina wanafunzi zaidi ya 3000Primary and Secondary. Hakuna namna ishindwe kulipa APRIL na MAY.......Vipo vishule vidogo na vya ada ndogo.

Tusiime au Feza haiwezekani washindwe kulipa.

Wanafunzi wa Tusiime Sec 100% boarding. Toka 17 March shule hazina gharama ya chakula, Umeme Maji nk

Zinastahili KULIPA

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa unavyoitaja hiyo shule tu nakumbuka walivyoleta invoice, nilichogundua hizi shule kitu HASARA kwao akipo kabisa, wanataka kila kitu hadi majukumu yao yabebwe na wazazi.

Najiuliza shule kubwa kama ile inakosa bima dhidi ya majanga?
 
Uongozi wa shule binafsi kama hautawalipa walimu na wafanyakazi wao wengine mishahara utakuwa ni uhuni tu. Kwasababu, karo bado zitalipwa kwa kiasi kile kile. Sasa kwanini wasiwalipe wafanyakazi wao? Na binafsi nimeishasikia kuwa huko Geita kuna shule moja ya Kanisa Katoliki imewapa barua walimu na watumishi wasio walimu za kuwataarifu kuwa mwezi wa tano HAWATALIPWA mishahara yao kama shule zitakuwa bado zimefungwa. Natarajia Serikali kupitia wizara husika italisemea hili.
 
Ada tumelipa waalimu wanafundisha wenetu online iweje washindwe kulipa. Leo wameweka defenders mbili shuleni baada ya waalimu kuitisha kikao.

Waalimu TUSIIME hawastahili kutokulipwa.

Hapa ijulikane zipo shule za kushindwa kulipa July nyingine June Nyingine May lakini shule kubwa huwezi shindwa kulipa April . Ni nia ovu tu na tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwamfano huu muhula ukaisha alafu watoto wakarudi shule muhula ujao ambao nikuanzia mwezi wa 6 kwenda wa7 je mzazi anaulazima wakulipia ada huu muhula ambao wanafunzi hawakwenda shule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni funzo kwa kila binadamu mwenye uhai,kuna jamaa wawili walikuwa walimu wa shule za umma ,wa kaacha kisa mshahara mdogo wa 730000/= kwa mwezi,sijui sasa wana hali gani,kikubwa pambaneni na hali zenu maana hata walioko public schools nao matumbo joto ,unadhani ugonjwa ukiendelea kuchanganya serikali itaweza kuwalipa? Maana biashara nyingi zitajifunga

Poleni sana,ila tujifunze kuwa na milango miwili ili ukijifunga huu mlango mkubwa unapitia hata dirishani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ada tumelipa waalimu wanafundisha wenetu online iweje washindwe kulipa. Leo wameweka defenders mbili shuleni baada ya waalimu kuitisha kikao.

Waalimu TUSIIME hawastahili kutokulipwa.

Hapa ijulikane zipo shule za kushindwa kulipa July nyingine June Nyingine May lakini shule kubwa huwezi shindwa kulipa April . Ni nia ovu tu na tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaunga mkono hao walimu ila watumie njie zote halali na za kisheria kupata haki zao.
 
Back
Top Bottom